• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Nyumba bora

Posted on: July 21st, 2021

Mlele yazidi kung’aa katika uboreshaji wa miundombinu ya makazi,ujenzi wa nyumba bora kwa makazi ya watumishi na wananchi kwa ujumla..

Naibu  waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dr Anjelina Mabula  alidhishwa na hatua ya maendeleo inayopigwa  katika  Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kutokana na mabadiliko aliyoyaona kwa kipindi kifupi afurahishwa na kasi ya ujenzi wa makazi na uboreshaji wa miundombinu ampongeza Mh.Mbunge  wa Jimbo la Katavi Isack Kamwelwe  Kwa kuwaletea maendeleo wananchi wake.   

Amebainisha hayo katika ziara yake ya siku moja Mkoani Katavi aliyoifanya wilaya ya Mlele kuzindua nyumba 24 za Makazi zilizojengwa na Shirika la nyumba la Taifa ili kupunguza changamoto ya ukosefu wa makazi kwa watumishi wa umma.

Katika ziara hiyo  katika hotuba yake ameliagiza Shirika la nyumba la Taifa kutoaziuza nyumba 24 zilizojengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  badala yake  nyumba hizo zitumike kwa makazi ya watumishi wa umma  kwa kuwapangisha watumishi  hao  ili kupunguza changamoto ya uhaba wa makazi  kwa watumishi.

Dr Mabula ametoa maelekezo  hayo muda mufupi baada ya kuzindua nyumba hizo zilizojengwa  kwa ajili ya kuuzwa katika Halmashauri hiyo.

Katika Hatua nyingine ameziangiza Halmashauri kwa kushirikiana na Kamishina wa ardhi kuhakikisha mchakato wa kuwa na mipango mizuri ya miji hasa miji inayokuwa kama Inyonga lazima kuwe na master plan kwa ajili ya kupanga makazi mazuri kwa wakazi wake.

Pima upimaji huo uhusishe maeneo ya uwekezaji nay awe na hati miliki ili kuondoa migogoro isiyokuwa ya lazima.

Pia ameiagiza Halmashauri kuhakikisha maeneo yao yanapimwa na kutambuliwa nay awe na hati,hati iwepo hata mwekezaji anapokuja hauna wasiwasi hati iko mikononi.

Kuhusu maeneo  yenye uzalishaji mkubwa lakini wanauza mazao ghafi  ni vyemakuongezewa mnyororo wa thamani,pia amepongeza kwa juhudi kubwa ya kuboresha miundombinu katika Halmashauri ya Mlele  kwa kuboresha barabara zake za mitaa akaagiza nyumba zilizozinduliwa zisiuzwa badala yake wapangishwe watumishi na zitunzwe pia wapande miti ya matunda kuzunguuka nyumba hizo ili kuhifadhi mazingira na uote uliopo wa asili.

Mapema Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Katavi  Patrick Mussa Kamendo katika Taaarifa yake kwa Naibu waziri ilieleza kuwa shirika hilo limewekeza kiasi cha shilingi bilioni tano katika Mkoa wa Katavi kwa kujenga nyumba tano eneo la Kakuni Kibaoni za makazi.

Wamefanikiwa kujenga jingo la kitenga uchumi katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda lenye ghorofa tano kwa thamani ya shilingi bilioni 2.8 ujenzi wa nyumba 70 zenye thamani ya bilioni 2.6 eneo la Ilembo Manispaa ya Mpanda.

Pia shirika limefanikiwa kujenga nyumba za watumishi  na jingo la ofisi la wakala wa huduma za mistu TFS katika Wilaya ya Mlele kwa gharama ya shilingi milioni 200,pia wamepata  viwanja ambavyo wataviendeleza katika Halmashauri hiyo ya Mlele.

Amesema kuwa shirika la nyumba Mkoa wa Katavi limewekeza sana nyumba zimejengwa kwa kiwango kikubwa hali inayoonesha mafanikio makubwa na maendeleo makubwa katika Mkoa huo ambapo wamejenga nyumba katika Wilaya ya Mpanda na Mlele Mpanda na wako mbioni kujengwa nyumba za makazi katika wilaya ya Tanganyika.

Meneja huyo ameleza kuwa nyumba nyingine zimejengwa Halmashauri ya Mpimbwe eneo la Kakuni kilipo Chuo cha Kilimo cha Sokoine Campaus ya Mizengo Pinda.ambazo zinatumika kwa ajili ya makazi kuishi walimu wanaofundisha katika chuo hicho.

 Akizungumza katika uzinduzi huo   Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe  Alberto Sanga alimweleza Naibu Waziri  wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dr Mabula kuwa  Wilaya ya Mlele kwa sasa inafunguuka kwa  kuunganishwa  na mikoa mingine, ukizingatia kuwa ni Wilaya ya uzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula na zipo fursa kibao za uwekezaji.

 Changamoto iliyokuwepo ilikuwa miundombinu ya barabara sasa  nayo inaendelea kupatiwa ufumbufu kwa kuendelea kujengwa barabara za kuunganisha wilaya hiyo na mikoa ya Tabora,kwa kiwango cha lami na changamoto iliyobakia ni uuzaji wa  mazao ambapo bado wananchi wanauza mazao  ghafi  badala ya kuuza mazao yaliyoongezewa thamani ,kwa mantiki hiyo  anakaribisha  wawekezaji  waje kuwekeza katika Wilaya ya hiyo ya  Mlele.

Changamoto kubwa inayoikabili halmashauri ya Mlele ni upungufu wa watumishi ambapo ni miongoni mwa mambo yanayosumbua sana pamoja na ukosefu wa makazi kwa watumishi lakini kuzinduliwa kwa nyumba hizo 24 za shirika la nyumba kutapunguza kwa kiasi kikubwa ukosefu huo wa makazi.

Kuhusu tatizo la Ardhi kwa ajili ya makazi hilo siyo tatizo tena katika Halmashauri ya Mlele.katika  hatua nyingine ameomba mazao yote yanayozalishwa katika wilaya hii yawe yanachakatwa hapa hapa na kusafirishwa yakiwa yameongezewa thamani hivyo aliomba kujengwa kiwanda katika wilaya hii kwa ajili ya kuchakata mazao na kuyaongezeea thamani ili waweze kusafirisha mazao yaliyochakatwa kuliko kusafirisha mazao ghafi.

 Hivyo ni vyema Shirikia likaongeza nguvu zaidi kuendelea kuboresha makazi kwa kujenga nyumba za gharama nafu ambazo zitasaidia kwa makazi ya wana mlele.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe Soud Mbogo alishukuru kwa njisi Shirika la nyumba linavyooesha moyo wa kuleta maendeleo katika Halmashauri yake.

Mbunge wa Jimbo la Katavi Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  Mhe Isack Kamwelwe yeye ameeleza kuwa Jimbo la Katavi lina fursa za kila aina hivyo juhudi kubwa zinaendelea kufanyika kuhakikisha maendeleo makubwa yanafanyika katika jimbo hilo lililoko Halmashauriya Mlele,kwa kuwasongezea wananchi huduma muhimu kama maji,elimu Afya na kuboresha miundombinu ya barabara.

MWISHO

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa