• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Ibada maalum ya Maombolezo.

Posted on: March 25th, 2021

 MAMIA KWA MAELFU YA  WAKAZI WA WILAYA YA MLELE,HALMASHAURI YA MLELE NA MPIMBWE  WAFANYA IBADA MAALUM  YA MAOMBOLEZO KUMWOMBEA  MHESHIMIWA  RAIS  HAYATI DKT JOHN JOSEPH MAGUFULI

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda ambaye pia ni  Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhemiwa Jamila Kimaro amewaongoza wakazi wa Wilaya ya Mlele mamia kwa maelefu katika Ibada ya maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Kipenzi cha watanzania katika  Ibada ya kumwombea iliyoengozwa na Baba Paroko wa Parokia ya Inyonga Padri Marcelo Butoyi, Ibada hiyo iliyoanza majira ya saa kumi jioni   24 machi 2021 siku ya Jumatano.

Akitoa Salaam za Serikali  kwa waumini na wananchi waliohudhuria Ibada hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe Recho Kasanda ambaye ni mgonjwa,Mkuu wa  Wilaya Mheshimiwa Kimaro amesema kifo hicho ni pigo kubwa kwa watanzania, Afrika na dunia kwa ujumla,hivyo ili kumuenzi kwa vitendo yale yote mazuri aliyotendea na kutuachia ni vyema   tukaendelea kuchapa kazi  kwa juhudi maarifa na bidii kuendeleza yale yote mazuri aliyotuachia kwa kuwa itakuwa ni njai nzuri ya kumukumbukaKiongozi wetu aliyetuacha.

Mkuu huyo wa Wilaya Kimaro ameshukuru kwa Ibada,  na  mahubiri mazuri   yaliyotolewa na   Baba Paroko katika Ibada ya  kumwombea aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Joseph  Magufuli ambaye  ametuacha na kutangulia mbele za haki.

Mhe,Mkuu wa Wilaya ameeleza kuwa kwa upande wa viongozi, Watumishi  wa Serikali wanaowajibu mkubwa kuenenda katika hali inayompendeza Mungu katika majukumu yetu ya kila siku,tukijua nafasi tulizokuwa nazo katika kutatua kero za wananchi, hapo tutakuwa tumemuenzi kwa vitendo kama alivyokuwa akifanya enzi za uhai wake Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Kuhusu Wilaya ya Mlele,  Mkuu huyo wa Wilaya ameeleza kuwa Mhe  Rais Hayati Magufuli amefanya mambo mengi mazuri ikiwemo  kuboresha miundombimnu ya Barabara, ujenzi wa  Hospitali ya wilaya ,Vituo vya Afya, Zahanati ,Ujenzi wa vyumba vya madarasa, huduma ya maji na mambo mengine kama umeme na kila sekta ya huduma ya jamii  ikiwemo kuwajali mama lishe,bodaboda,elimu bure   yote hayo ni mambo ya kujivunia,pamoja na mengine  mengi.

Akizungumzia suala la usafiri kwa Mkoa wa Katavi  ameleleza kuwa siku za nyuma, hali ilikuwa mbaya sana, wakati wa Mvua za masika Mawasiliano ya barabara  yalikuwa yakikatika ulikuwa huwezi kupita katika  barabara zetu, hadi kuzungukia Mkoa wa Kigoma.

Wananchi  wakitaka kusafiri kwenda mikoa ya Tabora hadi Dar es Salaam iliwalazimu kuzunguka kupita  Mkoa wa Kigoma hali ilikuwa mbaya sana wakati mwingine walikuwa wakisafiri hadi  mbili hadi siku tatu na pengine wiki iliisha wakiwa bado njiani.

 Lakini leo  hii zimejengwa barabara za lami zinazotuunganisha na mikoa mingine yote ni  kazi kubwa iliyofanywa katika kipindi cha uongozi wake na amefanya  bila kujali hakubagua maeneo ya nchi yote aliyapa haki sawa,hata kama wilaya ilikuwa   pembezoni  alijitahidi kupafanya paonekane ni bora sawa na maeneo mengine.

Suala la elimu nalo hajalipa kisogo watoto wa wanyonge hata wa kutoka katika  Wilaya ya Mlele alihakikisha wanapata elimu kama watoto wengine,suala la umeme yote hayo yametekelezwa,

Akimzungumzia mazuri yaliyofanywa na Hayati  Dkt  Magufufu amesema hatuwezi kuyamaliza  hata kwa kuandika kitabu kwa jinsi alivyotugusa  wanamlele hasa wilaya zetu zote  zimepata kupata maendeleo hakujali alijitahidi kuhakikisha watu wake wote wanapata maendeleo.

Aidha  Mkuu huyo wa Wilaya amesema pamoja na kumpoteza Dkt Magufuli lakini tumempata Kiongozi Mwingine aliyeapishwa Mama  yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ambaye sasa ni Rais  wa  Jamhuri Muungano  wa Tanzania.

 Mama huyo ni Shupavu mchapakazi,Mnyenyekevu Mvumilifu,na Msikivu na Mcha Mungu  atatuvusha na kutufikisha nchi ya ahadi,  hivyo tumwombee sana mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan  amepokea nchi katika kipindi kigumu cha majozi,Simanzi, na maombolezo  hivyo viongozi wote tunatakiwa tumwombee aweze kupata Viongozi wazuri watakaomsaidia kuongoza nchi.

Mapema akiongoza Ibada  maalum ya Maombolezo Baba  Paroko wa Parokia ya Inyonga  Padri Marcelo Butoyi amemwelezea  Rais Magufuli kuwa atajionesha kwa yale mazuri  aliyoyatenda katika nafsi za watu hivyo inatakiwa tumwombee kwa yote mazuri aliyotutendea kwa zawadi aliyotuzawadi Mungu kwa  kuwa Rais huyo hakika alikuwa ni mwema ndiyo maana unaona kila kona ya nchi na nje ya nchi wanamlilia ni kutokana na wema wake aliounesha kwa jamii iliyokuwa ikimzunguuka,alikuwa ni  mwema ambaye sasa hatuanaye tena lakini hatuwezi kumsahau.

 Amesema tunapaswa kumuenzi kwa maisha ya Sala kila mara tuwe tunakwenda kusalimu kujinyima kufanya toba na kutenda matendo ya huruma.kumenzi Mpendwa wetu Dkt John Pombe Magufuli.

  Naye Diwani wa Kata ya Inyonga amaye  ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe Soud Mlolwa Mbogo amesema kuhusiana na kifo cha Mpendwa wetu huyo yapo  mengi ya kumuenzi kwa  jinsi alivyokuwa amejitoa kuwatumikia wananchi  wake wa Tanzania hivyo amewataka wananchi  kumuenzi kwa yale yote mazuri aliyoyatenda na tumuache Mungu kupitia matendo yake mema.

Hatuna njia nyingine ya kumkumbuka badala yake ni kumuenzi kwa kuendeleza yale yote mazuri aliyoyafanya na kuayathamini kama miradi aliyoiacha iendelezwe na kila kitu kizuri lazima kiendelezwe hapo tutakuwa tumemuenzi.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Pascal Berege  amewahimiza wananchi kuzingatia yale yote waliyoaswa na Viongozi wa kiroho tuyazingatia na kuyaenzi na tuwe watulivu wakati wa kipindi hiki kigumu,na pia tuendelee kumwombea Rais wetu Mpya Mama Samia Hassan na Familia ya marehemu tusirudi nyuma tusonge mbele kwa kuyaenzi yale yote mazuri aliyotufundishwa Rais wetu Hayati Dkt Magufuli.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa