• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

MAADHIMISHO YA MUUNGANO MLELE YAZINDUA VYUMBA VYA MADARASA

Posted on: April 26th, 2023



Katibu Tawala Wilaya ya Mlele Linkolin Tamba      Wilaya ya Mlele  kulia  na Mhe.Soud Mbogo Diwani wa Kata ya Inyonga ambaye pia  ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya  Mlele  kushotowakikata utepe  kuzindua ujenzi wa Vyumba vitatu vya Madarasa Shule ya Sekondari Inyonga kuelekea maadhimisho ya miaka 59 Muungano vyumba hivyo viligharimu kiasi cha shilingi Milioni 60 vikiwa na meza na viti 120  kukamilika kwa ujenzi huo kutapunguza msongsmano wa wanafunzi katika shule hiyo yote hayo nai matunda ya Muungano hiyo  ni moja ya shughuli iliyofanyika kuelekea sherehe za Muungano.  

Vyumba vitatu vya Madarasa Shule ya Sekondari Inyonga vilivyozinduliwa wakati wa  maadhimisho ya miaka 59 Muungano vyumba hivyo viligharimu kiasi cha shilingi Milioni 60 vikiwa na meza na viti 120  kukamilika kwa ujenzi huo kutapunguza msongamano wa wanafunzi katika shule hiyo yote hayo nai matunda ya Muungano hiyo  ni moja ya shughuli iliyofanyika kuelekea sherehe za Muungano.  



NA. KIBADA ERNEST - KITENGO CHA MAWASILIANO HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE

 APRIL 26’2023

HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE YAADHIMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO KWA MAFANIKIO, MAKUBWA KWA KUFANYA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII ZILIZOAMBATANA NA  MICHEZO.

 Wananchi wa Wilaya ya Mlele wametakiwa kutumia Maadhimisho ya Sherehe Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwa kuendelea kudumisha Amani umoja na Mshikamano uliopo uliojengwa na waasisi wa Taifa hili Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kabarage Nyere na Mzee Abeid Aman Karume.

Hayo yamebainishwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mlele Linkolin Tamba  wakati akizungumza na wananchi kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ukonongo kwenye mdaharo wa Muuungano akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Majid Mwanga kwenye mdaharo huo ambaye alikuwa Mgeni Rasmi.

 Katika Mdaharo huo uliotanguliwa na shughuli mbalimbali za usafi wa mazingira na kisha uzindua vyumba vitatu vya Madarasa  vilivyojengwa Shule ya Sekondari Inyonga  kwa gharama ya shilingi milioni 60 vikiwa na madawati yake yote 120 ikiwa ni matunda ya Muungano ujenzi wa vyumba hivyo utasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani uliopo katika shule hiyo.

 Katibu Tawala huyo amewaasa  Viongozi na wananchi wote wa Wilaya ya Mlele katika Maadhimisho ya Muungano kuendelea kuuenzi Muungano wetu kwani ni mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine Afrika na Duniani kwa ujumla.

Mdaharo huo ulitanguliwa na shughuli mbalimbali ikiwemo bonanza kabambe la michezo  lililofanyika  uwanja wa shule ya Msingi Inyonga

.Na  wakati wa  bonanza  kulikuwa na michezo mbalimbali kama vile kuvuta Kamba,kukimbiza kuku,Mashindano ya Kula nyama ,kukimbia na yai  likiwa kwenye kijiko  mdomoni,mpira wa miguu Pamoja na michezo mengine.

Kabla ya bonanza hilo kulitanguliwa na shughuli mbalimbali za usafi ambapo Viongozi na wananchi walifanya usafi Kituo cha Afya Inyonga B’baada ya hapo kulifanyika shughuli ya uzinduzi wa  Vyumba vya Madarasa Matatu yaliyojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 60 shule ya Sekondari Inyonga yaliyopunguza Msongamano wa Wanafunzi.

Baada ya uzinduzi huo kulifuatia na Mdahalo wa kuzungumzi Muungano  uliofanyika ukumbi wa mikutano Ukongongo ambapo mdahalo ulijikita mafanikio yaliyopatikana kutokana na Muungano,ambapo wachokoza mada walizungumzia kabla ya muungano na baada ya Muungano huku wakikikumbusaha histori ya waaasisi wa Muungano Mwalimu Nyerere na Mzee Shehe Abed Aman Karume walivyoweza kuziunganisha nchi na kuleta Umoja wa Kitaifa

Awali wakizungumza wakati wa  Mdahalo huo Mhe Martin Mgoloka ambaye ni Diwani Kata ya Ilunde,Mhe Soud Mbogo Diwani wa Kata ya Inyonga, na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mlele walieleza mafanikio ya muungano napia  wamekumbusha vijana tuliokotoka  tulipo na tunapoelekea tukiwa na umoja na mushikano wetu ule ule ambao umedumisha Amani yetu.

Wengine kwa nyakati tofauti waliochangaia mada katika mdahalo huo alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri  Bi,Habiba Mtunguja  ambaye Mkuu wa Idara ya  Utumishi na Rasilimali watu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele,Pamoja na Mama Regina Msabaha  nao wachangine waliozungumzia faida za Muungano.,

 Mwisho

.Mhe.Soud Mbogo Diwani wa Kata ya Inyonga ambaye pia  ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya  Mlele akizungumza na wananchi  wa Halmashauri ya   Wilaya ya Mlele  Walioshiriki katika Mdaharo wa kuadhimisha   miaka 59  Muungano,wa Tanganyika na Zanzibar  Mdaharo huo ulifanyikia Ukumbi wa Mikutano Ukonongo,


Katibu Tawala Wilaya ya Mlele Linkolin Tamba akizungumza na wananchi  wa Halmashauri ya   Wilaya ya Mlele  Walioshiriki katika Mdaharo wa kuadhimisha   miaka 59  Muunga,o,wa Tanganyika na Zanzibar  Mdaharo huo ulifanyikia Ukumbi wa Mikutano Ukonongo kulia ni  Diwani wa Kata ya Inyonga ambaye pia  ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya  Mlele Mhe.Soud Mbogo Mlolwa na kushoto ni  Afisa Utumishi na Rasilimali watu Bi. Habiba Mtunguja akimwakilisha Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele 

.Wananchi walioshiriki Mdaharo kuadhimisha miaka 59 ya Muungano uliofanyika ukumbi wa mikutano wa Ukonongo kama wanavyoonekana pichani.wakifuatilia majadala wa mdaharo unaoendelea




Katibu tawala wailaya ya Mlele Mr TAMBAakikagua timu wakati  wa bonanza la michezo mbalimbali kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bonanza hilo liliongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mlele Linkolin Tamba Michezo mbalimbali ilifanyika katika bonaza hilo kama inavyoonekana pichani ikiwa michezo ya kula nyama kuvuta Kamba kukikmbiza kuku na mpira wa miguu.





 

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa