kama umeshapata TIN,nenda ofisi ya biashara ya kwenye halmashauri/manispaa unayotaka kufungulia hiyo biashara utapata fomu ambayo inajumuisha aina tofauti tofauti za biashara,utachagua unayotaka,na kurejesha hiyo form. Kiasha utapewa bili ya kwenda kulipia benki, hivyo utaenda kulipa na kurudi halmashauri kuchukua Leseni yako.
Tini namba zinapatikana bure TRA tafadhali nenda kachukue
Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA
Simu: +255759023788
Simu ya Kiganjani: 0759023788
Barua pepe: ded@mleledc.go.tz
Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa