• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

MKUU WA WILAYA MLELE AHUTUBIA WANANCHI

Posted on: May 5th, 2023

 Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe. Majid Mwanga akizungmza na wananchi wa Kata ya Inyonga Viwanja vya shule ya Msingi Inyonga Kama wanavyoonekana.

4.Wananchi wa Jimbo la Katavi wakimsikiliza Mbunge wao kwa wakifuatilia kwa umakini kile kinachozungumzwa katika Mkutano huo.

MKUU WA WILAYA MLELE AWATAKA WAZAZI KUCHANGIA CHAKULA SHULENI


Na Kibada  Ernest –Mlele Katavi

Mei 4/2023.

 Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Majid Mwanga amewataka wazazi na walezi Wilayani humo waendelee kuchangia chakula cha mchana kwa wanafunzi wote kwa shabaha ya kuinua kiwango cha ufaulu.

Ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi wa   Inyonga katika Mkutano wa hadhara ulilofanyika katika Viwanja vya shule ya Msingi Inyonga iliyopo Halmashauri ya Wilaya Mlele.

Aidha amewaelekeza viongozi wa Serikali za Vijiji kuendelea kutekeleza mkakati wa utoaji wa chakula  shuleni kwa kuwamasisha wazazi kuchangia kwa mujibu wa sera ya Elimu bila malipo.

Mhe.Mwangaameeleza kuwa  mtoto akipata chakula hata ujengefu wa mwili na akili unakuwa vizuri na anajifunza vizuri na kuwa na fikri nzuri tofauti na mtoto asiyepata chakula cha mchana akili inakosa uwezo wa kufikiri akiwa na njaa hivyo ni vyema watoto wetu wakala chakula mashuleni,haoni sababu ya watoto kutopata chakula wakati sisi ni wachapa kazi na wazalishaji wa zuri na vyakula tunavyo tofauti maeneo mengine hatuna njaa.

Ameeleza kuwa kila chakula wananchochangia ni sehemu ya chakula chao chao wanapokuwa nyumbani hivyo “niwahimize wazazi wote kuhakikisha watoto wanapata chakula shuleni”alisema  Mhe.Mwanga.

 Aidha amewapongeza Viongozi  ambao wamekuwa bega kwa bega katika kuelimisha jamii na wazazi kuhusu umuhimu wa utoaji wa chakula cha mchana Shuleni.

 “Napenda kupongeza Kata zote ambazo zinazotoa chakula cha mchana kwa wanafunzi Shuleni, utoaji wa chakula cha mchana Shuleni huleta usawa kati ya walionacho na wasionacho, huimarisha mahudhurio ya wanafunzi shuleni huongeza usikivu wa wanafunzi darasani na hutunza muda wa ratiba nzima ya shule” alisema MkuU wa wa Wilaya Mwanga

Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Mipango na Ufuatiliaji akiwaeleza wananchi jinsi halmashauri inavyotekeleza mipango ya kuwaletea maendeleo

Mapema akitoa  taarifa kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Mgeni rasmi, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Mipango na Ufuatiliaji Alfred Sungura, ameelezaa kuwa  Halmashauri ya Wilaya Mlele  ndiyo inayosimaia utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya Shule Zahanati na Vituo vya Afya kwenye Halmashauri.

Sungura amebainisha kuwa yapo maendeleo makubwa kwa kipindi cha miaka mitano, hiyo kwa upande wa Shule za Msingi kulikuwa na  Shule 13 mwaka 2019 lakini sasa zipo shule za Msingi 25,upande wa Shule za Sekondari zilikuwepo tatu kwa sasa zipo Shule kumi.

 Upande wa Zahanati kulikuwa na Zahanati sita kwa sasa zipo Zahanati kumi,na vituo vya Afya vinajengwa na Hospitali ya Wilaya ipo  hayo ni maendeleo makubwa.

Kuhusu suala la chakula mashuleni  Halmashauri iweka mikakati  ya kuhamasishaji jamii inachangia masuala ya elimu kwa kila shule, wakishirikiana na kamati za Shule kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata chakula cha mchana jambo ambalo litasababisha kuongezeka kwa ufaulu sanjari na kushuka kwa takwimu za utoro.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mlele Mhe.Soud Mbogo akizungumza na wananchi wa Kata ya Inyonga Kwenye Mkutano wa Hadhara viwanja vya Shule ya Msingi Inyonga


Wananchi wa Kata ya Inyonga wakimsikiliza Mwenyekiti wa Halmasahauri ya Wilaya ya Mlele Mhe.Soud Mbogo wakati akiwahutubia na kuwaambia maendeleo yaliyofanyika  kwenye kata yake.  

 



Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa