• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

wajasiliamali

Posted on: July 1st, 2021

Banda la wajasiliamali wauzaji wa bidhaa mbalmbali  kama linavyoonekana pichani katika maonesho ya bidhaa za wajasiliamali  Viwanja vya Shule ya Msingi Inyonga Mjini Inyonga Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

MAONESHO YA WAJASILIAMALI YAFANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE.

Maonesho ya pili ya kwa Mkoa wa Katavi kwa  wajasiliamali ya bidhaa za ndani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Inyonga Halmashauri ya  Wilaya  ya Mlele yalikuwa ya aina yake nap engine ya kipekee kutokana na ubora wa bidhaa na maandalizi yaliyokuwepo.

 Pamoja na changamoto za hapa na pale na ugeni wa uaandaji wa maonesho hayo ambapo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kufanya tukio kubwa kama hilo lililoratibiwa na Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Kitengo cha Habari Teknolojia Uhusiano na Itifaki yalionekana kuwa ya kipekee kwa jinsi hali ilivyokuwa.

Maonesho hayo yalipangwa kuzinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Hassan Sanga lakini kutokana na mwingiliano wa Majukumu mengine ya kitaifa hakupata nafasi ya kuweza kufungua maonesho hayo.

Licha ya   kutofanikiwa kuyafungua kama mgeni rasmi  Mhe. Mkuu wa Wilaya  lakini kazi iiliendelea tena kwa nguvu moja,maonesho yaliendelea kama kawaida huku wajasiliamali,wakionesha bidhaa zao za vyakula ,kazi za mikono na bidhaa nyingine muhimu zilizotokanana mazao ya kilimo yanayolimwa katika Halmashauri ya wilaya ya Mlele na Halmashauri nyingine za Mkoa wa Katavi.

Baadhi ya Bidhaa zilizooneshwa ni pamoja na karanga,siagi,mbegu za maboga,mboga za majani ya maboga,maarufu kwa jina la nsasa,maharage,mpunga ,mchele,unga wa mhongo,pamoja na bidhaa mbalimbali za jamii ya kunde na mihongo.

Mbali ya bidhaa za mazao ya chakula na biashara pia bidhaa za mazao ya mistu kama asali na ntaa zilipamba maonesho hayo bila kusahau mazao ya mistu kama mbao na dawa za asili zilizotokana na mimea.

Katika maonesho hayo Taasisi za Serikali na zisizo za kiserikali, makampuni binafsi walipata nafasi ya kushiriki na kuonesha bidhaa zao na  huduma inayotolewa kwenye taasisi zao.

Taasisi zilizoshiriki au Makampuni ni pamoja na  Taasisi ya Kifedha Benki ya NMB iliyoonesha namna wanavyotoa huduma za kifedha  kwa wateja wao. Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia  Chuo cha Maendeleo ya wananchi Msaginja kutoka Halmashauri ya Nsimbo walionesha na kueleza namna wanavyotoa elimu inayomsaidia mjasiliamali kwa kujianzishia biarashara na jinsi ya kupta mafasi ya kielimu katika chuo hicho.

,Kampuni ya Gesi asilia Taifa Gesi, Kampuni ya umeme wa Sola ya Mobisol,PSI ambao walikuwa na kipeperushi chenye kaulimbiu isemayo “Kuwa nanasi simama imara.Vaa taji.Kuwa mfano.

Wengine ni Taasisi ya utoaji wa msaada wa kisheria Paraligo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia  Chuo cha Maendeleo ya wananchi Msaginja kutoka Halmashauri ya Nsimbo pamoja  na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe wakiwa na mjasiliamali aliyeonesha dawa za asili za kutibu.

Baadhi ya washiriki walifurahishwa na maonesho hayo wakashauri yawe yanafanyika mara kwa mara kwa kuwa yanasaidia kuwajengea uzoefu na kupanua wigo wa upatikanaji wa soko la bidhaa zinazozalishwa kwa kuwa na mnyororo wa mawasiliano.

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ni moja ya Halmashauri katika Mkoa wa Katavi ambayo inarasilmalina fursa adhimu ambayo kama ikitumiwa vyema inaweza kuleta mabadiliko chanja katika jamii.

Baadhi ya rasilimali hizo ni pamoja na ardhi yenye rutuba,mistu ya miombo ambayo ni tegemeo katika ufugaji wa nyuki inayosaidia kupatikana kwa asali na nta,utalii wa asili,utalii wa kiutamaduni kilimo cha mpunga,mahindi,karanga,maharage na ufugaji wa mifugo ya kila aina.

MWISHO.


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa