• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

watu 722 walipotiwa kufanyiwa ukatili wa kijinsia Katavi mwaka 2021

Posted on: November 28th, 2022

Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Katavi Bi Anna Shumbi wakati akiwahutubia wananchi    kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe Mwanamvua Mrindoko wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. 

 Na Kibada Ernest- Katavi

Novemba 27’2022

Jamii  ya  Mkoa wa Katavi yahimizwa kukemea na ,kukomesha Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia watu 722 walipotiwa kufanyiwa ukatili ndani ya saa 72 kwa mwaka 2021

Jumla ya watu 722 wameripotiwa kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ndani ya Mkoa Mkoa wa Katavi,ambapo imelezwa kwamba   ndani ya saa 72 kesi 63 za ukatili wa kijinsia ziliripotiwa kwa kipindi cha Mwaka 2021.

 Hayo yamebainishwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Katavi Bi Anna Shumbi wakati akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe Mwanamvua Mrindoko mbele ya wakazi wa Kata ya Kazima Mtaa wa Rungwa katika uzinduzi wa kampeni ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia 25 Novemba 2022.

Baadhi ya wananchi wa wakazi wa Mtaa wa Rungwa wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bi Mwanamvua Mrindoko hayupo pichani siku yauzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. 

 Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa ameeleza kuwa matukio ya ukatili wa Kijinsia yaliyoongoza zaidi ni ukatili wa kisaikolojia na lugha ya matusi ambapo alikuwa ni kesi 396,ukatili wa kimwili hasa kipigo kesi 248 na ukatili wa kingono kesi 78 kwa mwaka 2021.


Ameeleza kuwa chanzo cha ukatili wa kijinsia hususani kwa watoto ni Familia huku maeneo mengine ambako ukatili hufanyika kwa kiasi kikubwa  ni Migodini sokoni na kwingineko hivyo ni muhimu Jamii kuchukua hatua za makusudi kupunguza na kuondoa kabisa matukio ya vitendo vya ukatili unaofanywa kwa Watoto na Wanawake.

Ametahadharisha Wananchi kuchukua hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufanya usafi wa mazingira haswa katika kipindi cha masika ili kuondoa mazingira ya vichaka yanayoweza kushawishi wasio na nia njema kufanya vitendo vya Ukatili kwa Wanawake na watoto pamoja na kuepuka kuwatuma watoto nyakati za Jinoni.

Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Mpanda Sophia Kumbuli amesema ni muhimu Jamii kuelekeza nguvu katika mapambano ya ukatili wa Kijinsia kwa watoto wa kiume pia badala ya watoto wa kike na wanawake peke yake.


Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Mpanda  Bi.Sophia Kumbuli  akiwahutubia wananchi    wakazi wa mtaa wa Rungwa Kata ya Kazima wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. 

 Kwa kuwa watoto wa kiume nao wamekuwa wahanga wakubwa wa vitendo vya ukatili ambapo baadhi wamekuwa wakifanyiwa vitendo visivyofaa ikiwemo kulawitiwa na mengine mengi.

Maadhimisho hayo ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa watoto na Wanawake yaliyozinduliwa 25 Novemba 2022 yanayoadhimishwa na Serikali kwa kushirikiana na Asasi mbalimbali zisizo za kiserikali yatadumu kwa siku 16 ambapo kilele chake kitakua 10 Desemba, 2022 yakibebwa na kaulimbiu inayosema “Kila uhai una thamani tokomeza mauaji na ukatili kwa Wanawake Watoto”.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa