• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

CMT MLELE YAINGIA KAZI KUKUSANYA MAPATO

Posted on: August 24th, 2022

(Menejimeti ya Halmashauri ya Mlele Ikiongozwa na Mkurugenzi wake Bi.Teresia Irafay yaingia kazini kukusanya mapato)

Mkusanya mapato ya Halmshauri ya wilaya ya Mlele akimkatia stakabaadhi ya kielektroni mmoja wa wamiliki wa kibanda cha biashara standi inayomilikiwa na Halmashauri ya wilaya ya Mlele kwa nyuma ya mkatisha ushuru ni Mkurugenzi wa Halmashauri Bi.Teresia Irafay,wengine ni Meneja wa Standi ya Mabasi Inyonga Mr.Fares  akifuatilia kwa ukaribu

UWAJIBIKAJI WA PAMOJA WASAIDIA KATIKA KUKUSANYA MAPATO

 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi  yaweka mikakati ya kuifanya kuwa Halmashauri bora   ya kimkakati katika ukusanyaji wa mapato,mikakati hiyo imewekwa na menejimenti ya Halmashauri ili kudhibiti upotevu wa mapato.

Katika kuhakikisha mikakati hiyo inafanikiwa na kupewa Baraka  ilipitishwa kwenye vikao vyote vya kisheria kuanzia kwenye menejimenti na kuundwa Kamati ya Mapato na ukusanyaji  mapato.

 Kabla ya kupelekwa kwenye Kamati ya fedha Uongozi kujadili kasha kupelekwa kwenye    Mkutano wa Baraza la Madiwani ili kupewa Baraka baadhi ya changamoto zilijadiliwa na kupatiwa ufumbuzi na kuamuliwa kuzifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kuingia kwenye maeneo husika kwa ajili ya kukusanya mapato.

Ingawa kulikuwepo baadhi ya changamotozilipitiwa na kupatiwa ufumbuzi kupitia  changamoto za ukusanyaji mapato ya ndani na njia za kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri ndipo zoezi la kuingia site kwa menejimenti kukusanya mapato ikaamua kuingia moja kwa moja kufanya kazi hiyo hali iliyoleta mafanikio.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mlele Bi Teresia Irafay ameiongoza menejimenti katika zoezi la ukusanyaji wa Mapato kwenye vipanda vilivyojengwa kuzunguuka standi  kkahakisha wale wote wanaotumia vibanda hivyo kwa biashara wanalipia ushuru wa kila mwezi kiasi cha shilingi elfu 15,000/=

 

Katika operation hiyo ya kushitukiza ilisaidia kwa kiasi kikubwa kuwafanya wafanyabiashara na wachuuzi kwenye vibanda hiyvyo kulipa ushuru wanaodaiwa.

Naye Mweka Hazina wa Halmashauri ya Wilaya mr Kitaya  ameeleza kuwa mapato mengi yanapotea kutokana na kutodhibitiwa lakini sasa wamejipanga kuhakikisha njia zote za upotevu wa mapato zinazibwa ili Halmashauri iweze kukusanya vyanzo vyote vya mapato.

Pamoja na kuwepo changamoto  za upungufu wa watumishi katika zoezi la ukusanyaji wa mapato ambapo  Halamshauri imeanzisha zoezi la ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa kutumia timu ya mapato na kuajiri wakusanya mapato wa muda waliopewa mikataba ili kusaidia kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa