• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mkurugenzi mpya Halmashauri ya Bi Teresia Irafay akabidhiwa ofisi na aliyekuwa mkurugenzi aliyemaliza muda wake Mwl.Alexius Revocatus Kagunze

Posted on: August 13th, 2021

Mkurugenzi mpya Halmashauri ya Bi Teresia Irafay   akabidhiwa ofisi na aliyekuwa mkurugenzi aliyemaliza muda wake Mwl.Alexius Revocatus  Kagunze na kusisitiza apewe ushirikiano wa karibu katika utendaji kazi 

Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele wameombwa  kumpatia ushirikiano wa karibu katika utendaji  kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi Teresia Irafay  ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kushika wadhifa huo mpya kwa kuchukua nafasi iliyoachwa  na Mkurugenzi  Mtendaji aliyemaliza muda wake Mwl.Alexius Revocatus  Kagunze ambaye amehamishiwa ofisi ya Katibu Tawala Mkoa  wa Katavi kuwa Afisa Vijana na Michezo.

Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele Mhe. Soud Mbogo wakati wa Hafla fupi ya Makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika ofisini kwa Mkurugenzi huku wakuu wa Idara na Vitengo wakishuhudia hafla hiyo.

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Mwl.Alexius  Kagunze akizungumza kabla ya kukabidhi ofisi  kwa ameshukuru kwa ushirikiano alioupata kwa kipindi chote alichokuwa Mkurugenzi katika halmashauri hiyo akaomba wamsamehe pale alipokosea kwa kuwa naye ni mwanadamu na asiyeweza kukosea ni mwenyezi Mungu pekee yake lakini kwa mwanadamu makosa huwa yapo, na pale alipofanya vizuri  anasitahili kupongezwa akaomba apongezwe,pia ameomba yale mabo mazuri aliyoyatekeleza  na kuendeleza yaendelezwe

Baadhi ya mambo ambayo aliyotekelezani pamoja na kusimamia ukusanyaji wa mapato ya halmashauri,kusimamia miradi ya maendeleo,ujenzi wa vyumba vya madarasa,ujenzi wa jengo la Utawala,linaloendelea na ujenzi,utengenezaji wa madawati,miundo mbinu ya mbalimbali inayotekelezwa katika halimashauri sanjali na kuwawezesha vikundi vya wanawake vijana na watu wenye ulemavu kwa kuwapa mikopo.

Katika Sekta ya elimu Halmashauri imeendelea kufanya vizuri kwa kuongoza katika ufaulu kwa kipindi cha miaka mitano,pamoja na kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa kuvuka malengo tuliyojiwekea pamoja na kufanya vizuri katika matumizi ya fedha kwa kuweza kupata hati safi katika ukaguzi wa hesabu za Serikali.

Kwa upande wake  Mkurgenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele Bi Teresia Irafay  akizungumza na wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa Hafla hiyo ya makabidhiano amesisitiza ushirikiano,amani upendo na ushirikiano katika utendaji kazi.

Amesisitiza kufanya kazi kwa ushirikiano wa karibu kama timu kujiamini nakuleta matokeo chanja kwenye jamii tunayoihudumia.

Kila mtu  atekeleze wajibu wake kulingana na taaluma aliyosomea,suala la ukusanyaji wa mapato ya ndani bila mapato halmashauri hawezi kuwepo.amesisitiza ubunifu katika utendaji kazi kujituma katika uwajibikaji.

Amesisitiza uwekezaji kuongeza mnyororo wa thamani katika mazao yetu,kama asali,karanga,mpunga,mahindi ufuta na mazao mengine yanayozalishwa katika Halmashauri hiyo.

Amesema sanjari na hayo yeye ni muumini wa uhifadhi mazingira  akasistiza haki,amani na upendo katika kutekeleza majukumu yetu ya kila siku.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa