• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Kitengo cha nyuki

Kitengo cha Nyuki ni moja kati ya Vitengo 6 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Kitengo hiki kinajukumu la Usimamizi, Uratibu na Ufuatiliaji wa mazao ya Nyuki ndani ya Halmashauri. Kitengo cha Nyuki kinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria,Kanuni na Miongozo mbalimbali inayotolewa na Ofisi ya Raisi TAMISEMI,Wizara ya Maliasili na Utalii,pamoja na Wadau mbalimbali wa Maendeleo.

Majukumu ya Kitengo cha Nyuki

  • Kutoa elimu na ushauri kwa Wafuga Nyuki ndani ya Halmashauri juu ya namna bora ya Ufugaji wa Nyuki,na Uvunaji mazao yake kwa Njia za kitaalamu.
  • Kukusanya na kuandaa Takwimu za Mazao ya Nyuki na Wafugaji wa Nyuki ndani ya Halmashauri
  • Kutoa vibali vya Ufugaji na Ukusanyaji wa ushuru wa Usafirishaji wa Mazao ya Nyuki ndani ya Halmashauri
  • Kuhamasisha Jamii juu ya Utunzaji wa Mazingira kupitia shughuli za Ufugaji Nyuki.
  • Kuondoa nyuki wanaodhuru katika makazi ya Watu ndani ya Halmashauri.
  • Kusimamia kiwanda cha kuchakata na kufungasha mazao ya nyuki.

 

TAKWIMU ZA UZALISHAJI WA MAZAO YA NYUKI KWA MWAKA WA FEDHA 2013-2021

Mwaka 
Wafugaji nyuki

Uzalishaji

Mizinga



Asali (kg)
Nta (kg)
Kisasa
Kienyeji

2013/2014

540

59,413

5,890

9678

100,750

2014/2015

610

74,666.70

7,310

10530

97850

2015/2016

780

110,466.70

9,700

11450

86,800

2016/2017

910

241,573

28,784

13415

76046

2017/2018

1100

329215

8370

17,300

57,840

2018/2019

1200

481,770

19,386

18100

56,120

2019/2020

  •   1718

467,460

16,075

18,619

51,230

2021/2021

  •    1933

299,259

14,513

21,749

50,021

 

 

 

 

 WAJIBU WA MFUGA NYUKI

Wajibu wa mfuga nyuki ni:

Kutumia mizinga ya kisasa katika ufugaji nyuki

Kurina asali kwa kutumia njia za kisasa badala ya kutumia moshi au moto

Kuhifadhi mazingira kwa kutochoma moto au misitu

Kujiunga katika vikundi vya uhifadhi ya mazingira

Kujiunga na vyama vya kuweka na kukopa vya wafugaji wa nyuki

Kutumia dawa isiyoua nyuki wala kuharibu ubora wa asali wakati wa urinaji

Kutumia vyombo au vifaa vilivyo safi na salama kwa ajili ya kurinia na kuhifadhia asali

Kuhudhuria mafunzo yatolewayo katika mashamba darasa ya ufugaji wa nyuki

 MIKAKATI.

Mikakati madhubuti inahitajika ili kuendeleza sekta ya ufugaji nyuki katika utoaji wa huduma bora kwa jamii.

Kuendelea kutoa elimu ya hifadhi bora ya mazingira kwa jamii na kufanya doria za mara kwa mara ili kubaini na kuzuia ukataji ovyo wa miti katika maeneo ya ufugaji nyuki

Kuongeza wataalam wa sekta ya ufugaji nyuki ili kuboresha utoaji wa huduma bora kwa jamii.

Kuendelea kuanzisha mashamba darasa ya ufugaji wa nyuki katika kila kata

Kuendelea kusimamia kiwanda cha kuchakata na kufungasha mazao ya nyuki.

MAKOSA KWA MJIBU WA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU 

Mdau yeyote atakuwa ametenda kosa endapo atafanya mambo yafuatayo:

Kurina  asali kwa kutumia moto au moshi

Kuuza asali iliyorinwa kwa moto au moshi

Kuchanganya  asali na vitu vingine ambavyo siyo asali

Kuchoma  moto msitu au eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya wafugaji wa nyuki

Kukata  miti bila kuwa na kibali kutoka Halmashauri

kung’oa  miti iliyopandwa kwa ajili ya kuhifadhi mazingira

kufanya jambo lolote ambalo linadhuru au linahatarisha maendeleo na ukuaji wa sekta ya ufugaji  wa nyuki

kufanya  kitendo chochote kinachohatarisha upatikanaji wa asali yenye ubora na salama

kuhujumu miundo mbinu ya ufugaji wa nyuki ya shule, kikundi, kijiji, mtaa, kata, taasisi na mtu binafsi

Kufungasha mazao ya nyuki kwa kutumia vifungashio ambavyo vimetumika kwa bidhaa zingine kwa mfano mafuta ya kula, oil, rangi n.k

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa