Fursa ya uwekezaji kwenye sekta ya kilimo haijawaacha kando Watumishi wa Halmashauri hawako nyuma kuchangamkia fursa za kilimo kama inavyonekana kwa Afisa Maendeleo ya Jamii ambaye pia ni Mratibu wa TASAF wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi Graceanna Msemakweli akipokea miche ya Korosho kutoka kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Mlele Mhe, Linkolin Tamba wakati wa hafla ya ugawaji miche ya korosho kwa wakulima shughuli iliyofanyika kilipo kitalu cha miche ya korosho ya Halmashauri,enëo la Shule ya Msingi Inyonga.zao la korosho litakwenda kubadili maisha ya wananchi wa wilaya ya Mlele.
Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA
Simu: +255759023788
Simu ya Kiganjani: 0759023788
Barua pepe: ded@mleledc.go.tz
Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa