• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mkuu wa ya Mlele Mhe Rechal Kasanda arejea ofisini kwakekuchapa kazi

Posted on: April 13th, 2021

DC AREJEA KAZINI BAADA YA MIEZI SABA KITANDANI.

Mkuu wa wilaya ya Mlele Mhe Rechal Kasanda arejea ofisini baada ya kulazwa miezi saba kitandani akipatiwa matibabu kufuatia   ajali  aliyoipata akiwa katika majukumu ya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe oktoba 2020.

Akizungumza na watumishi katika ukumbi wa maktaba shule ya Sekondari Inyonga  Mhe MKuu wa Wilaya Rechal Kasanda  ameshukuru kwa jinsi walivyoweza kumwombea wakati yuko kwenye matibabu.

 Pia ameshukuru na kutoa  pongeza kwa jinsi walivyotoa wanatumishi na wananchi wote wa wilaya ya Mlele walivyotoa ushirikiano wa karibu katika kutekeleza miradi ya maendeleo wakati yeye hayupo kazini, kwa kuonesha  ushirikiano kwa viongozi waliokaimu nafasi yake.   Muda wote aliokuwa kwenye matibabu akaomba ushirikiano huo  uendelea katika uchapaji kazi.

Mbali ya kuzungumza na watumishi wa ofisi yake  pia alizungumza na watumishi wa Halmashauri pia kamati ya ulinzi na usalama,waheshimiwa madiwani wachache waliokuwepo  pamoja na watumishi kutoka taasisi nyingine zilizopo katika wilaya hiyo.

 Kabla ya kukutana na watumishi  alipata nafasi kutembelea baadhi ya miradi ya maendeleo kukagua na kujionea maendeleo ya miradi hiyo  ambayo ni sehemu ya utekeleza   wa   Ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Mkuu huyo wa wilaya Mhe Kasanda alitembelea  Ukarabati mkubwa wa kiwanda cha Asali Inyonga, Umaliziaji wa jengo la upasuaji kituo cha Afya Inyonga “B,” Ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, na ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Mlele.

 Baada ya kutembelea miradi alikutana na watumishi kuzungumza nao na kuwapongeza watumishi wote kwa usimamizi na ushirikiano walioutoa, pia alitoa hongera kwa kupata Rais Mpya Mhe Samia Suluhu Hassani  tena mwanamke, akaomba waendelea kutoa ushirikiano  na kumwombea aweze kuongoza Taifa hili,kisha Mkuu huyo wa wilaya akaeleza kuwa amerudi ofisini rasmi kuchapa kazi ili Wilaya ya mlele iweze kusonga mbele kwa ushirikiano wa watumishi, waheshimiwa madiwani, na wananchi wote kwa ujumla wa wilaya ya Mlele.

Aidha amesisitiza kusimimamia miradi yote ya maendeleo  kwa ukaribu ili iweze kukamilika,pia amepongeza Halmashauri kwa kupata hati safi sanjali na kufanya vizuri katika suala la elimu hususani elimu ya Msingi kwa kuwa miongoni mwa halmashauri zilizofanya vizuri kitaifa na kuwa kati ya kumi bora.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kikao cha watumishi kutoka Idara mbalimbali za Halmashauri na Taasisi zilizopo Wilayani humo katika kikao cha  Mkuu wa Wilaya kilichofanyika ukumbi wa maktaba shule ya Sekondari Inyonga.

Moja ya mambo aliyosisitiza ni ushirikiano,uchapakazi,na uwajibikaji katika utendaji kazi wa kawaida watumishi wasingoje kusumwa katika kutimiza wajibu wao,kwa kuwa ndiyo kazi tulizoajiriwa nazo kila mmoja atomize wajibu wake.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATAALAMU

    June 03, 2025
  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa