• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

chanjo yaendelea kutolewa baada ya elimu kuwafikia wananchi

Posted on: October 8th, 2021


Pichani  Mratibu wa Chanjo Halmashauri ya Wilaya ya  Mlele Mr.Halid Lushatsi akitoa chanjo kwa mwanachi aliyehamasika baada ya kupatiwa elimu kama inavyoonekana  Pichani.

HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE YAFANIKIWA KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NAUVIKO 19,WANANCHI WAJITOKEZA   KUCHANJA KWA HIARI  CHANJO YA UVIKO 19  ZAIDI YA WANANCHI WAPATIWA CHANJO NDANI YA WIKI MOJA.   BAADA YA KUTOA ELIMU.   .

Halmashauri ya Wilaya ya  Mlele imeendelea kutoa elimu  kuhusiana na kinga dhidi ya UVIKO 19  kwa wananchi  hali iliyopelekea mwitiko kuwa mkubwa na wananchi kujitokeza  katika zoezi linaloendelea la kuelimisha jamii kuhusu utoaji wa   chanjo ya UVIKO 19  kwa wananchi maeneo mbalimbali katika Halmashauri hiyo wamehamsika na kuamua kjitokeza kuchanja kwa hiari yao wenyewe.

Elimu hiyo imeanza kutolewa kuanzia ngazi ya Kata ,  Vijiji Vitongoji , mtaa kwa mtaa,nyumba kwa nyumba, na mtu mmoja mmoja , ambapo wananchi wengi wameonekana kuhamasika na kujitokeza kwa wingi kupatiwa chanjo  ikiwa ni miongoni mwa kampeni zinazo fanyika kutoa elimu kwa Halmashauri ya wilaya ya Mlele ikiongozwa na watalaamu kutoka Idara ya Afya chini ya Mganga Mkuu wa Halmashauri  hiyo     DR Thadeus Makwanda.

 Akizungumzia hali halisi ya mwamko jinsi ulivyo kwa Halmashauri yake Dkt Makwanda ameeleza kuwa ,lengo  la  hamasa hiyo ya kutoa elimu  na kuhakikisha wananchi wanakuwa na uelewa wa pamoja kuhusu namna ya kujikinga na ugonjwa wa UVIKO 19 ambao  ni hatari na tisho kwa Taifa na dunia kwa ujumla.

 Amesema iwapo watakuwa na uelewa watachukua uamuzi wa kuchanja kinga kwa hiari yao wenyewe bila kulazimishwa hali inayoonekana wanchi kuwa na mwamko wa kujitokeza kupata chanjo katika maeneo mbalimbal ya Halmashauri ya Mlele.

 Akizungumzia  tangu kunzinduliwa kwa kampeni ya elimu ya chanjo katika Halmashauri yake mnamo mwezi  Septemba 28  mwaka huu ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Filberto Sanga amesema wananchi wameonekana kuwa na mwamko wa kujitokeza kupata chanjo ya kujikinga na UVIKO 19

 Kwa  jambo hilo linakupongezwa sana hivyo   anaipongeza Serikali ya    Tanzania ya awamu ya sita  inayoongozwa  Mhe. Rais  Samia Suluhu  Hassan   kuwapatia chanjo ambayo itasaidia kujikinga na janga hili la UVIKO19 kwa wananchi wa wilaya ya Mlele  .

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr Omari Sukari akizungumza nawanachiwa kijiji cha Kamalampaka wakati wa kampeni ya utoaji wa elimu ya kujikinga UVIKO 19 amewaeleza wananchi waendelee kuchukua tahadhali zote za afya zinazoshauriwa na  watoa huduma ya Afya sanjali na kuchanja kwani itasaidia sana katika kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo,amabapo kwa Mkoa wa Katai zaidi ya wananchi 6000 wameishapata cganjo ya UVIKO 19 hivyo wanachi wajitokeze kuchanja kwa hiarai baada ya kupata elimu.

  Kwa upande wake  Mratibu wa huduma ya chanjo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  Mr.Halid Lushatsi amesema kuwa chanjo hiyo imelenga makundi matatu ambayo ni wazee ,wafanyakazi wa afya na watu wenye magonjwa ya kudumu kama UKIMWI,kisukali na magonjwa mengine ya muda mrefu.

Ameeleza kuwa lengo ilikuwa  kufikia walengwa  960 lakini  hadi sasa jumla ya wananchi 1345 wamepatiwa chanjo ya UVIKO 19 na hamasa inaendelea huku wananchi wakijitokeza kwa wingi kuitikia wito huo wa kuchanja kwa hiari yao baada ya elimu kutolewa maeneo mbalimbali kwenye Halmashauri hiyo na matumaini ni kuwafikiwa wananchi wengi zaidi na kuvuka malengo waliyojiwekea kwa kuwa hadi sasa wameishavuka malengo hayo na wako katika hatua nzuri.

Mratibu huyo wa huduma ya chanjo ameendelea  kuwaomba wananchi kufanya maamuzi sahihi ikiwa ni pamoja na kuchanja na kuendelea kuchukua tahadhali za ugonjwa kama vile kunawa mikono kwa maji tililika na sabuni  ,kuepuka mikusanyiko isiyo kuwa ya lazima na kuvaa barakoa.

 Maeneo ambayo tayari wananchi wamepatiwa chanjo ni kutoka Vijiji vya Kalovya,Inyonga,                                                                                                                                                                                                                             Songambele,Kamalampaka,Wachawaseme,Uzega,Nsenkwa,Mtakuja,Mgombe ,Utende,Ilela na Masigo ,na Inyonga,Namba moja Kafulu Kamsisi,Songambele Ipwaga na Vitongoji vyake ,

Baadhi ya   wananchi Zakalia Kashindwe, Abeli Kisinza,Meliana Mwaigaga kutoka  Vijiji vya Kalovya,Inyonga, Songambele,Kamalampaka,Wachawaseme,Uzega,Nsenkwa,Mtakuja,Mgombe ,Utende,Ilela na Masigo  Inyonga,Namba moja, Kafulu, Kamsisi, Ipwaga na Vitongoji vyake waliopata huduma ya chanjo  wakizungumza kwa nyakati tofauti   kwa niaba ya wenzao wameishukuru Selikali Tanzania ya awamu ya sita  inayoongozwa  Mhe. Rais  Samia Suluhu  Hassan   kuwapatia chanjo ambayo itasaidia kujikinga na janga hili la UVIKO19 

 Na  wamehaidi kuendelea kutoa elimu  kwa wananchi wenzao, kwani chanjo  hiyo ni nzuri na haina madhara yoyote.

 Mwisho.    7 Oktoba/2021

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa