• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Kamati ya siasa Mkoa wa Katavi imefanya ziara ya siku moja kutembele na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

Posted on: July 23rd, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mwl.Alexuis Revocatus Kagunze mwenye skafu ya nembo ya Taifa akiwaongoza wajumbe wa Kamati ya siasa ya mkoa kukagua miradi ya maendeleo.  Anayemfuatia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mkoa wa Katavi Mhe.Beda Alfred Katani,na mwingine ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Sanga Filberto

Kamati ya Siasa Mkoa yapongeza ubora wa miradi H/ Mlele


Kamati ya siasa Mkoa wa Katavi imefanya ziara ya siku moja kutembele na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ikiwa ni sehemu ya kuangalia utekelezaji wa llani ya Chama cha Mapinduzi kwa kuwa wao ndio wanaounda serikali inayoongozwa na CCM.

 Miradi iliyotembelea ni miradi ya elimu shule ya msingi Kafulu Kata ya Utende,Miradi ya Sekta ya  ardhi na maliasili Kata ya Kamsisi,Sekta ya Afya Zahanati ya Kamsisi,Kituo cha Afya Inyonga B’pamoja na zahanati ya Masigo iliyoko Kata ya Ilela na kuridhishwa na utekelezaji wake.

Katika ziara hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mwl.Alexuis Revocatus Kagunze alisoma taarifa ya utekelezwaji wa miradi kwa kuonesha thamani ya kila mradi,nguvu za wananchi mchango wa Mhe,Mbunge,wahisani,Serikali Kuu na Halmashauri hali iliyowaridhisha wajumbe wa Kamati hiyo.

Wakiongea kwa nyakati wajumbe hao wakiongozwa na Mweyekiti wa CCM Mkoa Mhe.Beda Alfred Katani,Mjumbe wa NEC mkoa wa katavi Gilbert Sampa na Mweka hazina wa chama Mkoa Charles Kanyanda walitaka kujua jinsi mikakati iliyotumika katika utekelezaji wa miradi hiyo kwa ufanisi.

Kwa ujumla  kamati imeridhishwa na utekelezaji wake,Mwenyekiti wa CCM Mkoa akapongeza kwa juhudi hizo zilizofanywa za utekelezaji wa llani wakiongozwa na Mhe Mbunge wa Jimbo la Katavi Mhe Isack Kamwelwe kwa kuwaletea maendeleo.

Akasisitiza suala uwazi liendelee katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,wenyeviti wa vijiji  na watendaji wa vijiji waitishe mikutano ya vijiji ya kisheria na wasome mapato na matumizi na wabandike kwenye mbao za matangazo. Kwa wale wenyeviti watakaoshindwa kusimamia Ilani

katika eneo husika la kwake hatosita kumshughulikia ikiwa ni pamoja na kunyang’anywa kadi ya chama na kuvuliwa uanachama.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa