• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Maendeleo ya Jamii

Idara ya Maendeleo ya jamii ni kati ya idara za  Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Idara ina Sehemu kuu mbili ambazo ni Usimamizi wa masuala mtambuka na usimamizi wa Asasi zisizokiwa za Kiserikali (NGO na CBO). Moja ya majukumu ya Idara ni kuratibu na kusimamia upatikanaji wa huduma za jamii na utekelezaji wa mipango ya maendeleo katika ngazi ya jamii. Katika utekelezaji wake Idara inaratibu mipango ya maendeleo ikiwa ni pamoja na  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF - Tanzania Social Action Fund), Mfuko wa Afya ya Jamii iliyoboreshwa, Mpango wa Kudhibiti UKIMWI, Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Kuratibu asasi zisizokuwa za ki serikali (NGOs & CBOs) na vikundi vya kiuchumi. Idara pia inasimamia na kusajili vikundi vidogo vya kifedha na kiuchumi.


 Muundo na Rasilimali watu.

Idara ya Maendeleo ya Jamii, katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ina vitengo viwili, ambavyo ni kitengo cha  Uratibu wa NGO, kitengo cha Uratibu wa masuala mtambuka.


 Majukumu yanayotekelezwa na idara

Idara kwa kutumia rasilimali mbalimbali zilizopo utekeleza majukumu yake kwa mgawanyo unaozingatia taaluma na miundo ya serikali.


 Baadhi ya majukumu yanayotekelezwa na Idara ni pamoja na:-

•Kusaidia jamii kutafsiri fursa na vikwazo vilivyopo katika mazingira yao na kutumia rasilimali zilizopo kujiletea maendeleo.

•Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera za  Maendeleo ya Jamii katika ngazi za vijiji na kata.

•Kuratibu na kusimamia asasi za kiraia zinazotekeleza shughuli za Maendeleo katika Wilaya.

•Kuratibu na kusimamia Asasi za kiraia katika wilaya ( NGOs, CBOs na vikundi vya kiuchumi)

•Kuratibu na Kusimamia miradi ya Mfuko wa Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu.

•Kusimamia na kuratibu miradi/mipango iliyoko chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii (TASAF, iCHF, KUDHIBITI UKIMWI, n.k )

•Kutoa mapendekeo ya kukabiliana na vikwazo vya maendeleo ya makundi maalum wakiwemo wanawake, watoto, wazee na walemavu.

•Kuandikisha na kutunza rejista za vikundi vya maendeleo ya makundi maalumu wakiwemo vijana, wanawake na walemavu.

•Kuhamasisha na kutoa Mapendekezo juu ya ushirikishaji jamii katika kubuni na kupanga miradi ya maendeleo  kwa kutumia teknolojia rahisi na sahihi.

•Kusaidia watu kutambua haki na wajibu wao katika kutoa huduma za kijamii na hasa makundi maalumu wakiwemno watoto, wazee na walemavu.

•Kuhimiza maendeleo ya Elimu na Ujuzi kwa Vijana

•Kuwezesha maisha endelevu na ajira kwa vijana

•Kuwezesha maendeleo endelevu na hifadhi ya mazingira

•Kuhamasishaji wa maadili na desturi njema za kiafrika kwa vijana

•Kuratibu mabaraza ya vijana katika ngazi ya kata na Wilaya



Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa