• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele yazidi kujipambanua katika uzalishaji wa Zao la kimkakati la Korosho ili kuongeza tija kwa wakulima

Posted on: September 7th, 2021

Wakulima wa Zao  la Korosho  Halmashauri ya Wilaya ya  Mlele Mkoa wa  Katavi wamepatiwa mafunzo ya kilimo cha zao la korosho  kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa zao hilo.  Mafunzo hayo yametolewa na Bodi ya Korosho kwa kushirikiana Kituo cha utafiti wa zao la Korosho (TARI Naliendele) , lengo ikiwa ni kuongeza uzalishaji wa zao la korosho na matumizi bora ya viawatilifu kwa ajili  ya kupambana na wadudu waharibifu wa zao la korosho.

Akizungumza wakati wa mafunzo hayo Mtafiti wa zao la korosho kutoka kituo cha Utafiti TARI Naliendele Wiliam Valeri Mbasa ameeleza kuwa lengo kuu la mafunzo ni kuwasaidia wakulima kuongeza udhibiti wa wadudu waharibifu na magonjwa ya zao la korosho. Pia mtafiti alieleza mbinu bora za upuliziaji wa viwatilifu kwenye zao hilo.

Akifafanua zaidi  amesema kuwa   zao la korosho ni miongoni mwa mazao ambayo   ni  tegemeo kwa  uchumi wa Taifa na linaingizia  fedha nyingi  na uhakika wa soko unapatikana kwa urahisi, pia amewahakikishia wakulima kuwasaidia katika hatua ya ubanguaji wa zao hilo.

Naye Mandela Chikawe ni Mtaalam kutoka  Bodi ya Korosho  Mtwara ameeleza kuwa wao kama bodi ya korosho  wanahitaji wakulima wauze korosho iliyobanguliwa  lengo ni kuongeza thamani ya zao la korosho nchini pia mtalam huyo amesema bodi itazidi kuwapatia wakulima elimu ya zao hilo  ikiwa ni pamoja na mafunzo ya awali hadi pale korosho itakapovunwa.

 Akizungumzia  hali ya uzalishaji wa zao la korosho nchini  amesema kila mwaka uzalishaji umekuwa ukipungua kutoka tani laki 3, ikaja tani laki 2,  na mwaka jana uzalishaji ulikuwa tani  210,000.

 Pamoja na kuongezeka kwa upandaji wa zao la korosho uzalishaji   umeendelea kupungua kila mwaka kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa viwatilifu na mashine za kumwagilia.

Kwa Upande wake Afisa Kilimo Ushirika na Umwagiliaji Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Luke Kifyasi kwanza ameishukuru serikali ya Awamu ya sita inaoongozwa na mama Samia Suluhu Hasan kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Pamoja na Kituo cha utafiti wa zao la Korosho TARI Naliendele  kusaidia mbegu bora za zao la Korosho kwa wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

 Amesema zaidi ya wakulima 760 katika Halmashauri ya Mlele wamefanikiwa kulima zao la korosho katika eneo lenye ekari 120, na miche ambayo imepandwa hadi sasa ni 36,320 miche hiyo ikiwa katika hatua tofauti tofauti, pia amesema uzalishaji wa zao la korosho utaongeza tija kwa wakulima kwa kuwainua kiuchumi na kuongeza  mapato ya  serikali.

Washiriki wa mafunzo hayo kwa nyakati tofauti  wameishukuru serikali ya Awamu ya sita inaoongozwa na mama Samia Suluhu Hasan kwa kupatiwa miche pamoja na elimu kuhusiana na matumizi ya viwatilifu na mbinu za upuliziaji, wakulima hao wamesema mafunzo waliyoyapata yatakuwa chachu na tija katika uzalishaji wa zao la korosho kwenye wilaya ya Mlele.

 Naye Leonard Kiyungi Mkulima toka kijiji cha Kamsisi, Visenti Vitus kutoka Inyonga na Mtaalam wa ugani kutoka ngazi ya Kata  Esabela Pastol wameeleza kufurahishwa na mafunzo hayo wakasema watayatumia kwa malengo yaliyokusudiwa kuongeza uzalishaji wa zao la korosho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa