Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Misitu ya Miombo Magharibi mwa Tanzania ni mradi wa
miaka mitano ulizinduliwa mwaka 2013. Mradi huu unatekelezwa katika Wilaya nne za Urambo,
Uyui na Kaliua za Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Mlele ya Mkoawa Katavi. Katika wilaya ya
Mlele mradi unatekelezwa katika kata tatu za Kamsisi, Inyonga nansenkwa zenye vijiji tisa vya
Inyonga, Kaulolo, Nsenkwa, Kamsisi, Mtakuja, Kalovya, Kamalampaka, Songambele na
Imalauduki.
Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA
Simu: +255759023788
Simu ya Kiganjani: 0759023788
Barua pepe: ded@mleledc.go.tz
Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa