• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WAZIRI WA TAMISEMI SULEIMANI JAFFO ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO MLELE

Posted on: November 29th, 2018

Na. Joseph PM-Kitengo cha Habari Mlele DC

Waziri wa Tamisemi Mheshiwa Suleiman Jaffo ametembelea miradi ya maendeleo katika Halmshauri ya wilaya ya Mlele mapema  leo mchana, katika ziara hiyo mheshimiwa  Suleimani Jafo amesema kuwa amekuja kuwasilimia watumishi na kuleta salamu za mheshimiwa Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe John Joseph Pombe Magufuli ambaye  anafanya kazi usiku na Mchana kuhakisha wananchi wanapata Huduma Bora.

Alianza kwa kuwashuru watumishi kujitokeza kwa wingi, Mheshiwa Suleiman Jaffo amewapongeza viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kwa uamuzi wao wa kuamua kuachana na mpango wa kuendeleza ujenzi katika zahanati ya Inyonga kwa lengo la kuifanya kuwa hospitali ya Wilaya na badala yake kuamua kwenda kujenga hospitali hiyo katika eneo la mkabala na Kambi ya Wachina barabara ya Tabora Mpanda.

Hata hivyo baada ya kupokea maelezo mazuri kutoka kwa mkuu wa Mkoa Bwana Amosi Makala kuwa zahanati ya Inyonga inatoa huduma kama hospitali ya Wilaya na kwamba wataalamu wanajitahidi kutoa huduma hizo, na kwamba miundombinu ya zahanati hiyo inakidhi kuwa Kituo cha Afya na kwamba kama  Mheshimiwa Jaffo akipendezwa aitunuku zahanati hiyo  hadhi ya kuwa kituo cha Afya.

 Mheshimiwa Waziri amekubali ombi hilo na kumuagiza mganga mkuu wa Mkoa kufanyia kazi jambo hilo na kwamba ikiwezekana zahanati hiyo iwe kituo cha Afya mara moja.

Katika kuonyesha kuguswa na swala hilo mheshimiwa Jafo alitoa agizo kwa Mhandisi wa Ujenzi kubadilisha plani ya Jengo la Exray lilokuwa lijengwe kwa Jumla ya Tsh Bil 1 na kuanza kuezekwa badala kuendelezwa kama Gorofa. Amesitiza kwamba atatafuta fedha kuhakikisha jengo hilo linajengwa kwa force account na linakamilika mapema.

Katika hotuba yake, Mheshimiwa Jafo alieleza kwamba kuna malalamiko kadhaa ambayo ameyapokea kutoka kwa watu mbali mbalimbali ofisini kwake na wakati anafika Mlele ambayo asingependa aondoke bila kuyasemea, aliongelea kuhuhusu ujenzi wa shule ya KUSA ambayo inadaiwa kuwa chini ya kiwango pamoja na malalamiko ya Shule ya sekondari Inyonga kuwa miradi yake haikuhusisha bodi ya shule.

Jambo jingine ni kuhusu mauzo ya Magari 4 ya Halmshauri kwamba mchakato wake umesababisha malalamiko kutoka kwa viongozi wa CCM na hivyo kuagiza kuwa tume iundwe ili kujiridhisha na malalamiko hayo kudhibitisha kuwa taratibu zilifuatwa ama hazikufuatwa.

Jambo jingine nikuhusu unyanyanyasaji wa kingono kwa watumishi wa Halmashauri ambapo amedai kupokea malalamiko hayo ambayo kimsingi hakuweza kuyatolea uamuzi pasipo kufanyia uchunguzi wa kina ili kuepuka kufanyia kazi majungu ya watu.

Alimuelekeza mkuu wa Mkoa kufanyia uchunguzi malalamiko hayo mara tu taarifa ya RAS itakapomfikia na kwamba yale ambayo ataweza kuyatatua ayatatue na yale atakayoshindwa ayapeleke ofisini kwake ili Mheshimiwa Waziri aweze kuyatatua.

Kuhusiana na ujenzi wa jengo la utawala Mheshimiwa Waziri Jafo alisikitika kuona kuwa mradi huo haunamuelekeo na kwamba umetumia fedha kiasi cha shilingi 516 Milioni na bado uko ngazi ya Msingi. Baada ya kujirishisha alimuagiza mkuu wa mkoa kuchukua hatua mara moja kumsimamisha mkandarasi huyo mara moja, na kuajiri mkandarasi mwingine.

Alisema kwamba Mkandarasi huyo (TBA) mbali na kuwa anajenga majengo mazuri katika mikoa ya DSM na DODOMA lakini amekuwa hafanyi vizuri katika ujenzi wa majengoya Mikoani kama Songwe , Katavi na kwingineko, na kwamba fedha nyingi zinapelekwa makao makuu huku kiasi kidogo kikirudishwa kwenye miradi. Jambo ambalo linadumiza maendeleo na Taaluma za wakandarasi haswa vijana wanaopewa kusimamia miradi hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa