Sehemu ya Mifumo ya Kompyuta.
Malengo.
Kuhakikisha kompyuta zote za Halmashauri zinafanya kazi.
Kuhakikisha mitandao yote ya mawasiliano kwa njia ya kompyuta inafanya kazi kwa usalama.
Kuhakikisha mifumo ya kukusanyia mapato ya Halmashauri inafanya kazi.
Kuhakikisha kompyuta zote za halmashauri ziko salama.
Sehemu ya Habari na Mawasiliano
Malengo
Kujenga picha nzuri ya Halmashauri kwa Umma.
Kuwajulisha wananchi juu ya shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Halmashauri
Kuwa kiungo kati ya halmashauri na vyombo vya Habari
Kuhakikisha halmashauri inatumia njia sahihi za mawasiliano.
Sehemu ya Mahusiano
Malengo.
Kuhakikisha Halmashauri inakuwa na mahusiano bora na:-
Halmashauri na wadau wake
Watumishi kwa watumishi
Watumishi na wateja wao.
Watumishi na viongozi wa juu wa serikali
Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA
Simu: +255759023788
Simu ya Kiganjani: 0759023788
Barua pepe: ded@mleledc.go.tz
Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa