• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC BUSWELU, AWAONYA MAWAKALA PEMBEJEO

Posted on: November 23rd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe.Onesmo Buswelu akionesha kwa vitendo jinsi ya kutumia mbolea wakati wa kupanda alipokuwa anazindua msimu wa kilimo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kitongoji cha Itulumwa Kijiji cha Utende wengine ni wakulima huku Mkurugenzi Mtendaji Teresia Irafay akishuhudia tukio hilo.


Na.Kibada Ernest –Mlele Katavi  22 Novemba 2022.

Mkuu wa Wilaya  ya Tanganyika Mkoa wa Katavi   Mhe.Onesmo Buswelu ameonya   wale wote waliopatiwa Dhamana ya kusambaza mbolea ya ruzuku wahakikishe inawafikia wakulima kama ilivyoelekezwa.bila kuwepo mikingamo ya aina yeyote na iwapo watabainika kufanya udanganyifu wa aina yeyote hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao .

Buswelu ametoa maelekezo hayo wakati  akizindua Msimu wa Kilimo  kwa mwaka 2022  kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele   uzinduzi uliofanyikia Kitongoji cha Itulumwa Kijiji cha Utende Halmashauri ya Wilaya ya Mlele,17 Novemba 2022

Amesema   ili kilimo kiwe chenye tija lazima wakulima walime kwa kufuata utalaam  wanaopewa na Maafisa ugani, matumizi  ya pembejeo kutumia mbegu bora, mbolea na kufuata  kanuni zote za kilimo.

 Katika kuhakikisha hilo linafanikiwa ndiyo maana Serikali ya Awamu ya Sita  inayoongozwa na Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  imewalenga  wakulima kuwapatia mbolea za ruzuku kwa bei nafuu.

 Katika hatua nyingine ameonya  wananchi kutolima   kwenye maeneo ya hifadhi za mistu na maeneo yaliyohifadhiwa kisheria kufanya hivyo ni kosa kisheria.


a na kijacho.”alisema Buswelu.

“Hairuhusiwi kulima katika hifadhi za mistu kwa kuwa kufanya hivyo ni kuvunja sheria lazima hifadhi za mistu zilindwe kwa nguvu    kwa faida ya kizazi cha sasa, Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe.Onesmo Buswelu akionesha kwa vitendo jinsi ya kutumia mbolea wakati wa kupanda alipokuwa anazindua msimu wa kilimo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kitongoji cha Itulumwa Kijiji cha Utende wengine ni wakulima huku Mkurugenzi Mtendaji Teresia Irafay akishuhudia tukio hilo.

Hata hivyo amepongeza kazi nzuri inayofanywa na wataalam wa kilimo katika kuwaelimishwa wakulima  kulima  kulima kilimo cha kitalaam chenye tija.

 Pia  amepongeza wakulima nao  kwa juhudi wanazoonesha kuunga mkono juhudi za Serikali katika  kuleta maendeleo kwa kujishughulisha na kilimo.Katika uzinduzi huo Mhe.Buswelu alimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Filberto Sanga.


Mmoja wa wakulima Kiongozi akiweka mbolea kwenye shamba lake wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kwa mwaka 2022 kama inavyoonekana huku wakulima wenzake wakishuhudia tukio hilo.  

 Akiwa eneo la shamba darasa la Mkulima katika kitongoji hicho alishiriki kwa vitendo  katika kupanda mbengu ya mahindi kwenye shamba darasa la mkulima wakati wa uzinduzi huo kwenye kitongoji hicho.

 Hata hivyo ameendelea kuwahimiza wakulima kulima kilimo cha zao la pamba kwa kufuata kanuni bora za kilimo na mbinu bora za kisasa.

Akizungumzia lishe bora   amesisitiza wanafunzi wapatiwe chakula shuleni lishe bora ya watoto ni muhimu lazima wazazi watenge chakula cha watoto walioko shuleni wale shuleni ili kujenga upendo na ushiriikiano.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe Soud mbogo yeye ameshukuru kwa ushirikiano waliounesha wakulimaa akawasisitiza watumie mvua zinazoendelea kunyesha kulima mazao yatakayowasaidia kuondokana na ili kuhakikisha familia na taifa linakuwa na chakula cha kutosha.




.Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele Bi.Teresia Irafay,    akimkabidhi zawadi  ya mbegu za  Mahindi mkulima  aliyejibu maswali kuhusiana na kanuni bora za kilimo wakati wa uzindua msimu wa kilimo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kitongoji cha Itulumwa Kijiji cha Utende.

Mapema Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bi.Teresia Irafay katika taaria yake alieleza kuwa halmashauri imejipanga vyema kuhakikisha inawasaidia wakulima kufikia malengo .

Afisa Kilimo na Mifugo wa Halmashauri Luke Kifyasi ameeleza kuwa Halmashauri imejipanga vyema kuhakikishawanazalisha chakula cha kutosha na hakuna njaa.

Mwenyekiti wa  Halmashauri ya wilaya ya Mlele Mhe .Soud  Mbogo,akitoa neno  wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kitongoji cha Itulumwa Kijiji cha Utende.  

Nao wakulima walishukuru kwa  jinsi Serikali ilivyowajari hasa kwa kuwapatia mbolea za ruzuku kwa kuwa bei inayotolewa itasaidia katika kuongeza uzalishaji wa mazao mbolea hiyo wataitumia kwa malengo yaliyokusudiwa.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa