Utatakiwa kufika na jina unalotaka kutumia kwenye biashara yako kwenye ofisi ya Afisa biashara wa Halmashauri
Afisabiashara atakuelekeza namna ya kujisajili kwenye mfumo wa Brela
Utatakiwa kuwa na Kiasi cha Tsh 20,000/- katika simu yako
Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA
Simu: +255759023788
Simu ya Kiganjani: 0759023788
Barua pepe: ded@mleledc.go.tz
Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa