• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

ELIMU JUU YA UMUHIMU WA SENSA YA WATU NA MAKAZI IKITOLEWA NA MRATIBU

Posted on: May 19th, 2022

 

Mratibu wa Sensa Wilaya ya Mlele Deo Johanes aliyesimama, akitoa elimu juu ya umuhimu wa sensa ya watu na makazi kwa wajumbe wa Ngazi ya Kata,Vijiji na Vitongoji

kama inavyonekani pichani kwa nyuma ni wajumbe wa Kamati ya sensa ngazi ya wilaya

WAJUMBE WA  KAMATI YA SENSA  WILAYA  WAFANYA ZIARA  KWA AJILI YA UKAGUZI WA KAMATI ZA SENSA NGAZI YA KITONGOJI,KIJIJI NA KATA

Wajumbe wa Kamati ya Sensa Wilaya ya Mlele wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mhe. Filiberto Sanga ambaye  pia ni Kamisaa wa Sensa Wilaya  walifanya ziara  ya kutembelea Kamati za  Sensa ngazi ya Kata kwa kukutana na wajumbe  kuanzia ngazi ya Kitongoji,Kijiji na Kata kwa  Kata zote sita za Halmashauri ya wilaya ya Mlele kwa lengo la ziara hiyo ilikuwa   kuhamasishana,kujengeana uelewa,na kukumbushana majukumu  ya kamati na kutambuana  wajumbe  wanaounda Kamati hizo ili kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi  linalotarajiwa kufanyika nchi nzima  tarehe 23 mwezi mei mwaka huu.

Ziara hiyo ilianza tarehe 12 mwezi huu kwa kutembelea Kata ya Nsenkwa na kukutana na wajumbe wapatao(76 ),Kata ya Utende   wajumbe ( 98 ) na Kata ya  Kamsisi walikuwa wajumbe (61) na tarehe 14 mwezi huu wajumbe hao wa Kamati ya Sensa Wilaya wakiongozwa na Kamisaa wa Wilaya Mhe. Mkuu wa Wilaya walitembelea Kata ya Ilunde walikutana na wajumbe( 57) na Kata ya Ilela wajumbe (59  ) na  tarehe 15 mei ziara ya kutembelea wajumbe wa Sensa ngazi ya Kata ilihitimishwa kwa kutembelea Kata ya Inyonga na kukutana na wajumbe wapatao (105) kwenye ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga hivyo wajumbe wote waliohudhuria kwa kata zote sita kuwa jumla ya wajumbe wote waliohudhuria kwenye kata zote kufikia  (456).

Katika zote wenyeviti wa kamati ngazi ya kata kwa kata zote waliwahimiza wajumbe wao umhimu wa sense ya watu na makazi,ambapo kwa Kata ya Inyonga Diwani wa Kata hiyo ambaye pia ni  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele   Mhe.Soud Mbogo alimweleza  Mwenyekiti wa Kamati ya wilaya  kuwa wao kama wajumbe walikuwa wameishakutana na kupeana majukumu lakini alieleza kuwa wanaouelewa juu ya suala lililoko bele yao y la sense na wako tayari kupokea maelekezo ili nao waende kuwaelimisha wananchi kwa lengo la kufanikisha zoezila   sensa ya watu na makazi 

Akizungumza na wajumbe  kwa nyakati tofauti katika maeneo yote aliyopita  Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe. Filberto Sanga  alieleza kuwa katika kufanikisha Sensa  Serikali ilishaanza kufanya  maandalizi mbalimbali yakiwemo kutoa elimu kwa wananchi ili kujua umuhimu wa sensa,kuyatambua maeneo, kufanya zoezi la anwani za makazi ambapo shughuli mbalimbali zinaendelea  inayoendelea kama kuweka namba kwenye nyumba ikiwe ni sehemu ya maandalizi ya sensa,pia hamasa inaendelea kutolewa ili  wananchi waweze kuhamasika na kushiriki kuhesabiwa ifikapo mwezi Agosti 23 mwaka 2022.

Kuhusu suala la hali ya Usalama ameeleza kuwa bila kuwa na hali ya usalama hata zoezi la sensa ya watu na makazi haliwezi kufanikiwa hivyo ameendelea kuwaasa wananchi kuendelea kudumisha amani na usalama katika  maeneo yote ili waendelee kuishi kwa amani na utulivu.

Mhe Mkuu wa Wilaya ,akakemea vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani vinavyoweza kujitokeza wajiepushe navyo.Pia ameaasa wananchi waendelee kudumisha amani na utulivu na kujiepusha na mambo ambayo yanaweza kuleta uvunjifu wa amani kama vitendo vinavyosababisha mauaji kwa wilaya ya mlele ambavyo ni wivu wa mapenzi,kulipiza visasi,ramri chonganishi,kuuza ardhi,sanjari kuwataka wahifadhi chakula kuliko kuuza chakula chote kwa kuwa mwaka huu hali siyo nzuri.

Mbali ya kuwawahamisha wananchi kujitokeza kuhesabiwa pia amewaeleza mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo kwa kutekeleza miradi mbalmbali,katika sekta ya elimu,Afya,Maji,Miundombinu ya barabara inavyozidi kuimarika na kila huduma ya jamii kuboreshwa.mafanikio ni mengi yanyofanyika hivyo ni jukumu letu sote kuunga mkono juhudi hizo.

Katika hatua nyingine amewataka wale wote wanaoishi kwenye hifadhi za mistu waondoke na kurudi kwenye makazi yao ya asili ili waweze kuhesabiwa kuliko kukaa kwenye maeneo yasiyo ruhusiwa. Mhe.Sanga ametoa wito kwa wakazi wote wa wilaya ya Mlele wajitokeze siku ya zoezi la sensa ya watu na makazi ikifika  waweze kuhesabiwa na kuwataka wajumbe wa Kamat za sensa kwenda kuwahamasisha wananchi ili waweze kujitokeza. 

Mapema Mratibu wa Sensa Wilaya ya Mlele Deo Johanes akizungumza  na wajumbe amewaeleza kuwa sense ya watu na makazi ni zoezi maalum lenye lego la kukusanya na kuchambua takwimu za idadi ya watu katika nchi husika kwa kuangalia umri,jinsiazao, anuani za makazi, kiwango cha elimu, ajira, shughuli mbalimbali za watu taarifa za vizazi na vifo ili kufanya tathmini na kupanga mipango ya maendeleo kulingana na vyanzo vya mapato vilivyopo.

Mratibu huyo ameeleza kuwa katika zoezi la sensa, takwimu za mahitaji halisi ya wananchi yakiwemo makundi maalum yenye uhitaji maalum mfano watu wenye ulemavu,wanawake,watoto vijana na wazee hupatikana na hivyo kurahisisha uandaaji wa sera na mipango ya maendeleo kulingana na ulinganifu wa makundi husika katika jamii kwa kuzingatia uhitaji na mazingira yaliyopo.

Aidha amewakumbusha  majukumu waliyonayo wajumbe hao na kueleza kuwa kila mtu atahesabiwa pale atakapokuwa amelala,

 Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya mlele Bi.Teresia Irafay ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Sensa Wilaya alieleza kuwa wajumbe wa ngazi ya Kitongoji,Kijiji na Kata wanalo jukumu kubwa mbele yao kuhakikisha wananchi wao wana hesabiwa hivyo ni wajibu wa kamati hizo kuhakikisha wanahamasisha wananchi kujitokeza kuhesabiwa watoe ushirikiano wa karibu.

Aidha alieleza kuwa takwimu za sensa yya watu na makazi zitatumika katika kufuatilia utekelezaji  wa sera mipango na program mbalimbali za maendeleo ya  kuanzia ngazi ya chini kitaifa kikanda na kimataifa.

 mwisho.

  

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa