• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Tasaf III

   KIPINDI CHA PILI CHA  AWAMU YA TATU YA TASAF

Madhumuni na muda wa utekelezaji

•Madhumuni ya Mpango wakati wa Kipindi cha Pili ni  kuwezesha kaya za walengwa kutumia fursa za kuongeza kipato na huduma za jamii na uchumi na kuwekeza katika kuendeleza watoto wao.•Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya TASAF kinatekelezwa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023.

Eneo la Utekelezaji wa Mpango.

•Utekelezaji utafanyika kwenye Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji 187 (Halmashauri 185 za Tanzania Bara na Unguja na Pemba, Zanzibar • •Ikiwa ni pamoja na asilimia  30 ya vijiji/mitaa/shehia ambazo hazikufikiwa kwenye utekelezaji wa Kipindi cha Kwanza na kuandikisha kaya maskini sana kwenye vijiji/mitaa/shehia za Kipindi cha Kwanza, ambazo hazikuwa zimeandikishwa.

Msisitizo wa Kipindi cha Pili.

i.Kuwezesha kaya kufanya kazi na hivyo kuongeza kipato,ii.Kuwezesha kaya za walengwa kuongeza rasilimali zalishi na kuongeza vitega uchumi,iii.Kuwekeza katika rasilimali watu hususan watoto ili kuleta matokeo chanya yatakayodumu kwa muda mrefu,iv.Kuboresha upatikanaji wa huduma za maji, afya na elimu, Kukuza uchumi wa eneo unakofanyika utekelezaji kutokana na matokeo ya Mpango

Sehemu za Mpango

Programu za Jamii

i.Uhawilishaji fedha: ruzuku kwa kaya zenye watoto, kaya zenye wenye ulemavu na kaya zenye watoto wa kutimiza masharti ya elimu na afyaii.Miradi ya Kutoa Ajira ya Muda kwa walengwa ikihusisha kuendeleza miundombinu mahsusi ya Afya, Elimu na Majiiii.Kukuza uchumi wa kaya 

II.  Kuimarisha Taasisi na Mifumo

 

PROGRAMU ZA JAMII

UHAWILISHAJI FEDHA

•Ruzuku kwa kaya ambazo hazina wanakaya wenye uwezo wa kufanya kazi.•Ruzuku kwa kaya zenye wanakaya  wenye ulemavu -  kwa kutambua changamoto na gharama  zinazoongezeka kwa kuishi na wanakaya mwenye ulemavu.•Ruzuku kwa kaya zenye watoto walio shuleni na wale wa chini ya miaka mitano.•Ruzuku kwa kaya kuhawilishwa kwa njia za kielektroniki.

Viwango vya malipo ya ruzuku

Aina ya ruzuku
Ruzuku
Kiasi (TZS)
Maelezo
Kiwango cha Juu (TZS)
Kiwango cha msingi
Ruzuku ya msingi
Yenye manufaa
12,000
Kuandikishwa kwenye Mpango
12,000
Kiwango cha msingi
Ruzuku ya kuwa na watoto
5,000
Chini ya miaka 18
5,000
Kiwango cha msingi
Watoto
5,000
Miaka 0-5 Afya
5,000
Inayobadilika
Shule ya msingi (1-4)
 2,000
Shule ya msingi
   12,000
Inayobadilika
Shule ya msingi (5-7)
4,000
Shule ya msingi
Inayobadilika
Shule ya sekondari (1-4)
 6,000
Shule ya sekondari
16,000
Inayobadilika
Shule ya sekondari (5-6)
8,000
Shule ya sekondari
Kiwango cha msingi
Wenye ulemvu
5,000
Wenye ulemvu
 5,000

 

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa