• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Wajumbe wa Kamati ya ulinzi na Usalama

Posted on: December 23rd, 2020


1.Wajumbe wa Kamati ya ulinzi na  Usalama  Wilaya ÿa Mlele   Mkoa wa Katavi wakiongozwa na Katibu Tawala wilaya hiyo  Linkoln Tamba    kwa niaba ya Mkuu wa Mkuu wa Wilaya  akiwaongöza wajumbe kukagua  miradi ya maendeleo


Kamati ya ulinzi na  Usalama  Wilaya ÿa Mlele   Mkoa wa Katavi   imefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Elimu Afya na Utawala ambapo imepongeza usimamizi mzuri unaofanywa na watendaji chini ya usimamizi wa Hälmashauri Mkurugenzi Mtendaji  Mwalimu Alexius Revocatus Kagunze

 Akizungumzia ukaguzi huo  Katibu Tawala wa Wilaya ÿa Mlele  Linkoln   Ben Tamba    ambaye pia ndiye alikuwa    Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wilaya Wilaya amesema miradi ilyokaguliwa ni ujenzi wa vyumba vya madarasa, kwa äjili ya kuwapokea wanafunzi  waliofauli   ili ya kuanza masomo kidato cha kwanza mwakani,vyoo,  Madawati,pia ukaguzi wa jengo la utawla ‘pamoja na ujënzi wa hospitali ya wilaya. Unaoendelea vizuri

 Katibu  Tawala Tãmba  akizungmzia hali ya maandalizi ya  kuwapokea wänäfunzi waliofaulu amesema hali  ni nzuri na Halmashauri imejipanga vyema na amepongeza Juhudi hizo kwa ajili ya kuwapokea wanafunz wpatao 642  waliofulu kwa asilimia 96.11

Kamati ilipita katika shule zote tano ämbazo ni Inyonga,Utende, Nsenkwa/Isack Kãmwelwe,Ilela,Ilunde na Kãmsisi na kuridhishwa na maandalizi hayo.

Kuhusu suala la madawati ãmesifu  juhudi zilizofanywa na Halmashauri  Tamba amesema maandalizi yäko vizuri na  zaidi ya magogo 900  yaliyobaki barabarani baada ya kupisha zoezi la  utanuzi wa barãbara kutoka Tabora hadi  Mpanda yamekusanywa na Halmashauri   kwa ajili ya kutengeneza madawati.

Aidha amewahimiza wazazi kuhakikisha wanawapëlëka shule watoto wote waliofaulu nã serikali inatoa elimu bure,na wazazi häkuna kisingizio chohote kitachosababisha kutowapeleka shule. Kwa kuwa hawtäkii kuo ada,bli kuwnunuli madaftari, begi srë nã viatu tu. 

  Jacob Claveri Mchete ni Kaimu Afisa Secondari  Wilaya Mlele  anasema wamejinga vyema kuhusiana  suäla maandälinzi liko vizuri jumla ya wanafunzi 642  waliofaulu kati hao waliofaulu mtihani kati yao wanafunzi sita watakwenda shule za bweni za nje ya Mlele.

Amesema wanafunzi 636 waliofaulu wamechaguliwa kujiunga na shule za tano  zilizopo katika halmauri ya Mlele ämbazo ni shule za Inyonga,Utende, Isack Kãmwelwe,Ilela,na Ilunde ambazo ni za kutwa katika Hälmashauri ya Mlele

Nao baadhi ya Wakuu wã Shùle ya Sekondari Utende na Ilunde  Mwl, KaziMtoji na Mwl Amuri Yussuph kwa niaba ya wenzao wameeleza kuwa wamejipanga vyema kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwäkani.

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ni moja kati ya Halmashauri tano (5) za Mkoa wa Katavi. Halmashauri hii ilianzishwa rasmi tarehe 23 Desemba, 2012 chini ya kifungu namba 8 na 9 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya sura Na. 287 ya mwaka 2002) na ilianza kutekeleza majukumu yake rasmi tarehe 01 Julai, 2013.

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ina ukubwa wa eneo la kilometa za mraba 698,102.00 sawa na hekta 6,981.02. Kati ya hizo hekta 145,827.67 zinafaa kwa kilimo, hekta 383,224.96 ni hifadhi ya misitu, hekta 73,285 ni hifadhi ya wanyama pori, hekta 24,675.44 ni makazi ya watu, hekta 47,754.15 ni eneo la maji na hekta 23,334.79 zinatumika kwa shughuli nyingine za kiuchumi kama viwanda vidogo

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa