• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC AWAASA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI KUFUATA SHERIA ZA UTENDAJI KAZI IKIWA NI PAMOJA NA HESHIMA KWA WOTE.

Posted on: November 16th, 2022

watendaji wa Kata na Vijiji. wakifuatilia kwa umakini   mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga  

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Filberto Sanga, akiongea na watendaji wa Kata na Vijiji wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga  mwezi Novemba  2022 watendaji hawapo pichani kulia kwa mkuu wa wilaya ni Katibu Tawala  Wilaya Bw.Lincolin Tamba na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Bi. Teresia Irafay.

Na. Kibada Ernest –MLELE KATAVI

WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI WAJENGEWA UWEZO NA KUKUMBUSHWA MAJUKUMU YAO YA KAZI.  Novemba 2022.

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Filberto Sanga amewakumbusha  Watendaji wa Kata na  Vijiji Halmashauri ya Wilaya ya Mlele wamekumbushwa kutekeleza  majukumu yao kwa kuzingatia sheria taratibu na kanuni hali itakayosaidia katika utendaji wao kutokuwa na changamoto.




Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Filberto Sanga, akisistiza jambo kwa  watendaji wa Kata na Vijiji alipokuwa akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga  mwezi Novemba  2022 watendaji hao pichani hawapo,kulia kwake ni mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bi.Teresia Irafay akisikiliza kwa umakini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi. Teresia Irafay, akiongea  na watendaji wa Kata na Vijiji wakati  mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga huku akisisitiza usimamiaji wa mapato watendaji hawapo pichani.

.Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  Bi.Habiba Mtunguja, akiwa na Mkufunzi wa Mafunzo kutoka Chuo cha Hombolo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Mkuu wa Wilaya wakati wa mafunzo ya    watendaji wa Kata na Vijiji.   mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga  

Suala la  utatuzi wa kero za wananchi   katika maeneo yao kwa kuwafikia wananchi na kusikiliza kero zao na kuzitatua huku wakitakiwa kutolea taarifa kwa viongozi wa juu kero ambao zimeshindwa kutatuliwa badala kusubiri wananchi kubainisha kero hizo wanapotembelewa na viongozi wa juu.

 Amebainisha hayo wakati akifugua mafunzo ya Watendaji wa Kata na vijiji yaliyofanyika ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga mafunzo ambayo ni muhimu kwa ajili ya kukumbushana majukumu ya kazi.

  Kikao hicho  kilichoshirikisha Watendaji wa Vijiji na Kata waajiriwa wapya na wale wa wa zamani katika  ya halmashauri,Maafisa uttumishi na watumishi wengine wa Halmashauri ambao waliwasilisha mada mbalimbali katika kikao hicho.

Amesema  Mkiutano ya serikali za vijiji na vikao  vingine vya kisheria vifanyike  kwa kufuata taratibu kanuni na sheria, ameelekeza vikao vya kisheria vifanyike inavyopaswa huku akitaka kila kijiji kutoa ratiba yake ya mwaka mzima ya vikao vikuu na vya kisheria na kwamba Mtendaji yoyote atakayebainika kutofanya vikao hivyo kwa mujibu wa sheria za umma hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake na kwa yoyote ambaye atakutana na changamoto yoyote ya kutofanyika vikao hivyo atoe taarifa kwa Mkurugenzi Mtendaji.

Katibu Tawala  Wilaya ya Mlele Bw.Lincolin Tamba,  akitoa neno kwa Watendaji wa Kata na Vijiji wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga. Novemba 2022

Pia amewakumbusha watendaji hao  kuendelea kuwahamasisha wazazi wawaandikishe watoto wote wenye umri wa kuanza elimu ya awali na darasa la kwanza ili waweze kuanza mwakani ,na pia amewataka kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa korona hivyo amewataka kuendelea kuelimisha jamii kuchukua tahadhari za maambukizi ya virusi vya korona kwa kutoa elimu namna ya kudhibiti virus hivyo kwani kutodhibiti ugonjwa wa korona madhara yake ni kuyumbishwa kwa uchumi.

 Mapema Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala Halmashauri ya Mlele Bi. Habiba Mtunguja alieleza kuwa lengo la mafunzo hayo ni kwa ajili ya kukumbushana Majukumu ya kazi  na kupitishana  kujikumbusha namna ya utendaji kazi sheria miongozo na taratibu za utumishi wa umma katika majukumu yao ya kazi za kila siku,suala ambalo  ni muhimu katika utendaji kazi.

Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  Bi.Habiba Mtunguja, akiwaasa   watendaji wa Kata na Vijiji  kufuata sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma katika kutekeleza majukumu yao wakati ilikuwa wakati wa  mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga  

  Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Teresia Irafay amewataka  kufuata taratibu kanuni na sheria katika utendaji kazi za utumishi wa umma.

 Amesisitiza kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao, kusimamia ukusanyaji wa mapato na kufanya  vikao vyote vya  kisheria katika ngazi zote kuanzia ngazi ya kitongoji kijiji na kata na mihtasari iwasilishwe ofisi ya Mkurugenzi.


Jackson Shula,   Mtendaji wa Kata ya Ilunde akitoa neno la shukurani kwa niamba ya watendaji wenzake katika kikao cha mafunzo ya kuwajengea uwezo.


Amesema  ndani ya vikao hivyo hujadiliwa  taarifa ya mapato na matumizi lakini pia taarifa hizo za vikao na maamuzi yake ziwasilishwe moja kwa moja kwa Mkurugenzi Mtendaji.

 Kwa niaba ya  wenzake Maafisa  Watendaji wa Kata na Vijiji Jackson Shula  ambaye ni Mtendaji wa Kata ya Ilunde toka amesema wanamshukuru Mkurugenzi Mtendaji pamoja na timu ya menejimenti kwa kuwakumbusha majukumu yao na kwamba wamepokea maelekezo yote yaliyotolewa kwao na wako tayari kuyafanyia kazi kila mmoja kwa nafasi yake na kuyatekeleza kwa uaminifu kama sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa umma zinavyoelekeza huku wakiahidi kutembelea wananchi ili kutatua kero zao kama inavyowapasa.


.Mkufunzi kutoka chuo cha Hombolo akiwasilisha  mada wakati wa mafunzo ya kujengeana uwezo yaliyofanyika ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga.


.Watendaji wa Vijiji na Kata  wakifuatilia kwa umakini mada zinazowasilishwa wakati wa mafunzo ya kujengeana uwezo yaliyofanyika ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga

(Picha zote na Kibada Ernest, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.)

Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa