• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

MWENGE WA UHURU WARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA SHULE (SEQUIP)

Posted on: September 26th, 2022

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru  Kitaifa Bw. Sahili Geraruma ameridhishwa  ujenzi  Shule ya Sekondari Kamsisi kwa na ubora na viwango vinavyohitajika.

Kukamilika kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari Kamsisi imeelezwa kuwa itakuwa mkombozi kwa wanafunzi wanaotembea umbali mrefu wa zaidi ya kilometa nane hadi kumi na tano kila siku kufuata masomo shule ya jirani ya Inyonga iliyoko Kata ya Inyonga

Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2022, Sahili Geraruma akizungumza muda mfupi baada ya kutembelea na kukagua ujenzi wa madarasa ya shule hiyo, ameeleza kufurahishwa na kuridhishwa usimamizi mzuri wa na kazi iliyofanyika ya ujenzi na usimamizi wa mradi huo.

Amesema mradi huo wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Kamsisi iliyojengwa kwa Fedha za Mpango wa kuboresha elimu ya Sekondari SEQUIP ni moja ya Shule bora hapa nchini iliyojengwa na kusimamiwa kwa ubora unaotakiwa.

Hakika ujenzi huo umezingatia viwango vinavyohitajika kwa kuwa tangu nimeanza kukagua miradi ya SEQUIP karibu maeneo niliyopita sijaawahi kukutana na mradi mzuri na wenye ubora kama huu hongereni sana Halmashauri ya wilaya ya Mlele” amesema kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Geraruma.

Katika halmashauri ambayo miradi imependeza ni pamoja na mradi huu wa, (Secondary Education Quality Improvement Program SEQUIP) ambapo fedha kiasi cha shilingi 565,113,000 kilitolewa na hadi sasa kiasi cha shilingi milioni 512,113,000 imetumika.

Katika hatua nyingine amewataka wataalam kutumia elimu zao walizosomea kwa ajili ya kuiletea maendeleo taifa na waweze kuweka alama hata kama wataondoka katika eneo la kazi,taaluma ziongee Katika utendaji kazi wao.

Mapema akisoma taarifa ya ujenzi wa shule hiyo Mkuu wa Shule ya Inyonga Sekondari Mwalimu Patrick Kapita ambaye ni ndiye Msimamizi wa ujenzi wa Shule hiyo alieleza kuwa ujenzi ulianza mwaka 2022 mwezi machi baada ya kupokea fedha kiasi cha shilingi milioni 565,113,000/=kutoka Mpango wa kuboresha elimu ya Sekondari (Secondary Education Quality Improvement Program( SEQUIP).ikiwa ni utekelezaji wa sera ya Serikali inayotaka kila Kata kuwa na shule ya Sekondari, na Kata ya Kamsisi ililikuwa Kata pekee katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ambayo haikuwa na Shule ya Sekondari.

Mradi huo ulihusisha ujenzi wa jengo la utawala,vyumba vitatu vya maabara za masomo ya sayansi,vyumba vinane vya madarasa ,maktaba moja ,chumba kimoja cha TEHAMA na matundu 20 ya vyoo hadi kukamilika ujenzi utagharimu kiasi cha shilingi milioni 565,113,000 na hadi hatua hii iliyofikia kiasi cha shilingi milioni 512,113,000 imetukoa na ujenzi  uko katika hatua za ukamilishaji.

Kukamilika kwa Mradi huo kumeelezwa kutapunguza msongamano wa wanafunzi katika shule mama ya sekondari ya Inyonga unaotokana na ongezeko la ufaulu wa wanafunzi katika shule za msingi ikiwa ni utekelezaji wa waraka wa elimu na 5 wa mwaka 2015 wa Elimu bila malipo .

Leonard Kiyungi ni Mwakilishi wa wananchi Kata Kamsisi amemushukuru Mhe Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano anayeongoza Serikali ya awamu ya sita kwa kuwaletea fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo na miradi mingine ya Maendeleo.

Akaongeza kuwa kukamilika kwa ujenzi wa shule hiyo kutasaidia kupunguza umbali wa wanafunzi wa Kata ya Kamsisi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu wa zaidi ya kilometa 8 hadi 15 kila siku kuifikia shule  ya Sekondari ya Inyonga ambayo ni shule mama.

Faida nyingine Kiyungi ameitaja  kuwa ni kuwalinda wanafunzi dhidi ya vitendo vya ubakaji na kushambuliwa na wanyama wakali,pamoja  kutapunguza mdondoko wa wanafunzi uliokuwepo na hatimaye kuongeza ufaulu.

Imeandaliwa na Kibada Ernest Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa