• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

MKUU WA MKOA ATOA MUELEKEO WA NAMNA YA KUFIKIA MATANZAMIO KTK MAENDELEO

Posted on: November 15th, 2018


Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bwana Amosi Makala ametoa mwelekeo huo Wilayani Mlele Jana jumatano wakati akiongea na watumishi wa halmashauri ya  Mlele  wakuu WA idara  na Watendaji katika ukumbi wa Ukonongo mjini Inyonga.  

katika mkutano huo alisema "pamoja na kuwatuma viongozi wenu waje kuwambia ninayotaka yatekelezwe "nimeamua kuja mwenyewe kuwaambia mwenyewe,  

Naanza jambo la  kwanza:-

Jambo la Kwanzaa ELIMU: katika elimu Sitaki kusikia kwamba watoto waliofaulu kwenda kidato cha kwanza hawajaenda shule. Nahitaji kupata taarifa mapema ya watoro kidato cha Kwanzaa na std 4,  walioripoti shule na walioenda shule za binafsi.  

Aliwasisitiza Watendaji wa Kata na vijiji kukomesha utoro na mimba mashuleni.  Aliwaonya kutokuwa wasuluhishaji kwa kusema "baadhi yenu mumekuwa wasuluhishaji sasa aliyempa mimba mwanafunzi kamata weka ndani.  Atakaye suluhisha taarifa zitatufikia tu wakati wakushughulika na watoro.

Jambo la pili ni kusoma taarifa ya Mapato na matumizi. Alisema kutosoma taarifa ya mapato na matumizi kunapunguza ari ya wabanchi kuchangia maendeleo. Nataka kupata taarifa ya mapato na matumizi kila mwezi. Mtu mmoja kuti kusoma mapato na matumizi atasababisha serikali yote kuonekana tunababaisha. Nendeni mkasome tarifa hizo. Hiyo ni amri na sio hiari

Jambo la  tatu  ni Kilimo, huu ni msimu wa kilimo ni lazima tuongeze juhudi katika msimu huu tuendeleze historia yetu ya kujitosheleza kwa chakula. Nataka kila  mtendaji ajue namna ya kupata pembejeo. Taarifa  itoke kwenu mlio karibu na wananchi.   Nataka kupata taarifa mapema zitoke kwenu kwenda kwa mkurugenzi kabla ya tarehe moja kila mwezi na nakala kwa DC ili anitumie tarehe 15 .

Muwasimamie wagani wafanye kazi zao za msingi. Sitaki kuona wagani   na walimu wakuu wanafanya kazi tofauti na kazi zao za msingi.

Jambo la nne ni Afya. Aliwaasa watendeji kuwashawishi wananchi kuanzisha maboma ya zahanati ili serikali nayo imalizie. Waganga wajue kuwa dawa muhimu zipo Katika maeneo yao ya kazi ili wananchi wapate huduma hiyo muhimu. Katika Kata zetu mkoa unataka kuimarisha huduma kwa mama na mtoto. Nilazima muwe na ushawishi Katika suala la zahanati. Falsafa ya  watu hawalaximishwi kufanya jambo la maendeleo wanashawishiwa ili waamue wenyewe.


Jambo la Tano ni migogoro. Tunatakiwa kutatua migogoro na kuizuia haswa kipindi hiki cha kilimo. Sitaki kusikia migogoro ya wakulima na wafugaji. mfano Kanoge kuna watu walisababisha Mkulima akaonewa na mfugaji. Msielemee upande mmoja bila kuangalia Haki.


La sita na la mwisho Uchaguzi,  tunaelekea kwenye uchaguzi.  Muanze uhakiki wa wapiga kura.  Kipindi hiki wageni ni Wengi wasije kutuharibia uchaguzi.  

Asanteni kwa kunisikiliza.

Na: Joseph pmby

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa