• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

SEMINA YA UCHAGUZI

Posted on: November 22nd, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

Semina kwa wasimamizi wakuu wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27. 11. 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya wilaya ya mlele, Sigilinda Mdemu amewataka wasimamizi wa vituo vya uchaguzi kufika kwa wakati katika vituo vya kupigia kura siku ya uchaguzi tarehe 27.11.2024 .

Ameyasema hayo wakati wa semina ya uchaguzi wa kwa wasimamizi wa vituo kutoka kata ya Nsenkwa, Ilela, Kamsisi na Ilunde , semina iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmshauri ya Mlele tarehe 21 novemba, na kuhudhuriwa na wajumbe kutoka mkoani, Afisa wa Takukuru, Maafisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na wataalamu wengine lengo likiwa ni kuwapitisha kwenye mambo msingi ya kuzingatia siku ya uchaguzi.

Mkurugenzi Mtendaji amesisitiza mambo tisa kuzingatiwa siku ya uchaguzi kama ifuatavyo

1.Kufika kwa wakati katika kituo husika ili kuweka mazingira saw a ikiwa ni pamoja na maandadilizi ya vifaa vinavyohitajika kituoni.

2. Kuzingatia kanunia na sheria za uchaguzi ,kufuata miongozo na kupunguza mazoea ya kazi katika zoezi hili la kitaifa.

3. Kutunza siri za kwa manufaa ya Tume ya uchaguzi na sheria zake

4. Kuepuka ushabiki wa kisiasa ikiwa ni pamoja na kuvaa mavazi yanayotambulisha chama Fulani

5. Kutoa taarifa kwa wakati kuhusu wasimamizi wasaidia kutofika kituoni kwa wakati kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo zile za kiafya.

6. Kuhakikisha vifaa vyote vya kufanyia kazi vipo eneo husika

7. Kutoa taarifa ikiwa kuna viashiria vya uvunjifu wa Amani eneo la kituo.

8. Kufanya uamuzi mahali ambapo hakuna makubaliano.

9.  Kukusanya na kurejesha kwa msimamizi wa uchaguzi vifaa na nyaraka zote zitakazotumika katika zoezi la uchaguzi.

Leonida Mushema ni Afisa wa Takukuru Wilaya ya Mlele ametoa rai kwa wasimamizi kuepuka mazingira yote ya rushwa yatakayojitokeza na kwamba hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote atakae kiuka maagizo ikiwa ni pamoja na kulipia hasara na gharama nyinginezo, hata hivyo amesisitiza uzalendo na uaminifu kazini.

MAMBO MENGINE YALIYOSISITIZWA NI PAMOJA

  • Kuhakikisha wajumbe walioanishwa na tume ndio wanaostahili kushiriki zoezi la kuhesabu kura na sio vinginevyo.
  • Zoezi la uchaguzi litaendelea kama lilivopangwa na Serikali hata kama mawakala wa vyama hawajafika kwa wakati ama kuchelewa kituoni.
  • Kutambua kwa makini Karatasi za Kupigia kura.
  • Kabla ya kuanza kuhesabu kura kugua orodha ya wapiga kura.
  • Hakiki fomu ambazo hazijatumika.
  • Hakiki sanduku la kura kama halijafunguliwa.

DSO

Amesisistiza kufanya kazi kwa uaminifu, utii na uadilifu mkubwa kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muunano wa Tanzania.

MAAZIMIO

$. Mkurugenzi Mtendaji anataka baada ya semina kila mjumbe ahakikishe anafanyia mazoezi yale yote yaliyoelekezwa wa vitendo mfano namna ya kufunga na kufungua masanduku ya kupigia kabla na baada ya zoezi la kupiga kula kumalizika

$. Kila mjumbe azingatie maagizo yanayotolewa na waratibu wa uchaguzi katika semina na kuwa kama kutakuwa na ukiukwaji wa aina yoyote hatua za kinidhamu zitachukuliwa.

$. Kupunguza mazoea kazini

NA SUZAN KANENKA

AFISA HABARI

HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa