• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WANANCHI WAPONGEZWA KUJITOLEA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: December 2nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko akisalimiana na uongozi waHalmashauri ya Wilaya ya Mlele alipofika kufanya ziara ya kutembelea na kukagua  miradi ya maendeleo kwa kuanza na ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari Kilinda kama inavyonekana 

Na Kibada Ernest Kibada- Mlele Katavi

TAREHE 2/12/2022

WANANCHI WAPONGEZWA KWA KUJITOLEA NGUVU ZAO KATIKA MIRADI YA MAENDELEO MLELE.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amepongeza juhudi za wananchi kujitolea nguvu zao katika kutekeleza miradi ya Maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao hususani miradi ya sekta ya elimu hususani ujenzi wavyumba vya  madarasa.

 Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko akikagua ujenzi wa shule ya sekondari Kamsisi  moja ya madarasa yaliyojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 400 kama inavyoonekana.


Pia amewapongeza watalaam wanaosimamia  miradi ambao ni  walimu na wahandisi wa ujenzi kwa kufanya kazi nzuri ya kusimamiakuhakikisha kazi inakwenda kwwa ubora na thamani yafedha kuonekana.

 Ametoa pongenzi hizo baada ya kutembelea ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya Sekondari Kilinda na ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari  Kamsisi baada ya kujionea maendeleo makubwa miradi  katika miradi hiyo hali iliyomfurahisha Mkuu huyo wa Mkoa.

Katika hatua nyingine ameshauri watengenezaji wa vifa vya ujenzi kuwa makini kutokana na baadhi ya vifaa kutokuwa na ubora hali inayofanya mradi kuonekana haukoa vizuri hali watalaamu wamejitahidi kadri ya uwezo wao.ni vyema hao watengenezaji wa vifaa vya ujenzi vikawa na ubora mfano marumaru nyingine unakuta vipimo vinapishana hali inayowapa wakati mugumu wataalamu wetu namna ya kuweka vizuri marumaru hizo ingawa kiufundi haiathiri lakini ni vyema wakatengeneza kwa ubora.

Mkuu wa Shule ya Kilinda Philimoni Maombo Sekondari akisoma taarifa ya utekelezaji  wa ujenzi wa chumba kimoja cha darasa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko huku akifuatana na viongozi wengine wa ngazi ya wilaya Kata na Kijiji kama inavyonekana hapo juu.

Mapema Mkuu wa Wilaya Mlele Filberto Sanga alimweleza Mkuu wa Mkoa wa kuwa wananchi wamekuwa wajitolea nguvu zao kujenga vyumba vya madarasa ili kuhakikisha wanakamilisha hatua ya maboma na serikali ni jukumu letu kukamilisha pale walipoishi wananchi.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko akikagua ujenzi wa shule ya sekondari Kilinda  chumba kimoja cha darasa moja ya madarasa yaliyojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 20 kama inavyoonekana.

Amesema juhudi kubwa inafanywa na mbunge kwa kuchangia katika ujenzi huu maeneo mengi katika jimbo hilo nguvu yake imehusika kusimama kwa maboma hayo amesaidia tofali mabati kwa ujumla tunamshukuru sana Mheshimiwa Kamwelwe Mbunge wa Jimbo la Katavi

Mkuu wa Shule ya Inyonga Mwalimu  Patrick Kapita  akiwa katikati aliyeshika taarifa ambaye ni Msimamizi wa Shule ya  Sekondari Kamsisi  akisoma taarifa ya utekelezaji  wa ujenzi wa chumba kimoja cha darasa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko huku akifuatana na viongozi wengine wa ngazi ya wilaya Kata na Kijiji kama inavyonekana hapo juu.

Wakisoma Taarifa za utekelezawa Miradi kwa nyakati tofauti Mkuu wa Shule ya Kilinda Mwalimu Philimon Mahombwe alieleza kuwa ujenzi wa chumba kimoja cha darasa kimegharimu kiasi cha shilingi milioni 20 ambao wakao katika hatua ya ukamilishaji na kuweka meza na viti na hadi kufikia Disemba saba watakuwa wamekamilisha kila kitu tayari kwa watoto  wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza kuanza shule mwaka 2023 mwezi Januari.

Naye Mkuu wa Shule ya Sekondari Inyonga ambaye ni msimamizi wa Shule mpya ya Sekondari Kamsisi alieleza kuwa ujenzi wa shule hiyo ambao uko karibia asilimia 90 umegharimu kiasi cha shilingi milioni 400 na wako hatua za ukamilishaji kwa kujenga vyumba vya madarasa,jengo la utawala,vyumba vya maabara matundu ya vyoo yapatayo 20 na kazi za ukamilishaji zinaendelea na shule iko katika hatua za mwisho za usajili ili iweze kuanza mwakani januari 2023 kwa kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa