• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mratibu wa TASAF Mkoa wa Katavi Ignasi Kikwala

Posted on: December 5th, 2020


Mratibu wa TASAF Mkoa wa Katavi Ignasi Kikwala akifuatilia kwa umakini uhakiki wa Walengwa wa Kaya Masikini kijiji cha Usevya Kata ya Usevya Wilaya ya Mlele kwa mwezi wa Disemba 2020.

 WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI TASAF  WILAYA YA  MLELE WAELEZA MPANGO HUO, JINSI ULIVYOWANUFAISHA KUPUNGUZA UMASIKINI NA  UWEPO MPNGO HUO. KATIKA ZOEZI LA UHAKIKI WA KAYA ZA WALENGWÄ.

Mfuko wa maendeleo ya Jamii TASAF umefanikiwa kwa kiasi kikubwa kusaidia Walengwa wa Mpango wa kuondoâ Umasikini TASAF awam ya tatu katika Wilaya ya Mlele kwa walengwa walivyonufaika.

Kutokana na kuwepo   kwa mpango mpya wa uhakiki  wa majina ya walengwa   ili kuwätämbua  na kuondoa dhana liyojengeka   kwenye jamii  kuwepo wälengwa hewä zoezi hili litasadia kuondoa changamoto iliyokuwepo awali.

Kufutia TASAF  kufanya  zoezi  la kuhakiki taarifa mpya za walengwa  wa mradi  wa kunusuru  kaya  masikini,kazi hiyo ambayo inafanywa na maafisa wawezeshaji wa TASAF toka Halmashuri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi walengwa wameeleza kufurahishwa na zoezi hilo kwa kuwa wanaona yapo mafanikio makubwa katika mpango huo  kwani  umewasidia kuwapunguzia umasikini.
 Walengwa katika mpängo huo wanaeleza jinsi  ulivyowasaidia kupunguza umasikini sanjari na kuwapatia elimu kwa kutumia fedha za mpango wamefanikiwa kusomesha watoto kuanzia elimu ya msingi hadi Sekondari,kufuga mifugo,kulima na kujenga nyumba  bora  na kupata makazi mazuri.

Wakizungumzia mpango huo kwa nyakati tofauti baadhi ya walengwa kutoka Vijiji vya Mbede,Ukingwamizi,ChamalendiKanindi,Kilida,Kasansa,Minyoso,Mkwajuni,Mwamatiga,Mwamapuli, Ikulwe na maeneo mengine katika Halmashauri ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele waliojitambulisha kwa majina ya Sarafia Joh, Amina Sikale , Ezebio Mwendo wa saa mgandila, pamoja na wengine wengi wametoa ushuhuda wao  jinsi mpango ulivyo muhimu kwa jamii ya kaya masikini,na namna ulivyowasaidia.

Hosea Mwankusye ni Afisa mfuatiliäji wa miradi ya TASAF Wilaya ya Mlele akizungumza wakati wa zoezi la uhkiki wa walema wa kaya masikini anasema unaofanyika ni kwa nia njema ili kuwatambua walengwa na kuongeza walengwa wapya waliosahäurika,ama kuwepo waliohama au kufariki ili waweze kuondolewa kwenye orodha ya daftari la walengwa au kuongezwa.

 Kwa upande wake Mratibu wa TASAF Mkoã wa Katavi Ignas Kikwala ameeleza kuwa zoezi la uhakiki wa majina ya walengwa lmefanyika mkoa mzima kuwatambua walengw na kurekebisha taarifa zao upya.

Kikwala amesema zoezi hilo la uhakiki wa kaya masikini ni kwa lengo jema la  kuwatambua walengwa kwa kuwa wapo baadhi ya walengwa waliofariki,na wengine walihama kutoka eneo walilokuwa wanakaa wilaya au Mkoa na unakuta bado majina yao yanasomeka kule walikokuwa na fedha zinakuja lakini hawapati fedha.

,Zoezi la uhakiki wa kaya za walengwa imefanyika kwa umakini na uweledi wa hali ya juu kwa kuwa unafanywa na watumishi wa mma waliopewa mafunzo namna ya kutumia kishikwambi,zoezi limekuwa la mafanikio makubwa katika wilaya ya Mlele ambayo ina Halmashauri  mbili za Mlele na Mpimbwe ambazo walengwa wake wamenufaikä na mpango wakunusuru kaya masikini pamoja na nyingine za Mkoa wa Katavi ambazo ni Halmashauri Nsimbo, Halmashauri yaManispaa ya Mpãnda pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda iliyoko Wilaya ya Tanganyika.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa