• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Katavi Awataka Waandishi Wasaidizi na Waingiza taarifa Za Wapiga Kura Kuhakikisha Wanavunja Rekodi ya kuandikisha

Posted on: May 1st, 2020

  • Baada ya kazi ya kutoa mafunzo kwa maafisa waandikishaji wasaidizi na waingiza data kwenye mfumo wa BVS iliyofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari inyonga kwa siku mbili yaani kuanzia jana mpaka leo, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Katavi Mwl Alexius R.Kagunze ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halamshauri ya Wilaya ya Mlele  amewataka wote watakaohusika katika zoezi la kuhuisha daftari la kudumu la wapiga kura kuwa chachu ya mafanikio na kuhakikisha tunavunja historia ya uandikishaji kama ilivyo kawaida yetu.
  • Amesema kwamba awamu zote za kazi ya uandikishaji imekuwa kawaida kwa jimbo lake kufanya vizuri, na inakuwa ni faraja pale unapo oona watu watu wanaokuwakilisha wanafanya vizuri na kuleta mafanikio ya serikali yetu.
  • Katika ufungaji wa washa hiyo ya mafunzo iliyohudhuriwa na na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mlele ambaye alikuwa mgeni rasimi Afisa Mwandikishaji amemweleza kwamba hana wasiwasi na timu yake aliyoiandaa kwa kuwa imesheheni watu wanaojituma na ambao anawafahamu sana kutokana na wengiwao kuwa anafanya nao kazi siku zote na wachapa kazi.
  • Amewasisitiza kuhakikisha wanatumia vizuri vifaa vitakavyotumika katika zoezi la uandikishaji kwani serikali imetumia pesa nyingi sana katika kuhakikisha vinapatikana. Na kuwahimiza kujikinga na ugonjwa Covid 19 na kwamba tayari amewaandalia vifaa vya kujikinga wakati wa zoezi hilo. Ni vizuri mkafuata taratibu za kujinga kama wataalamu wa afya wanavyoelekeza ndio maana katika zoezi hili tumewahusisha wataalam wa afya kusimamia zoezi kuhakikisha mnakuwa salama alisema Afisa Mwandikishaji.
  • Naye mgeni Rasmi wa hafla hiyo Katibu Tawala wa Wilaya amewapongeza wawezeshaji wa zoezi la uandikishaji kwa kazi nzuri waliyoifanya kwamba kuwaandaa watendaji wa zoezi la uandikishaji ni kazi kubwa sana kwani wanaoandaliwa ni watu wanaoenda kufanya zoezi muhimu sana, amewatakia kila la heri kuhakikisha wanakuwa wabunifu katika kazi hiyo mihimu.
  • Zoezi la uandikishaji zitafanyika kwa siku tatu kuanzia jumaamosi tarehe tatu mei 2020 saa mbili kamili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni katika viyuo vya nakao makuu ya kata zote za halmashauri. Wanahusika katika kujiandikiasha ni wale wote ambao bado hawajaandikishwa na wamekisha miaka 18 au watafikisha umri huo kabla ya siku ya kupiga kura, wengine ni wanaotaka kuboresha taarifa zao(kuhamisha, kurudisha kadi iliyopotea, na  kurekebisha taarifa) na pia kufuta wapiga kura wote waliopoteza sifa za kuwa mpiga kura.


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa