• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE YAWE MALENGO YANAYOTEKELEZEKA KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO. KWENYE PAJETI YAKE.

Posted on: February 4th, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  Bi. Teresia Irafay akitoa maelezo mafupi namna Halmashauri ilivyojipanga katika ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2022/2022 kwenye Kikao cha Kamati ya  Ushauri ngazi ya Wilaya Kilichokuwa kikijadili rasimu ya randama ya Bajeti Kilichofanyika Ukumbi Wa Makitaba Shule Ya Sekondari Inyonga, kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe Filberto Sanga aliyekaa Katikati ili afungue Kikao pembeni ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe.Soud Mbogo akama anavyonekana pichani .


HALMASHAURI YA WILAYA  YA MLELE  YAWE MALENGO  KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO.

Halmashauri ya Wilaya  ya Mlele  katika kipindi cha mwaka wa fedha  2022/2023 imepanga kukusanya kiasi cha tsh.13.988,289,459/= kwa ajili ya kutekeleza program mbalimbali zilizopangwa kufanyika katika ngazi ya Halmashauri.

 Akiwasilishwa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Halmashauri kwenye kikao  cha Kamati ya Ushauri ngazi ya wilaya kwa ajili ya kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023   Afisa Mipango wa Halmashauri ya Mlele Alfred Sungura kwa niaba ya Mkurugenzi  Mtendaji ameeleza kuwa   Bajeti hii imeongezeka kwa kiasi cha shilingi milioni 539,199,950.00 sawa na asilimia 3.85 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022.

Ameeleza kuwa  kati ya kiasi hicho shilingi 4,878,556.000 sawa na asilimia 34.88 ni kwa ajili ya mishahara,shilingi 556,276,000 sawa na asilimia 3.98 kwa ajili ya matumizi mengineyo, shilingi 7,055,119,509/= sawa na asilimia 50.44 kwa ajili ya miradi ya maendeleo.

Kiasi cha 1,264,389.000/=sawa na asilimia 9.04 ni kwa ajili ya mapato ya ndani (Own source Proper), Shilingi 233,939,950/= Sawa na asilimia 1.6 ni Mapato fungiwa (Protected Own Source,CHF,NHF,Schoolfee USER FEE, Commuinity contribution and DRF)ambapo bajeti hii imeongezeka kwa kiasi cha aasilimia 3.85 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022.

Kwa upande wa Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe Mlele  katika kipindi cha mwaka wa fedha  2022/2023 imepanga kukusanya kiasi cha   shilingi 17,218,976,432.45/ kwa ajili ya kutekeleza program mbalimbali za zilizopangwa kufanyika katika Halmashauri hiyo. 

Akiwasilisha rasimu ya randama ya Mpango wa Bajeti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwa kwa mwaka wafedha 2022/2023 kwa ajili ya kikao maalum cha ushauri cha wilaya kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji   wa Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe,Afisa Mipango wa Halmashauri hiyo  ameeleza kuwa  kati ya kiasi hicho 6,863,120,000/ ya bajeti yote ni kwa ajili ya Ruzuku ya MIishahara( PE,) shilingi  Shilingi980,752,844.28 kwa ajili ya ruzuku ya matumizi mengineyo( other charges).

Ameeleza kuwa kiasi cha shilingi 80,486,000/ya bajeti yote ya Halmashauri ni kwa ajili ya matumizi Mengineyo (OC) kutokana na fidia na vyanzo vya mapato vilivyofutwa (GPG), shilingi 3,139,747,138.19 ya Bajeti yote ni kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo inayofadhiliwa na Fedha za ndani (Development Local)

Kiasi cha shilingi 4,460,100,449.98 ya Bajeti yote ni kwa ajili utekelezaji wa miradi ya   Maendeleo inayofadhiliwa na Fedha za Wafadhili (Development Foreign) ,Shilingi 1,517,470,000/ ya Bajeti yote ya makusanyo ya Ndani yasiyofungiwa (Unprotected ).

Na kiasi cha shilingi177,300,000 ya Bajeti yote ni mapato ya ndani yaliyofungiwa –Protected(HIF+ADA YA KIDATO CHA 5&6)MAKUSANYO YA PAPO KWA PAPO+MADUKA YA DAWA +MINARA YA SIMU),ambapo Bajeti hiyo imeongezeka kwa asilimia 4.65 ukilinganisha na Bajeti ya mwaka uliopita wa fedha 2021/2022 ambayo ilikuwa ni 16,453,578,844.28 ambapo kiasi cha shilingi 690,milioni ni maombi Maalum ya nje ya ukomo wa Bajeti.

 Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa