• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA ILUNDE

Posted on: September 26th, 2022

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa 2022  Sahili Nyanzabara akikagua moja ya majengo ya kituo cha Afya Ilunde  akiongozana na Mganga Mfawidhi wa Kituo Dkt Letisia Sebastin kushoto na kulia ni Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhandisi Bura.


Zaidi ya Wananchi 23,000 wa Kata ya Ilunde Halmashauri ya Wilaya ya Mlele waepukana na adhaa ya kutembea umbali mrefu zaidi ya kilometa 60 kufuata huduma ya afya Kituo cha Afya Inyonga kilichoko Makao makuu ya Halmashauri umbali wa kilometa 60 baada ya kuwekewa jiwe la msingi kituo chao cha  Afya.

Hali hiyo imewafanya wananchi kuishukuru serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassani kwa kuwakumbuka wananchi na kuwaletea fedha kiasi cha silingi milioni 792,100,000 kwa ajili ya ujenzi wa majengo katika kituo hicho. Ambacho kimewekewa mawe ya msingi na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2022, Sahili Geraruma hivyo kuwafanya wananchi hao kushukuru kwa kitendo hicho.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti  wananchi hao   wameishukuru Serikali kwa kazi nzuri ya iliyofanyika ya kuwapelekea fedha  nyingi zaujenzi wa miundombinu ya afya.

 Martin Mgoloka ni mwakilishi wa wananchi katika Kata ya Ilunde ameishukuru serikali kwa niaba ya wananchi wake kwa jinsi walivyowaheshimisha wananchi hao, ambao walikuwa wakijiona kama vile wametengwa lakini sasa nao wanaonekana kuwa ni watanzania.

Moja ya jengo la kituo cha afya Ilunde halmashauri ya wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi  ambalo litasaidia kwenye utoaji wa huduma ya afya kwa wakazi wa eneo hilo.


Mgoloka anasema Fedha zilizoletwa kiasi cha milioni 792.1 zimesaidia kuboresha majengo ya kituo hicho cha afya kilichokuwa na majengo machache na huduma zilikuwa hazijaanza kutolewa sasa itakuwa ni mkombozi kwao maana huduma zitaanza kutolewa hapo..

Mapema Dkt Leticia Sebastin ni mganga Mfawidhi wa kituo cha Afya Ilunde akisoma taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa majengo ya kituo kwa kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Sahili Geraruma amesema Mradi huo ni mwendelezo wa ukamilishaji wa majengo muhimu ya kituo cha afya kilichoanza mwaka wa fedha 2018/2019.

Dkt Leticia amesema kwa awamu hii mradi umehusisha ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje ,kichomea taka,shimo la kutupia kondo la nyuma jengo la kufulia ambayo yaliletewa kiasi cha shilingi milioni 250,000/=. Fedha kutoka serikali Kuu,

Majengo mengine ni Jengo la utawala,nyumba ya watumishi yenye uwezo wa kuwezesha watumishi watatu kuishi katika nyumba moja.majengo yaliyotumia kiasi cha shilingi milioni 90,000/= Fedha za UVIKO-19.

Ujenzi wa jengo la wagonjwa wa ndani,,Jengo la Baba ,Mama na Mtoto pamoja na Jengo la Mionzi lililochukua kiasi cha shilingi 400,000,000. Fedha kutoka serikali Kuu,

Fedha nyingine ni ujenzi wa matundu matatu ya vyoo,Jengo la mfumo wa maji na ujenzi wa tanki la maji yenye ujazo wa lita 30,000. Fedha za mradi wa RWSSP-WASH.

Kukamilika kwa kituo hicho ,kutaboresha huduma za Afya kwa wakazi wa kata ya Ilunde wapatao zaidi ya 23,000 wanaosafiri zaidi ya umbali wa kilometa 64 kufuata huduma za Afya makao Makuu ya Wilaya yaliyoko Inyonga,Wanufaika wakubwa wakiwa ni akina mama wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano.





Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa