• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC AWAKOSHA WALIMU HATOVUMILIA KUONA WAKINYANYASWA

Posted on: April 17th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe,Majid Mwanga kulia mwenye miwani katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Leonard Kiyungi na mwisho ni Katibu Tawala Wilaya ya Mlele Linkolin Tamba wakisikiliza michango ya mawazo kutoka kwa wadau walioshiriki kikao cha wadau wa elimu kujadili mstakabili wa elimu katika halimashauri hiyo,



Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe,Majid Mwanga akikabidhi  zawadi kwa wadau wa elimu waliofanya vizuri katika kuchangia Sekta ya elimu i Halmashauri ya wilaya ya Mlele wa  hafla ya utoaji zawadi ilifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ukonongo April 17’ 2023. Na anayepokea zawadi ni Afisa Elimu Elimu Maalum Halmashauri ya Mlele Japhet Mafie,

.Wadau wa Elimu wakifuatilia hotuba ya  Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Majid Mwanga wakati ufunguzi wa Kikao hicho mwenye hayupo pichani kikao hicho kilijadili na kuweka mikakati ya kukaniliana na baadhi ya changamoto za zinazoikabili halmashauri katika elimu elimu na jinsi ya kuzipatia ufumbuzi

Mhe Diwani wa Kata ya Ilela Mhe.William Miyula akipokea Zawadi  baada ya mmoja ya Shule yake kufanya vizuri  kitaaluma zawadi kutoka  kwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe,Majid Mwanga wakati wa kikao cha wadau wa elimu kilichofanyika ukumbi wa Ukonongo kujadili Mkakati wa kuboresha elimu.



Na Kitengo cha mawasiliano Mlele.


MKUU WA WILAYA YA MLELE MHE,MAJID  MWANGA  AONYA WATAOKAO WANYANYASA WALIMU KUKIONA HATUVUMILIA. ATAKA WAPEWE HESHIMA YAO KWA KAZI NZURI WANAYOFANYA,

Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe,Majid Mwanga amewahakikisha Walimu kuwa  hayuko tayari kuona walimu  wanagombezwa wala kunyanyaswa katika Wilaya yake na Kiongozi yeyote kwa wakati wote atakaokuwa yupo katika Wilaya hiyo, na badala  amesema walimu  wanastahili kupongezwa, kuthaminiwa na kuheshimiwa kwa kazi nzuri na kubwa wanayoifanya.

,Amewahakikishia kuwa katika kipindi chote ambacho Mhe Rais amemleta Wilaya ya Mlele atashirikiana nao kuhakikisha changamoto zao zinakwisha.na hatakuwa sehemu ya kuwaambia walimu tia ndani.

 Mhe.Mwanga ametoa kauli hiyo wakati wa akifungua kikao cha Wadau wa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kilichoketi leo {jana} kwenye ukumbi wa Mikutano ukumbi wa ukonongo kujadili mstakabali wa elimu kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

Mkuu huyo wa Wilaya  amewamehakikishia ushirikiano wa hali ya juu  walimu na kusema hayuko tayari kusikia Kiongozi yeyote katika  Wilaya yake akiwanyanyasa na kuwagombeza walimu badala yake kama anaona amekosea amwite ofisini na siyo kwenye mikutano hadhara kumdharirisha mbele ya watu.

Aidha amewaasa walimu kuendelea kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa ili kuleta maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

Akizungumzia suala la Madawati amepiga maarufuku kuwa hatopenda kuona madawati ya Shule yakitolewa darasani na kupelekwa kwenye mikutano kukaliwa,  suala hilo hataki kulisikia wala kuliona sanjari na kufanyia  mikutano maeneo ya Shule wakati wanafunzi wakiwa madarasani hali hiyo inaondoa utayari wa mwananfunzi kujifunza, atakaye fanya hivyo atakuwa anaenda kinyume na maelekezo yake.

Mapema Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi Teresia Irafay akiwasilisha Mkakati wa Elimu  wa Halmashauri ya Mlele katika Kikao hicho amewaeleza  wadau wa elimu kuwa lengo la Kkao hicho ni kujadili Mstakabari  wa Halmashauri  wapi tumetoka katika elimu tulipo na tunakwenda wapi,

Mkakati mwingine ni kuangalia  mafanikio na changamoto na tunazitatuaje,

Amezitaja baadhi ya changamoto kuwa ni utoro wa wanafunzi,ubakaji, ukatili wa kijinsia na mimba za utotoni.

Kwa upande wake Martin Mahinda ni Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ameeleza kuwa kila mwaka watahiniwa wa elimu ya msingi wanaongezeka hivyo ni jukumu letu wadau wa elimu kuhakikisha wanaendelea kuongeza miundombinu ya vyumba vya madarasa ili kubaliana na hali hiyo,

Mahindi alitoa mfano kwa mwaka huu wanatarajiwa kuwa na watahiniwa wa darasa la saba  wapato 25,000 sawa na wastani kwa kila shule kuwa na watahini 1000. Hali ambayo ni inawafanya kuangalia namna ya kuhakikisha hao watahiniwa wakimaliza wote waenda sekondari, 

Alitolea mfano Shule ya Msingi  Inyonga ambayo inawatahiniwa wa darasa la saba 120 Shule ya Msingi Kalovya 158, Shule ya Igombe  117 ambapo kwa mjini kuna vyanzo vingi vya miundombinu rafiki ukilinganisha na maeneo ya pembezoni kama Ilunde yenye watahini 281,Kamalampaka 233, Kamsisi 219  na Songambele 298 unaweza kuona kazi kubwa iliyopo.

Baadhi ya wadau mbalimbali wa elimu wamechangia   mawazo yao kuhusiana na nini kifanyike katika kunua elimu kwenye Halmashauri ya Mlele miongoni mwao ni  Pamoja Chifu Lukas Kayamba,Kiongozi wa Mila na desturi,waheshimiwa madiwani walimu na  wanafunzi,viongozi wa vyama vya siasa na taasisi za kijamii,

Naye Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mlele Leonard Kiyungi  akifunga kikao hicho yeye amepongeza kwa kazi kubwa  wanayofanya walimu akahadi kuelendelea kutoa ushirikiano wa karibu Pamoja na kupongeza kazi yao kubwa,

Pia amempongeza Mhe Rais  Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi  kubwa ya kuendelea kuleta fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya   Mlele inayoendelea kutekeleza miradi malimbali ya Maendeleo, akawataka walimu waendeleo kuchapa kazi kwa juhudi maarifa na weledi wa hali ya juu ili kuleta maendeleo katika Halmashauri ya Mlele 

Mwisho  



Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa