• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

HALMASHAURI YA WILAYA MLELE YAJIPAMBANUA KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO.

Posted on: September 9th, 2022

.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mlele Mhe.Soud Mbogo  akiwasilisha taarifa ya utendaji na uwajibikaji wa Kazi za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, uliofanyika katika ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga ulikuwa kwa ajili ya kufunga mwaka wa fedha 2021/2022 na kuanza mwaka mpya wa fedha 2022/2023

  •  HALMASHAURI YA WILAYA MLELE MUHTASARI WA TAARIFA YA KAZI NA UWAJIBIKAJI WA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022.ILIYOSOMWA 
  • UTANGULIZI
  •  MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA HALMASHAURI
  • Halmashauri ya wilaya ya Mlele ni miongoni mwa Halmashauri tano zinazounda mkoa wa Katavi  ambapo ina kjumla ya Tarafa moja, Kata sita na Vijiji 18, vitongoji 85 na  Jimbo moja la uchaguzi.
  •   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele   Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ilipanga kukusanya na kutumia jumla ya Tshs.  13,449,089,509.31 kwa  ajili ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali kati ya hizo kiasi cha Tshs 4,878,556.000.00 ni fedha za ruzuku  ya  Mishahara, Tshs766,276,000.00 fedha za  ruzuku ya matumizi mengine,Tshs 800,000,00 ni fedha za mapato ya ndani,Tsh 156,799,000.00 fedha za mapato fungiwa mifuko (CHF,User Fee School Fee na NHIF),Tsh 6,847,458,509.31 fedha za kutekeleza miradi mbalimbali y a Maendeleo.
  •   MAPOKEO YA FEDHA NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAK 2021/2022
  • Hadi kufikia Juni 30,2022 Halmashauri imepokea kiasi cha fedha , Jumla ya Tshs 12,033,091,723.80 kati bajeti idhinishwa kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli  mbalimbali zilizopangwa katika bajeti, katika fedha hizo pokelewa kiasi cha Tshs 4.675,818,900.00 ni fedha za ruzuku ya mishahara,Tsh 638,146,249.80 ni fedha za matumizi mengineyo(OC), Tsh 3,674038,803.25 fedha za utekelezaji wa miradi na Tsh 1,452,436,852.20 fedha za mapato ya ndani na Tsh 321,650,567.80 ni fedha za  mapato ya ndani fungiwa.
  •   UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI
  •   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele hadi kufikia Juni 30’2022 jumla ya Tsh 11,034,285,667.55 kati ya bajeti idhinishwa zimetumika katika  utekelezaji  kama ifuatavyo Tsh 4,675,818,900.00 zimetumika kwa lengo la kulipa mishahara ,Tsh 638,146,249.80 zimetumika kwa ajili ya matumizi
  • mengineyo (OC), Tsh 3,674,300,509 zimetumika katika kutekeleza miradi  maendeleo na Tsh 1,209,347,771.00 fedha za mapato ya ndani zimetumika kutekeleza shughuli za miradi na matumizi ya kawaida ambapo Fedha ya bakaa iliyotumika ni Tsh 127,055,028.86.
  • Pamoja na fedha hizo, Halmashauri imepokea Jumla Tsh 2,062 ,213,584.94 fedha za miradi ambazo hazikuwepo katika bajeti idhinishwa ya mwaka 2021/2022,kati ya fedha hizo Tsh 116,652,238 ni fedha za TASAF,Tsh 1,125,617,139.70  fedha za  UVIKO-19, Tsh 178,004,502.24 fedha za usafi na Mazingira (RWSSP-WASH),Tsh 287,000,000.00 Fedha za Tozo za Miamala ya Simu, Tsh 155,824,000.00 ni fedha za mradi wa LANES,Tsh 60,000,000.00 ni fedha TEA,na Tshs 26,400,000.00 ni fedha za mradi wa EP4R na Tsh 229,367,943.00 ni fedha za Ruzuku ya Serikali Kuu.
  • Kati ya fedha hizi hadi kufika Juni 30,2022 kiasi cha Tsh 1,710,290,617.92 zimetumika, Fedha za TASAF ikiwa ni Tsh 188,868,534.5, Fedha za UVIKO-19, Tsh 1,125,617,139.70,Fedha za Tozo ya Miamala ya Simu Tsh 234,259,004.00, Fedha za EP4R ni Tsh 25,777,000.00  na  Fedha za Ruzuku ya Serikali Kuu Tsh 229,369,943.00.
  • Fedha yote iliyopokelwa pamoja na bakaa kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ni T14,222,359,987.85 na fedha zote zilizotumika kwa mwaka husika ni Tsh 12,871,631,314.33
  • KUONGEZEKA KWA MAKISIO YA BAJETI
  • Mfanikio katika utekelezaji kwa shughuli za serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022
  • Ni kuongezeka kwa  Makusanyo ya mapato ya ndani ambapo makisio ya mapato ya ndani yameongezeka kutoka Tsh 725,043,900 mwak 2019/2020 na 2020/2021 hadi kufikia Tsh 1,264,398,000 mwaka 2021/2022 ikiwa ni ongezeko la Tsh 539,354.100 sawa na  74.4 asilimia.
  • Kwa upande wa makusanyo halisi yameongezeka kutoka Tsh 1,045,835,712.86 mwaka 2020/2021 hadi kufikia 1,452,436,853.2 mwaka 2021/2022 ikiwa ni ongezeko la Tsh 406,601,140.34 sawa na asilimia 39.
  • Bajeti ya Halmashauri imeongezeka kutoka Tsh10,580,224 mwaka 2020/2021 hadi Tsh 15,006,398,000 mwaka 2022/22023 ikiwa ni ongezeko la Tsh 4,426,176,776 sawa na asilimia 42.
  •  Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri ya wilaya ya Mlele imekuwa ya kwanza kimkoa na ya pili kitaifa katika ukusanyaji wa wa mapato kwa  kukusanya asilimia 185 ya lengo ikizidiwa na Halmshauri ya wilaya ya Kibaha iliyokusa asilimia 247.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa