• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

/TEHAMA-na-Takwimu

Kitengo cha TEHAMA na Takwimu ni miongoni mwa vitengo na Idara 19 za Halmashauri ya wilaya ya Mlele kinacho husika na mambo ya Tekinolojia ya habari, mawasiliano na mahusiano serikalini. Ambapo kutokana na ukuaji wa matumizi ya kompyuta na mifumo serikali kwa kupitia sera ya taifa ya mwaka 2003  imeona umuhimu mkubwa wa kuanzisha kitengo hicho pia mwaka 2016 serikali imeboresha  sera ya Taifa ya TEHAMA inayotoa muongozo mpana utakaowezesha maendeleo na ukuaji wa sekta na kuhakikisha wananchi na taifa kwa ujumla wananufaika. Kwa sasa Tanzania inaingia katika hatua nyingine ya uchumi wa kidijitali ( digital economy is the worldwide network of economic activities, commercial transactions and professional interactions that are enabled by information and communications technologies (ICT).) ambapo TEHAMA ndio chombo pekee kinachowezesha miamala ya kielekitroniki  na mchangamano wa kitaalam.

Majukumu ya jumla ya Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano

Kuweka mahusiano bora baina ya Halmashauri pamoja na Umma na wadau mbalimbali pamoja na kutoa elimu kwa Umma.

•     Usimamizi wa Mifumo ya Kompyuta(System Administration)

•     Usimamizi wa Mtandao wa Kompyuta pamoja na vifaa vyake (Network and Hardware Adminstration).

•     Usimamizi wa Benki Ya Takwimu (Database Administration)

•     Usimamizi wa tovuti na barua pepe (website administration & emails).

•     Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao.

•    Kuandaa mahitaji katika Ununuzi wa vifaa vya TEHAMA.

Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni TEHAMA na Habari na Mahusiano

Wataalam wa TEHAMA ni Maafisa TEHAMA na Wataalam wa Habari na Mahusiano na Maafisa habari na Mahusiano . Yafuatayo ni majukumu ya wataalamu wa kitengo cha Habari na Mahusianao.

 MAJUKUMU YA AFISA TEHAMA

1. Kuangalia mwenendo wa utendaji kazi wa mfumo wa TEHAMA

2. Kutoa nakala ngumu na laini ya ripoti mbalimbali kutoka kwenye mifumo ya TEHAMA.

3. Kuhifadhi taarifa zinazoingizwa kwenye program tumizi.

4. Kutunza kumbukumbu za kazi zilizofanyika katika programu tumizi.

5. Kusahihisha makosa yanayotokea katika taarifa zilizofanyiwa mchakato katika program za mifumo ya TEHAMA.

6. Kuandaa mahitaji ya vifaa na vipuli vya mifumo ya TEHAMA.

7. Kuandaa mpango kazi na majukumu ya kila siku.

8. Kutathmini mwenendo wa utendaji kazi wa mifumo.

9. Kufanya marekebisho ya kasoro zinazojitokeza katika mwenendo wa uingizwaji wa taarifa kwenye mifumo.

10. Kuandika ripoti ya makosa yaliyojitokeza kwenye taarifa zilizofanyiwa mchakato katika mifumo ya TEHAMA katika uingizaji wa takwimu kwenye program tumizi.

11. Kuangalia mwenendo wa usalama wa taarifa na mitambo ya TEHAMA.

12. Kutathmini na kutoa taarifa kuhusu hitilafu za mfumo wa TEHAMA.

13. Kutafsiri mwongozo wa matumizi ya mifumo na kutoa maelekezo ya namna ya kutekeleza.

14. Kuandaa na kutoa mafunzo ya namna ya kuendesha mifumo ya TEHAMA kwa operata.

15. Kusimamia mafunzo ya uendeshaji wa mifumo ya TEHAMA mahali pa kazi

16. Kubuni mbinu za utekelezaji /uboreshaji wa majukumu ya uendeshaji wa mifumo ya TEHAMA

17. Kushiriki katika mpango wa kuandaa namna bora ya uthibiti wa taarifa

18. Kufanya ukaguzi wa ubora wa vifaa vya TEHAMA na kurekebisha ipasavyo

19. Kufanya matengenezo madogomadogo ya vifaa vya TEHAMA

20. Kufanya matengenezo ya miundombinu ya TEHAMA

21. Kuchukua hatua za kiusalama kulinda vifaa vya TEHAMA

22. Kukagua na kutambua vifaa vinavyoitaji matengenezo

23. Kutoa huduma kwa watumiaji wa vifaa vya TEHAMA (Help Desk)

24. Kusimamia ukaguzi na ufungaji wa vifaa vipya vya TEHAMA

25. Kufanya ukaguzi wa ubora wa program- tumizi na mifumo ya habari

26. Kufanya marekebisho madogo madogo katika program – tumizi

27. Kutoa huduma kwa watumiaji wa program – tumizi na mifumo ya habari (Help desk)

28. Kufanya makisio ya mahitaji na gharama za vifaa na miundombinu ya TEHAMA

29. Kutunza kumbukumbu za matengenezo ya vifaa vya TEHAMA

30. Kutayarisha mpango wa matengenezo ya vifaa na miundombinu ya TEHAMA (Preventive maintenance plan)

31.Kusimamia ubora na viwango kwa vifaa vya TEHAMA vinavyonunuliwa,kufungwa na vinavyotumika

32. Kusimamia utekelezaji wa mikakati ya kuweka mifumo ya habari yenye lengo la kuongeza tija na uboreshaji wa huduma zitolewazo

33. Kusimamia utekelezaji wa miradi inayolenga uendelezaji wa serikali mtandao

34. Kutoa ushauri wa kitaalam katika usanifu na utengenezaji wa Tovuti na medi anuai

35. Kufundisha waajiriwa wapya katika matumizi ya program tumizi za kompyuta

36. Kurejesha utendaji mzuri wa mifumo ya TEHAMA panapotokea uharibifu

37.Kutekeleza mipango ya kudhibiti na kunusuru uharibifu katika mifumo ya TEHAMA (implement system and network disaster recovery and business continuity plan)

38. Kusimamia utoaji wa huduma za kitaalam za usalama wa mifumo ya TEHAMA na kuelimisha watumiaji.

MAJUKUMU YA AFISA HABARI

Afisa habari wa Wilaya ya Ruangwa pamoja na maeneo mengine wana kazi mbalimbali kama zifuatazo;

1. Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa kazi za habari na mahusiano;

2. Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za habari na mahusiano katika Halmashauri;

3. Kutangaza na kuchapisha kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri;

4. Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio, magazeti na majarida;

5. Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na District Profile;

6. Kuandaa na kutoa majarida kuhusu Halmashauri;

7. Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri

8. Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii;

9. Kusimamia press briefing za Halmashauri;

10. Kushauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbalimbali

11. Kushirikiana kwa karibu na afisa habari na uhusiano wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo.

12. Kuisemea Halmashauri kwa wananchi

13. Kutengeneza ,maktaba ya picha za mnato na video za halmashauri ya mji

14. Kuandaa na kushiriki maonyesho mbalimbali yanahusiana na Halmashauri kwa kutengeneza vipeperushi na makala za maonyesho husika

15. Kuhamasisha shughuli mbalimbali za Halmashauri za kitaifa na kiwilaya kwa kutumia na vyombo vya habari

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa