• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC MLELE AIPONGEZA HALMASHAURI YA MLELE KWA USIMAMIZI MIRADI YA UVIKO NA HELE KUBAKI

Posted on: January 31st, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Filberto Sanga ameupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Chini ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Mhe. Soud Mbogo,Mkurugenzi Mtendaji  Bi.Teresia Irafay, watumishi, wananchi  na wadau wote walioshiriki,wenyeviti wa vijiji,kamati za usimamizi za miradi,wasimamizi wa miradi kwa kujitolea kwa hali na mali kukamilisha kazi hiyo  kwa njia moja au nyingine kwa ushirikiano wao katika kutekeleza ujenzi wa vyumba 34 vya madarasa kwa shule shikizi na shule za sekondari katika Halmashauri ya wilaya ya mlele.

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ilipokea kiasi cha shilingi 680,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 34 kupitia mpango wa Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO -19 katika sekta ya Elimu.

Kwa upande wa Shule za Sekondari Jumla ya vyumba vya madarasa 10 vimejengwa na vimekamilika Mradi huo pia ulihusisha utengenezaji wa viti 500 na meza 500,jumla ya gharama za ujenzi na utengenezaji wa meza na viti ulikuwa kiasi cha shilingi milioni 200,00,000.00

Kwa upande wa Shule shikizi jumla ya vyumba vya madarasa 24 vilijengwa na kukamilika,mradi huo ulihusisha utengenezaji wa madawati 360,jumla ya gharama za ujenzi na utengenezaji wa madawati ulikuwa shilingi milioni 480,000,000.00 ambapo shughuli za ujenzi zilianza 28 Oktoba 2021 na kukamilika Disemba 20 mwaka 2021.

Kufuatia kukamilika kwa ujenzi huo kwa kiwango na ubora  Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Filberto Sanga amepongeza na kuwashukuru wote walioshiriki kwa njia moja katika kukamilisha ujenzi  na  kuiletea Maendeleo Halmashauri kwa kufanikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa.

 Amesema wameonesha uaminifu uadilifu na uzalendo wa hali ya juu kwa kuweka mbele uadilifu katika matumizi ya fedha za Serikali na kuokoa kiasi cha fedha kiasi cha shilingi milioni 100 ni jambo la kushukuru na kupongeza sana alisema Mkuu huyo wa Wilaya.  

 Pongezi hizo amezitoa  wakati wa Kikao cha Kamati ya  Ushauri ngazi ya Wilaya DCC kilichofanyika Januari 31 kwenye ukumbi wa maktaba Shule ya Sekondari Inyonga  ambacho kilikuwa kwa ajili ya kupitisha  rasimu ya randama ya makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti kwa Halmashauri zinazounda wilaya ya Mlele ambazo ni Mpimbwe na Mlele.

Mkuu huyo wa wilaya ameipogeza Halmashauri ya Mlele kwa kuonesha uzalendo,uadilifu ubunifu  na moyo wa kujituma kwa kusimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa na kukamilika kwa asilimia 100  huku na fedha ikibakia tofauti na halmashauri ya Mpimbwe ambayo haikufanikisha kama ilivyokuwa kwa mlele,hali hiyo imepelekea halmashauri nyingine kuja kujifunza mlele.

“Iwapo tutanguliza uzalendo mbele  uadilifu, uaminifu na utu kwa ajili ya maendeleo ya watu wetu na taifa kwa ujumla namna tunavyowatumiki   wananchi tunaowaongoza na kuwatumikia  tutafanikisha kuiletea nchi yetu maendeleo”alisema Mkuu huyo wa wilaya.

Ameongeza kuwa ,uaminifu,uadilifu na uzalendo ndio uliofanywa na Halmashauri ya wilaya ya Mlele katika kusimamia miradi ya maendeleo hasa kupitia fedha za Uviko-19, unatakiwa kuigwa na maeneo mengine,alihojini kwa   nini Halmashauri ya Wilaya ya  Mpimbwe  washindwe kufanya kama ilivyofanya mlele wakati wote wanaongozwa na mkuu wa wilaya mmoja wanatakiwa kuiga mfano uliofanywa na Halmashauri ya  Wilaya ya Mlele ambayo sasa imekuwa ndiyo ya kupigiwa mfano  na wengine wanakuja kujifunza Mlele.

Aidha Mkuu huyo wa Wilaya amesifu mbinu zilizotumiwa na Halmashauri ya Mlele katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi kutoka kiwandani,Manunuzi ya pamoja,usimamizi wa mafundi na kufanya kazi kwa ueledi hali iliyopekea kufanikisha  ubora wa kazi.

Kwa upande wake   Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe Suod Mbogo  zake  kwa niaba ya Halmashauri amepongeza ushirikiano mkubwa ulioneshwa na wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine kufanikisha ujenzi huo kwa kuanzia  waheshimiwa Madiwani,watumishi wa Halmashauri,   wananchi  na wadau wote wa maendeleo kwa ushirikiano wao wa karibu katika kufanikisha ujenzi huo wa vyumba vya madarasa,ameahidi kuwa wataendelea kutekeleza miradi kwa uaminifu ueledi na ubora wa hali ya juu.

Mapema , Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  Teresia Irafay kwa niaba ya Halmashauri alitoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Halmashauri fedha za ujenzi wa Madarasa,Pia akashukuru kwa viongozi wote wa Mkoa na wilaya  kwa usimamizi thabiti ambao umewezesha kukamilisha miradi hii.

Kisha akaeleza lengo la kikao cha Kamati ya Ushuri kuwa kipo kwakuwa ni ajili ya kupitisha rasimu ya randama ya  makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Halmashauri na kuwataka washiriki kuwa wasikivu kwa ajili ya kupokea ushauri na maelekezo yote yatakayotolewa.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATAALAMU

    June 03, 2025
  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa