• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAASWA KUWA WAADILIFU

Posted on: October 27th, 2025

 Na Kitengo cha Mawasiliano -Mlele.

Oktoba 27'2025

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MLELE WAASWA KUWA WAADILIFU NA WAZALENDO

Wasimamizi na wasaidizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Katavi, Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, wameaswa kuwa wazalendo, waadilifu, na kufuata sheria, kanuni na taratibu zote za uchaguzi ili kuhakikisha zoezi hilo linafanyika kwa amani na ufanisi mkubwa.Akizungumza wakati wa mafunzo kwa wasimamizi hao, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Mlele, Bi. Leonida Mshema, amewataka washiriki kuepuka vitendo vyote vya rushwa vinavyoweza kuharibu mchakato wa uchaguzi, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni kosa kisheria.

“Ni muhimu kila mmoja wetu akatambua kuwa rushwa ni adui wa haki na maendeleo. Taifa limetumia fedha zake za ndani kugharamia uchaguzi huu, hivyo tuoneshe uzalendo kwa kufanya kazi kwa uadilifu na kutunza heshima ya nchi yetu.


Bi. Mshema ameongeza kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa kwa kuendesha uchaguzi kwa fedha za ndani bila kutegemea misaada ya nje, hivyo ni wajibu wa kila mshiriki kuhakikisha mafanikio hayo hayapotei kwa vitendo vya rushwa au upendeleo.

Kwa upande wake, Mkuu wa Usalama wa Taifa Wilaya ya Mlele, Bw. Kasuku Mwita, amepongeza wasimamizi hao kwa kuteuliwa kushiriki katika zoezi hilo, akisema hatua hiyo ni ishara ya uzalendo na uaminifu waliouonesha kwa taifa.

“Wilaya ya Mlele iko salama, Mkoa wa Katavi uko salama na taifa kwa ujumla lipo salama. Tunawaomba muwe waadilifu, mzingatie maelekezo, na msishabikie mambo yanayoweza kuvuruga amani wakati wa uchaguzi.


Viongozi hao wametoa wito kwa wasimamizi wote wa vituo vya kupigia kura kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi, uaminifu na uzalendo ili uchaguzi uwe huru, wa haki na wenye kuleta matokeo chanya kwa taifa.

 

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 04, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAASWA KUWA WAADILIFU

    October 27, 2025
  • WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPATIWA MAFUNZO

    October 26, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA KATANI

    October 20, 2025
  • SEMINA YA MAKARANI WAONGOZAJI UCHAGUZI

    October 25, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa