• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

ADAP WAYAPIGA JEKI WAFUGAJI NYUKI KUPITIA (IBA)

Posted on: November 15th, 2022

ADAP KUVIPIGA JEKI  VIKUNDI VYA UFUGAJI NYUKI  MIRADI YA KIUCHUMI KUPITIA JUMUIYA YA WAFUNGA NYUKI INYONGA(IBA)

 Na Kibada Ernest -Mlele Katavi.

Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Association For the Development of  Protected Areas (ADAP) Tanzania  limeanza kusaidia Jumuiya ya   wafuaga nyuki Inyonga kupitia vikundi vyake  kusaidia kusindika uyoaga pori kwa njia ya  kitalaam  kwa kutumia  Nishati ya Jua itakayokuwa ikitumia kifaa maalum kiitwacho Solar Draya,Jambo ambalo litasaidia vikundi hivyo  kupata chakula na uchumi kuongezeka kwa kuuza uyoga pori huu.

Shirika hilo limekja na mpango huo baada ya kuona wafugaji hao wanaofugia mizinga yao porini na lipo zao la uyoga linaloharibika ambalo lingeweza kuwasaidia  kwa chakula na kuwaingizia kipato kwa kuwa uyoga pori ni muhmu kwa afya na unaprotini za kutosha  pamoja na vitamin katika mwili wa binadamu hasa kwa akinamama wajawazito.

Pichani Dkt Masanja kutoka OR-TAMISEMI Idara ya inayoshughulikia Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali nchini,aliyeshika akiangalia asali safi na bora inayozalishwa na Jumuiya ya wafuga nyuki Inyonga( IBA)

 Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa  ADAP) Tanzania DKT, Vicent Vyamana, wakati akizungumza muda mfupi baada ya kutambulisha mradi wa uhifadhi Mazingira Utakaosaidia vikundi vya wafuga nyuki  katika wilaya ya MlelE, Nsimbo na Sikonge kisha walitembelea eneo la ufugaji nyuki la Jumuiya ya wafugaji nyuki ya IBA linaljumuisha vikundi vya wafuga nyuki na kujionea shughuli inayofanyika katika eneo hilo.  

Dkt Vyamana ameendelea kueleza watanunua majokofu matatu ya kuanzia kwa ajili ya wafugaji wa nyuki ambayo watayatumia kwa ajili ya kukaushia uyoga pori ambao ni Chakula  watakuwa wanauvuna kutoka katika mashamba yao ya kufugia nyuki kisha kukausha na kuuhifadhi kwa ajili ya chakula na mwingine kuuza  na kujipatia kipato.

Wakati wakijishughulisha na ukaushaji wa uyoga na utundikaji mizinga  uhifadhi wa mazingira utakuwa ukiendelea kwa kuwa wanafundishwa kufunga nyuki na kuhifadhi mazingira katika maeneo wanayofugia nyuki.

Awali  Mwenyeikiti wa Jumuiya ya wafuga nyuki kutoka kijiji cha Masigo Oscar Makolofila  kwa niaba ya wafuga nyuki alieleza baadhi ya changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa mitaji ya kuendeshea shughuli zao za ufugaji,ucheleweshwaji  kupatikana vibali vya kuingia porini maeneo wanakofugia nyuki wanapotundika mizinga yao, kwani wanapoomba, vibali kutoka kwenye Mamlaka za usimamzi wa Mistu hawapewa kwa wakati hali inayowafanya kutofanya kazi zao kwa wakati kwa kuwa ulinaji nao unaendana na msimu..

  Kwa upande wake Mwakilishi kutoka kutoka OR-TAMISEMI Idara ya Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali Dkt Masanja ameelekeza Halmashauri  kuwasaidia wafugaji wa nyuki kwa kuwa mara nyingi miradi ya wafadhili huwa haiendelee pindi wanapoondoka na kuiacha miradi walioianzisha. Wafadhili  wanawekeza fedha nyingi kwenye miradi lakini wanapoondoka mara miradi huwa haendelei.

Dkt Masanja ameeleza mfano hapa wafadhili wameweka fedha nyingi kwenye mradi huo wa ufugaji nyuki kupitia Jumuiya hii ya wafuga nyuki ya IBA ,na iwapo wakiondoka mradi huu unaweza usiendelee.

“Nashauri Halmashauri kuhakikisha wanawasapoti ili mradi huu uweze kuendelea kuwepo, na kuwanufaisha wananchi”alisema Dkt Masanja.Pichani Katibu wa IBA Mwenye Kitabu Notebook  Kalolo  Charles Kalolo akiwaongoza wageni kutoka OR-TAMISEMI Idara ya inayoshughulikia Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali nchini,kutembelea shamba la nyuki huku akitoa maelezo namna ya ufugaji nyuki

 

Pia amewashauri Wafuga Nyuki    kutumia fursa za Mikopo kutoka kwenye Halmadhauri inayotolewa kupitia Mapato ya ndani waombe mikopo hii kwa kufuata taratibu zilizowekwa watapatiwa ikiwemo kusajiri vikundi vyao mikopo ile haina riba serikali ya inayoongozwa na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan inawajari wananchi wake zipo fedha za kutosha kuwakopesha kupita kwenye Halmashauri zitummieni.

Awali Katibu Tawala wilaya Wilaya Mlele Lincolin Tamba akizungumza  kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe Filberto Sanga wakati wa kikao cha kutambulisha mradi wa uhifadhi mazingira amewataka wafadhili wanaotekeleza miradi kuweka uwazi ili kuondoa sitofahamu kwa jamii na jamii nayo itoe ushirikiano kwa kuwa miradi hiyo ni ya kwao.

Mwisho.


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa