• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

UCHAGUZI WA VIONGOZI WA USHIRIKA WA CHAMA CHA MSINGI AMCOS YA UKONONGO

Posted on: December 31st, 2020

UCHAGUZI WA VIONGOZI WA  USHIRIKA WA CHAMA CHA MSINGI AMCOS YA UKONONGO WILAYA YA MLELE WAPATA  VIONGOZI WAPYA.  

Chama cha Msingi cha Ushirika wakulima wa Tumbaku AMCOS Ukonongo Inyonga Halmashauri ya wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi  kimefanya uchaguzi kuchagua Viongozi watakaoongoza katika nafasi mbalimbali za Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti, wajumbe wa Bodi na Mwakilishi wa wakulima katika bodi hiyo.Mkutano huo wa uchaguzi ulifanyika kwenye ukumbi wa Ukonongo   ulioko Mjini Inyonga.

Kabla ya uchaguzi huo, Chama hicho cha  msingi cha Ushirika  wa Ukonongo ulikuwa ukiongozwa na bodi iliyokaa madarakani kwa kipindi Cha miaka mitatu tangu mwaka 2017  kufuatia  Uongozi uliokuwepo kuondolewa Madarakani  kutokana na tuhuma mbalimbali zilikuwa zikiwakabili, ikiwemo za ubadhirifu wa fedha, hali iliyopelekea Aliyekuwa Naibu wa Waziri wa Kilimo na Ushirika  William Ole Nashati kuivunja bodi hiyo na kuweka Uongozi wa muda ambao ndio uliongoza hadi walipofanya uchanguzi na kuwapata viongozi wapya.

Uchaguzi huo ulioendeshwa kwa uhuru na haki  ulisimamiwa na Afisa Ushirika wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Joseph Sanga pia  Mwakilishi  kutoka ofisi na  Mrajis wa vyama vya Ushirika Mkoa  wa Katavi alikuwepo kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi huo pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama.

Mgeni rasmi a aliwashukuru kwa kufanya  uchaguzi huo kwa amani na   kuwataka wote waliochaguliwa kufanya kazi kwa bidii ili kuwatumikia wanachama kwa kusikiliza shida zao muda wote  na kuwapa musaada unapokuwa unahitajika.

Waliochaguliwa katika nafasi  hizo mwenyekiti  Emanuel Peter Msumeno aliyepata kura 441 kati ya kura  na  546 zilizopigwa na kumshinda mpinzani wake Joseph Charles aliyepata kura 108.

 Nafasi ya Makmu Mwenyekiti ilikwenda kwa Filbert Mathias Kayewa  alieyepata kura 176 na kuwashinda wapinzani wake  Aniceth Petro Katala aliyepata kura 130 na Joseph Fataki aliyepata kura74.

Pia katika uchaguzi huo walichaguliwa wajumbe watano wa bodi ambao ni  Emanuel Peter Msumeno,Filbert Kayewa,Anicertb Kantala, Joseph Charles Mtafya, naJoseph Benard Fataki.pamoja na mwakilishi mmoja ambaye ni Rosemary Kapezi mwanamama pekee katika bodi hiyo.

Luke kifyasi ni Afisa Kilimo amewataka wanachama kujikita katika kulima mazao yatakayowalete tija ufuta,korosho alizeti na pamba pamoja na mazao ya chakula kamampunga

 Akizungmza mara baada ya kuchaguliwa Mwenyekiti huyo mpya Emanuel Peter Msumeno amesema wakulima wanakabiliwa na changamoto  nyingi na sasa analojukumu kubwa kuwaunganisha na kuzipatia ufumbuzi kwa kushirikiana na hatamuonea mtu,lakini hauyoko tayari kuyumbishwa ila atashirikiana na wakulimakuzipatia ufumbuzi changamoto hizo.

Naye Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Godfrey Malilo akiongea kwa niaba ya bodi iliyomaliza muda wake aliwashukuru kwa ushirikiano waliowapa akiwataka pale walipokoseana wasameheane na yale mazuri waliyoyafanya wayaendeleze akahidi kuwapa ushirikiano uongozi mpya ulioingia madrakani

Chama cha msingi cha Ukonongo kina jumla ya wanachama 1005 kinaundwa na wakulima kutoka vijiji vya  Mgombe,Utende,Uzega,Kanoge, Wachawaseme,Mtakuja,Igalula,Nsenkwa,Kaulolo,Masigo,Ipwaga,Mapili,Kamsisi,Kamalampaka,Inyonga,na vitongoji vyake.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa