• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Maadhimisho ya usafishaji mazingira yafanyika Mlele

Posted on: September 16th, 2023


Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Bi,Habiba Mtunguja akiwaongaza wananchi wa Kijiji cha Utende kufanya usafi kwenye zahanati ya kijiji,

.

MAADHIMISHO YA SIKU YA USAFISHAJI  WA MAZINGIRA  DUNIA KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE YAMEFANYIKIA  KIJIJI CHA UTENDE KATA YA UTENDE KWA MAFANIKIO MAKUBWA.

Na Kibada Ernest –Mlele

16’ SEPTEMBA 2023

Maadhimisho ya siku ya usafishaji Mazingira  Duniani  kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi yamefanyika katika Kijiji cha Utende Kata ya Utende ambapo  wananchi  wameungana na wenzao duniani kote kuadhimisha siku ya usafishaji Mazingira  kwa kufanya usafi katika eneo la kutolea huduma za Afya Zahanati ya Utende.

Katika Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi Habiba Mtunguja,ambaye ni Mkuu wa Divisheni  ya Utumishi na usimamizi wa Raslimali watu ambaye pia ni  Mlezi za Kijiji hicho.

BI Mtunguja aliwashukuru Wananchi waliojitokeza katika madhimisho hayo  kwa kaucha shughuli zao na kuungana kwa pamoja  kujitokeza kwa wingi kufanya usafi katika maeneo hayo,

Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa zoezi la usafi amewashukuru kwa kujitokeza kwa wingi kisha akawaasa waendelee  na moyo huo  na wawe  wanafanya usafi mara kwa mara na wasisubiri tu matukioi kama hayo yanapojitokeza badala yake wajiwekee utaratibu wa  kufanya usafi katik amaeneo yao.

Naye Afisa Afya na usafi wa Mazingira Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kevin Ngoto ameshukuru na kuwapongeza wananchi waliojitokeza kwa wingi kufanya usafi, na  kusisitiza kuwa usafi uwe  sehemu ya utamaduni  wetu hivyo uwe unafanyika  mara kwa mara.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kijiji cha Utende  Edward Fundingoma amefurahishwa na kitendo kilichofanywa na Halmashauri kuleta maadhimisho ya usafshaji mazingira i katika Kijiji chao kwani kufanya hivyo ni heshima kubwa waliyowapa wananchi hao akaahidi kuwa wataendeea kutoa ushirikia zaidi  kwani  hiyo ni  tabia yoa kufanya usafi katika maeneo yao

Kwa upande wao  wananchi wa Kijiji hicho wakiongea kwa nyakati tofauti wameeleza kufurahishwa na kitando hicho cha kuwaletea madhimisho ya  usafishaji katika kijiji chao kwani kufanya hivyo ni kuwaheshimisha nao wanatendelea kulinda heshima hiyo kwa kufanya usafi na shughuli nyingine za Maendeleo.

Mwisho.



Picha za matukio mbalimbali Wananchi  wa Kijiji cha Utende wakifanya usafi katika eneo la Zahanati ya utende wakisherhrkra madhimisho ya usafishaji mazingira

Matukio  katika Picha mbalimbali wakati  wa kufanya usafi kwenye maadhimisho ya usafisahji mazingira  dunia.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa