• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ya Upaisha Mkoa Wa Katavi Katika Uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa na Ufaulu Darasa la Saba

Posted on: October 20th, 2019

Imeandaliwa na Kitengo cha Habari Mlele.

  Halmashauri  ya Wilaya ya Mlele ameendeleza rekodi yake kabambe ya kufanya vizuri katika shughuli maalum za serikali kutokana na kuongoza kitaifa uandikishaji wa wawapiga kura daftari la serikali za mitaa na kushika nafasi ya 13 kitaifa mtihani wa darasa la saba.

Matokeo hayo chanya ya kitaifa ni muendelezo wa historia za miaka yote ambayo mitihani na mambo ya uchaguzi ambapo mara kadhaa halmashauri imekuwa kinara. Katika zoezi la uandikishaji halimashauri ya Mlele imeshika nafasi ya 1 kitaifa kwa kuvuka lengo la serikali kwa 152% na kufanya agizo la Rais wa jamhuri ya muungano wa Mhe Joseph John Pombe Magufuli kutimia kwa asilimia hizo.

Shughuli ya uandikishaji wa daftaeri la uchaguzi wa serikali za mitaa ilifunguliwa kitaifa kwa tangazo la waziri wa TAMISEMI ambaye ndiye mwenye mamlaka mwishoni mwa mwezi wa octoba mwaka huu. Uandikishaji ulianza tarehe 7/10/2019 mpaka 14/10/2019 ambapo kutokana na muda wa kujiandikisha kuwa mdogo wizara ililazimika  kuongeza siku 3 ili kuhakikisha haki ya kupiga kura inapatikana kwa watu wote wa serikali za mitaa. Kutokana na kuvuka lengo la uandikishaji kwa 152% imesaidia kuongeza asilimia katika majumuisho ya mkoa.

Kama haitoshi Halmashauri ya Mlele imeshika nafasi ya 13 kitaifa, ya 1 kikanda na kimkoa katika mtihani wa taifa wa Darasa la saba. Mtihani huo wa darasa la saba ulifanyika mwezi wa octoba mwaka huu ambapo wanafunzi wamefaulu kwa 93.90% hivyo kuinua kiwango cha ufaulu Mkoa wa Katavi.

Kutokana na mafanikio haya makubwa yanayotokea kila mwaka uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele ukiongozwa na mbunge wa Jimbo la katavi Mheshimiwa Izack Kamwerwe ambaye pia ni waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano wameandaa hafla ya kuipongeza Halmashauri na walimu kwa kazi nzuri waliyoifanya.

Mkurugenzi Mtendaji wa  akiwa na furaha amesema mafanikio haya mazuri yana yanatokana na ushirikiano mzuri baina ya viongozi na wafanyakazi wa Halmashauri ambapo mahusiano hayo huongeza hamasa ya ufundishaji na kuinua kiwango cha ufaulu. Amepongeza ushirikiano mkumbwa anaoupata kwa mbunge wa jimbo la katavi ambaye pia ni Waziri katika wizara ya Ujenzi. Amesema mheshimiwa huyo amekuwa bega kwa bega katika kuhakikisha Halmashauri inapata matokeo chanya.

Hata hivyo anawashukuru wataalamu wanaoendelea na zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kwa jitihada kubwa wanazoonyesha na uwezo mkubwa wa kukabiliana na changamoto zinazojitokeza hivyo anaamini kuwa zoezi hilo litafika tamati kwa mafanikio makubwa. Watu wanaendelea kujitokeza na zoezi linaenda kwa kasi.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa