• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mwl, Alexius Revocatus Kagunze katikati ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi,akiongoza kikao cha Baraza la wafanyakazi akiongoza kikao wakati wa kupitisha rasmu ya bajeti kwa m

Posted on: January 27th, 2021

BARAZA LA WAFANYAKAZI   HALMASHAURI YA WILAYA YA  MLELE  LIMEPITISHA RASMU YA BAJETI  YA SHILINGI BILIONI 10.6  KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022.

 Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Halmashauri ya Wilaya ya Mlele limepitisha rasimu ya Mpango wa Bajeti ya kiasi cha shilingi 10,630,214,302.26 kwa ajili ya kutekeleza program mbalimbali zilizopangwa kufanyika katika ngazi ya Halmashauri.ikiwa ni makusanyo matumizi kutoka   vyanzo mbalimbali vya,mapato,kama ifuatavyo, Mapato  ya ndani,Ruzuku ya mishahara,Ruzuku ya matumizi mengineyo na miradi ya maendeleo.

 Bajeti hiyo imewasilishwa na Afisa Mipango Deo Johanes na kueleza kuwa  Bajeti ya Halmashauri imeandaliwa kwa kuzingatia maelekezo ya jumla na maelekezo mahususi ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti wa Mwaka 2021/22 ulioandaliwa chini ya Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 ambao utatumika katika uandaaji, uwasilishaji na utoaji wa taarifa za utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2021/22 ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa 2025.

Katika kuandaa Mpango na Bajeti ya Mwaka fedha 2021/22, Halmashauri imezingatia Sera na Miongozo

Ya  Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano  2020/21 – 2024/25,Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Maelekezo ya Serikali yaliyoainishwa na Mheshimiwa Rais wakati wa uzinduzi rasmi wa Bunge la 12 mwezi Novemba, 2020 Sheria ya Bajeti, Sura 439 pamoja na Kanuni zake, Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya Tatu, Malengo ya Maendeleo Endelevu na Mwongozo wa Ushirikiano wa Maendeleo, sanjari  na makubaliano mengine ya kikanda na kimataifa ambayo Serikali imeyaridhia.

Katika Kikao hicho cha Baraza la Wafanyakazi kupitia na kujadili rasimu  ya bajeti kwa  mwaka wa fedha 2021/2022.wajumbe walipata nafasi kujadiliana na kupitia kifungu kwa kifungu na kuridhia kuipitisha kwa mstakabari wa maendeleo ya Halmashauri

Kikao hicho kilikuwa chini ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mwl, Alexius Revocatus Kagunze ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Kikao hicho, kikao hicho kilihudhuriwa na Katibu wa TALGWU Tanzania Mkoa wa Katavi Angerina Ntamo na Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania Mkoa wa Katavi Rosemari Mwakibete,

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa