• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

UJENZI WA JENGO LA SEKONDARI KAMSISI

Posted on: May 13th, 2021

.Wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za mikoa wa Serikali za Mitaa watembelea Ujenzi wa Shule ya Sekondari Kamsisi ’kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo,pichani ni baadhi ya wajumbe kama wanavyoonekana


HALMASHAURI YAPONGEZWA KUKAMILISHA UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA.

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele yakamilisha utekelezaji wa maagizo ya Serikali kwa kujenga Shule za Sekondari kila Kata hali inayofanya kila Kata kuwa na sekondari yake, hivyo kupunguza mrundikano wa wanafunzi kwa baadhi ya Shule kama Shule ya Sekondari Inyonga na Shule ya  Sekondari Ilela zilizokuwa na wananfunzi msongamano wa wanafunzi wengi.

Akitoa Taarifa ya Maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo mbele ya wajumbe wa jumuiya ya  Tawala za Mikoa wa Serikali za Mitaa  Tawi la MKoa wa Katavi ALAT  waliofanya ziara kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Mwl Alexius Revocatus  Kagunze amebainisha Juhudi zinazofanywa na Halmashauri kuwaletea Maendeleo wananchi kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Katavi Mhe, Isack Kamwelwe,kuunga mkoano juhudi za  wananchi na Wadau wa Maenedeleo kwa ujumla.

Nao wajumbe wa ALAT tawi la Mkoa wa Katavi wameipongeza   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kwa juhudi hizo na  kuwa na miradi     bora  inayolenga kuwapatia wananchi huduma, miradi  hiyo ni miradi ya  Afya,Elimu Msingi,Elimu Sekondari na Ujenzi wa Jengo la  Utawala la Halmashauri.

Walitoa  Pongezi hizo  baada ya kujionea miradi inayotekelezwa ambapo pongezi hizo zimetolewa na Wajumbe  kupitia kwa Mwenyekiti wa   ALAT wa  Tawi la Mkoa  Katavi ,Mstahiki Meya  wa Manispaa ya Mpanda Mhe, Haidary Sumry.

  “Nawapongeza wananchi kwa kujitolea nguvu zao,Mhe  Mbunge wa Jimbo la Katavi Isack Kamwelwe kwa kujitoa kusukuma maendeleo kwenye Jimbo lake,,watalaam wakiongozwa na  Mkurugenzi Mtendaji kusimamia miradi na kuwa na mradi inayolenga moja kwa moja  Wananchi, na wao kuonesha moyo wa kujitolea nguvu zao katika kutekeleza miradi hiyo bila kusukumwa na kuwa   moyo wa  kupenda maendeleo” Alisema Mhe Sumry..

 

Halmashauri nyingine zjifunze kuwa na miradi  yenye tija kwa jamii.  kama wenzetu wa halmashauri ya Wilaÿa ya Mlele   walivyofanya  si vibaya kujifunza wao wanawezaje.” 

Wajumbe wametembelea Mradi wa  Ujenzi wa Shule ya Sekondari katika Kijiji cha Kamsisi  umbao unatekelezwa kwa awamu mbili  ambapo katika awamu ya kwanza ni kujenga vyumba vinne vya madarasa ,matundu sita ya vyoo na vyumba vitatu vya maabara za masomo ya sayansi.

 Katika awamu ya pili  nguvu imelekezwa  kuongeza vyumba vinne vya madarasa , matundu sita ya vyoo na jengo la utawala katika shule hiyo.

Hadi kukamilika utekelezaji wa mradi kwa awamu ya kwanza umegharimu kiasi cha shilingi 176.6 milioni ambazo zinatokana na vyanzo vya fedha ambazo ni  jitihada za Jamii shilingi 35.3 milioni na Serikali Kuu pamoja  na wadau wa maendeleo wamechangia kiasi cha zaidi ya shilingi 141.2 milioni

Mbali na jitihada za Jamii mpaka sasa mradi umepokea jumla ya shilingi 87.4 ambapo kiasi cha shilingi 27.4 ni fedha  za kuchochea  maendeleo ya mfuko wa jimbo na kiasi cha shilingi milioni 60 kutoka serikali kuu ni kwa ajili ya umaliziaji wa vyumba vitatu vya maabara vinavyojengwa  na vinatarajiwa kukamilika ifika Juni 2021.

Hadi sasa gharama za utekelezaji wa mradi huu zimefikia kiasi cha shilingi milioni 31.8 ambazo zimetumika katika ujenzi wa boma la vyumba vine 4 vya madarasa,ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara unaoendelea,ununuzi wa vifaa vya upauaji,mbao misumarli pamoja na bando bati 20.

Kukamilika kwa mradi huo kutasaidia kuwaondolea adhaa  kwa Wakazi wa kijiji cha Kamsisi hüsusani wanafunzi wanaotembea umbali mrefu kufuata  huduma ya eliimu Shule ya Sekondari Inyonga iliyoko umbali wa zaidi ya  kilometa 15.

Mradi huo wa Shule ukamilishaji wake itakuwa ni faraja kwa  wanafunzi wanaosoma Shule za jirani watakuwa wanasoma jirani watanufaika na mradi huo na kuëpuka adhaa ya kutembea umbali mrefu kufuata shule.

  Halmashauri ya Wilaya ya Mlele imeshirikiana bega kwa bega na wananchi wa Kamsisi kuhakikisha  wanajenga vyumba  vinne vya madarasa katika Shule ya sekondari Kamsisi

 Wajumbe wa   ALAT tawi la Mköa wa Katavi waliendelea na ukaguzi wa miradi,  na Ujenzi wa Shule ya Msingi Igombe  iliyoko  Kata ya inyonga,  katika  taarifa ya ujenzi huo ilieleza kuwa  Halmashauri ilipokea fedha kiasi cha shilingi milioni 40 kutoka mradi wa kulipa kulingana na matokeo (EP4R) kwa ajili ya ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya Igombe ambapo kwa kipindi cha mwezi machi Halmashauri pia ilipokea kiasi cha shilingi 22.5 milioni  kwa  ajili ya ukamilishaji wa maboma kwa vyumba viwili ambavyo vimekamilika kwa nguvu za wananchi.

MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa