• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPATIWA MAFUNZO

Posted on: October 26th, 2025

Na Kitengo cha Mawasiliano- Mlele.

WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAASWA KUZINGATIA MAADILI NA UZALENDO.

Oktoba 26,2025

Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Katavi  Mkoa wa Katavi, wameaswa kuzingatia maadili, uadilifu na uzalendo katika utekelezaji wa majukumu yao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika siku ya Jumatano  Oktoba 29 mwaka huu.

Msimamizi wa Jimbo la Uchaguzi la Katavi Edwin Itamba, amewataka wasimamizi na wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wanaohudhuria mafunzo katika ukumbi wa  Mikutano wa Ukonongo  Oktoba 26'205 amewataka wasimamizi hao kuzingatia maelekezo wanayopewa ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa ufanisi na kwa kufuata taratibu.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Itamba amesema jukumu walilopewa ni la kuaminika na linahitaji umakini, uwadilifu na utiifu kwa miongozo ya Tume ya Uchaguzi, akawaasaa washiriki hao kuwa mfano wa kuigwa katika utekelezaji wa majukumu yao.

Naye Bi.Habiba Mtunguja,ambaye ni Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Katavi, akifungua mafunzo katika ukumbi wa maktaba ya shule ya Sekondari Inyonga, amewataka wasimamizi hao kuzingatia maadili, uadilifu na umakini katika vituo vyao vya kazi, sambamba na kuelimisha wananchi kwa njia sahihi wakati wa upigaji kura.

Katika kituo kingine cha mafunzo kilichofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari Inyonga, washiriki wametakiwa kuweka mbele uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa katika kipindi chote cha mchakato wa Uchaguzi, wamekumbushwa kuwa jukumu lao ni kuhakikisha zoezi la kupiga kura linaendeshwa kwa amani na uwazi.

Kwa upande wake, Afisa Usalama wa Taifa wilaya ya Mlele Kasuku Mnena, amewahakikishia washiriki hao kuwa hali ya usalama ni shwari, amewataka kuepuka taarifa za upotoshaji na vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani. Amesisitiza kuwa Serikali ina imani nao, hivyo wanapaswa kutekeleza majukumu yao kwa uzalendo na uwajibikaji mkubwa.

Vilevile kwa upande wa washiriki walipata  nafasi ya kuuliza maswali,na kujibiwa vyema .

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 04, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPATIWA MAFUNZO

    October 26, 2025
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA KATANI

    October 20, 2025
  • SEMINA YA MAKARANI WAONGOZAJI UCHAGUZI

    October 25, 2025
  • MAHAFALI YA TATU KIDATO CHA NNE ILUNDE SEKONDARI

    October 17, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa