• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mhe.Mashimba Ndaki Mwenyekiti wa Tume ya kutatua migogoro ya Ardhi

Posted on: October 13th, 2022

Mhe.Mashimba Ndaki Mwenyekiti wa Tume ya Mawaziri Nane iliyoundwa kutatua migogoro ya Ardhi akizungumza  katika ukumbi wa Manispaa ya Mpanda  baada ya kuwasili Mkoani Katavi kwa ajili ya ziara kutatua migogoro ya ardhi.

Maeneo ambayo yameonekana kuwa na migogoro ya ardhi mkoani Katavi,Serikali imeridhia kufanyia uhakiki upya na  ugawaji wa maeneo hao ili  kuja na suluhu ya kudumu ya kuondoa Migogoro hiyo.

 Akizungumza baada ya kutembelea baadhi ya maeneo hayo ikiwemo eneo la Visima Viwili lililopo katika Kata ya Kasekese wilayani Tanganyika,Mwenyeketi wa kamati ya mawaziri wa nane wa kisekta ambaye ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi,  Mhe.Mashimba Ndaki ameelekeza kufanyika upya tathmini kwa maeneo yote Mkoani Katavi yenye migogoro ya mipaka baina ya Wananchi na Mamlaka za Uhifadhi ili kuja na suluhu ya kudumu ya kuondoa Migogoro hiyo.

 Mhe.Ndaki amewaomba Wananchi  Mkoani Katavi kuepuka kuendelea kufanya shughuli za makazi katika maeneo ambayo hawana uhakika wa kuendelea kuishi ili kuepuka usumbufu na wakati mwingine  na hasara zisizokuwa na ulazima.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko akizungumza wakati wa utambulisho aliiomba tume hiyo ya Mawaziri Nane inayozunguka Nchi nzima kutatua Migogoro mbalimbali ya ardhi kuharakisha utatuzi wa migogoro mbalimbali ya ardhi inayoendelea baina ya Wananchi na maeneo ya hifadhi Mkoani Katavi ili kutoa fursa kwa Wananchi kufanya maandalizi ya mashamba kwa wakati ili kuendana na msimu wa Mvua ambao umekaribia.

Wananchi nao kwa upande wao wameomba kamati hiyo kushughulikia kwa haraka jambo hilo ambalo limekuwa likisababisha migogoro inayojirudiarudia.

Kamati hiyo ya Wizara nane za kisekta imeundwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wizara ya Kilimo na Ushirika, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Ofisi ya Rais TAMISEMI na Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)kwa ajili ya kutembelea maeneo yenye migogoro ya ardhi nchini na baadae kutoa mapendekezo ya namna ya kusuluhisha migogoro hiyo.

Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikali Wilaya ya Mlele.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa