• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

ADAP YASAIDIA VIKUNDI VYA WAFUGA NYUKI KUPITIA ( IBA)

Posted on: November 15th, 2022

Wafugaji wa nyuki kutoka Kijiji cha Masigo wakisikiliza ushauri kutoka kwa wadau wa uhifadhi wa mazingira waliowatembelea kuona shughuli zao za ufugaji nyuki kupitia vikundi vyao



ADAP KUVIPIGA JEKI  VIKUNDI VYA UFUGAJI NYUKI  MIRADI YA KIUCHUMI KUPITIA JUMUIYA YA WAFUGA NYUKI INYONGA(IBA)


Picha ya mizinga ikiwa shambani katika eneo la shamba la ufugaji nyuki lililoko mstu wa hifadhi milima Mlele mizinga hiyo inamilikiwa na Jumuiya ya Wafuga nyuki ya Inyonga (IBA)

 Na Kibada Ernest -Mlele Katavi.


Mkurugenzi wa ADAP -Tanzania.Dkt Vicent Vyamana  akiwasilisha mradi kwenye kikao cha wadau wa Mazingira kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano ya Maktaba wa Shule ya Sekondari Inyonga.

Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Association For the Development of  Protected Areas (ADAP) Tanzania  limeanza kusaidia Jumuiya ya   wafuaga nyuki Inyonga kupitia vikundi vyake  kusaidia kusindika uyoga pori kwa njia ya  kitalaam  kwa kutumia  Nishati ya Jua itakayokuwa ikitumia kifaa maalum kiitwacho Solar Draya,Jambo ambalo litasaidia vikundi hivyo  kupata chakula na uchumi kuongezeka kwa kuuza uyoga pori huu.

Shirika hilo limekuja na mpango huo baada ya kuona wafugaji hao wanaotundika mizinga yao porini,eneo ambako kuna  zao la uyoga linaloharibika ambalo lingeweza kuwasaidia  kwa chakula  kwa jamii na kuwaingizia kipato wafuga nyuki, kwa kuwa uyoga pori ni chakula muhimu kwa afya na unaprotini za kutosha  pamoja na vitamin katika mwili wa binadamu hasa kwa akinamama wajawazito.

Pichani Dkt Masanja kutoka OR-TAMISEMI Idara ya inayoshughulikia Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali nchini,aliyeshika akiangalia asali safi na bora inayozalishwa na Jumuiya ya wafuga nyuki Inyonga( IBA)

 Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa  ADAP) Tanzania DKT, Vicent Vyamana, wakati akizungumza muda mfupi baada ya kutambulisha mradi wa uhifadhi Mazingira Utakaosaidia vikundi vya wafuga nyuki  katika wilaya ya Mlele, Nsimbo na Sikonge kisha walitembelea eneo la ufugaji nyuki la Jumuiya ya wafugaji nyuki ya IBA linaljumuisha vikundi vya wafuga nyuki na kujionea shughuli inayofanyika katika eneo hilo.  

Dkt Vyamana ameendelea kueleza watanunua majokofu matatu ya kuanzia kwa ajili ya wafugaji wa nyuki ambayo watayatumia kwa ajili ya kukaushia uyoga pori ambao ni Chakula  watakuwa wanauvuna kutoka katika mashamba yao ya kufugia nyuki kisha kukausha na kuuhifadhi kwa ajili ya chakula na mwingine kuuza  na kujipatia kipato.

Wakati wakijishughulisha na ukaushaji wa uyoga na utundikaji mizinga  uhifadhi wa mazingira utakuwa ukiendelea kwa kuwa wanafundishwa kufunga nyuki na kuhifadhi mazingira katika maeneo wanayofugia nyuki.

Awali  Mwenyeikiti wa Jumuiya ya wafuga nyuki kutoka kijiji cha Masigo Oscar Makolofila  kwa niaba ya wafuga nyuki alieleza baadhi ya changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa mitaji ya kuendeshea shughuli zao za ufugaji,ucheleweshwaji  kupatikana vibali vya kuingia porini maeneo wanakofugia nyuki wanapotundika mizinga yao, kwani wanapoomba, vibali kutoka kwenye Mamlaka za usimamzi wa Mistu hawapewa kwa wakati hali inayowafanya kutofanya kazi zao kwa wakati kwa kuwa ulinaji nao unaendana na msimu..

  Kwa upande wake Mwakilishi kutoka kutoka OR-TAMISEMI Idara ya Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali Dkt Masanja ameelekeza Halmashauri  kuwasaidia wafugaji wa nyuki kwa kuwa mara nyingi miradi ya wafadhili huwa haiendelee pindi wanapoondoka na kuiacha miradi walioianzisha. Wafadhili  wanawekeza fedha nyingi kwenye miradi lakini wanapoondoka mara miradi huwa haendelei.

Dkt Masanja ameeleza mfano hapa wafadhili wameweka fedha nyingi kwenye mradi huo wa ufugaji nyuki kupitia Jumuiya hii ya wafuga nyuki ya IBA ,na iwapo wakiondoka mradi huu unaweza usiendelee.

“Nashauri Halmashauri kuhakikisha wanawasapoti ili mradi huu uweze kuendelea kuwepo, na kuwanufaisha wananchi”alisema Dkt Masanja.Pichani Katibu wa  Jumuiya ya wafuga nyuki(IBA) Mwenye Kitabu Notebook,Mr. Kalolo  Charles Kalolo, akiwaongoza wageni kutoka OR-TAMISEMI  Idara ya inayoshughulikia Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali Pamoja na wadau wengine wa uhifadhi mazingira waliotembelea  shamba la  wafuga nyuki  kuona shughuli za ufugaji nyuki eneo la milima ya mlele .

 

Pia amewashauri Wafuga Nyuki    kutumia fursa za Mikopo kutoka kwenye Halmadhauri inayotolewa kupitia Mapato ya ndani waombe mikopo hii kwa kufuata taratibu zilizowekwa watapatiwa ikiwemo kusajiri vikundi vyao mikopo ile haina riba serikali ya inayoongozwa na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan inawajari wananchi wake zipo fedha za kutosha kuwakopesha kupita kwenye Halmashauri zitummieni.

Awali Katibu Tawala wilaya Wilaya Mlele Mr. Lincolin Tamba, akizungumza  kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe Filberto Sanga wakati wa kikao cha kutambulisha mradi wa uhifadhi mazingira amewataka wafadhili wanaotekeleza miradi kuweka uwazi ili kuondoa sitofahamu kwa jamii na jamii nayo itoe ushirikiano kwa kuwa miradi hiyo ni ya kwao.

Katibu Tawala Wilaya ya Mlele Bw.Lincolin Tamba akizungumza na wadau wa Uhifadhi Mazingira hawapo pichani waliokutana wakati wa kutambulisha mradi wa uhifadhi Mazingira

Mwisho.


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa