• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE YAPONGEZWA UKUSANYAJI MAPATO.

Posted on: December 15th, 2022

Na Kibada Ernest –Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Mlele.                                                                                                                Disemba 15,2022.

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA KUVUKA LENGO LA MAKUSANYO YA MAPATO NA KUVUKA MALENGO WALIYOJIWEKEA.

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi kwa kuvuka lengo walilojiwekea katika ukusanyaji wa mapato ya ndani wa zaidi ya asilimia mia moja themanini.

 Ametoa pongezi hizo wakati akiongea na watumishi wa umma muda mfupi baada ya kufanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ikiwemo kukagua ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Inyonga hadi Kijiji cha Mapili yenye urefu wa kilometa 11.7 iliyogharimu kiasi cha shilingi bilioni 8.69. 

 Barabara hiyo ni sehemu ya barabara ya Inyonga-Ilunde-Kishelo inayokwenda hadi kwenye mpaka wa Mkoa wa Katavi na Tabora ikiwa na urefu wa kilomita 11.7

Amesema Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ambayo imekusanya shilingi 1, 774,087,421 sawa na Asilimia 185 ikivuka lengo lake la mwaka la makusanyo ya Shilingi 957,000,000 katika mwaka wa fedha 2021/2022.amesema hiyo ni hatua kubwa

Halmashauri zingine zilizovuka malengo ya ukusanyaji wa mapato katika Mkoa wa Katavi ni pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe ambayo ilifanikiwa kuvuka lengo la makusanyanyo ya mwaka ya Shilingi 1,973,554,176 kwa kukusanya Shilingi 2,540,837,091 sawa na asilimia 129 ikishika nafasi ya Pili ki mkoa.

 Huku Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ikivuka malengo ya mwaka wa fedha 2021/2022 ya Shilingi 1,191,000,000 na kukusanya Shilingi 1,421,815,380 ikishika nafasi ya tatu.

Na  Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika ilishika nafasi ya nne iliyokisia   kukusanya Shilingi 4,452,617,530 sawa na Asilimia 100 ikifuatiwa na Manispaa ya Mpanda nafasi ya tano ambayo imekusanya Asilimia 97 ya Makisio ya Shilingi 3,577,000,000.

Hata hivyo Waziri Mkuu  amesisitiza kutobweteka kwa hilo na badala yake  bidii zaidi iongezeke katika ukusanyaji wa mapato kwa kuwa hiyo ndiyo injini ya Halmashauri katika uendeshaji bila mapato ya ndani Halmashauri haziwezi kujiendesha.

Amesisitiza kwenye makusanyo ya fedha na kwenye matumizi ni marufuku kutumia fedha mbichi ambayo hajaingizwa benki lazima fedha zote za serikali zikatiwe stakabadhi na kuwekwa benki,asiwepo mtumishi yeyeyote wa kutumia fedha bila kupelekwa benki atakuwa amekiuka maelekezo ya Serikali.

Katika hatua nyingine nyingine amesisitiza uadilifu kwa watumishi wa umma uchapakazi na maadili mema katika kuwatumia wananchi kwa kuwa ndio waajili wetu.kufanya kazi kwa kuzingatia miongozo taratibu kanuni na sheria za utumishi wa Umma.

 Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa