• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC-MLELE AKERWA NA UHARIBIFU WA MISTU

Posted on: October 21st, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe.Majid Mwanga akiongozana na wajumbe wa Kamati ya ulinzi na usalama wilaya pamoja na watumishi wa huduma za mistu TFS na wale wa TAWA walipofanya ziara ya kushitukiza kutembelea maeneo yaliyovamiwa na wananchi  kwa kukata miti na kufanya  shughuli nyingine za kijamii, kama kilimo,ufugaji na nyingine za kijamii  katika maeneo hayo,hivyo   amewataka wananchi waliovamia misitu ya hifadhi na kukata miti hovyo  kuacha mara moja na kuondoka maeneo hayo.

 Na. Kibada Ernest – Kitengo cha Mawasilino Serikalini 

Mlele.

Oktoba 20.2023

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga  amewataka wananchi waliovamia misitu ya hifadhi na kukata miti hivyo kuacha mara moja na   kuondoka  na iwapo watakaidi hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Kauli hiyo imetolewa   jana oktoba 20 na  Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga  baada ya kufanya ziara ya kushitukiza na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya kutembelea na kujionea halisi ya uharibifu uliofanyika katika maeneo hayo, hivyo  ikamlazimu kupiga marufuku  uharibifu unaofanywa wa kukata miti hovyo na kuwaagiza wakala wa huduma za mistu TFS kuhakikisha mistu inalindwa na mtu yeyote anayetaka kukata miti lazima awe na kibali na afuate utaratibu.

Aidha amewataka Wananchi wa Wilaya hiyo wakiwemo wageni kutoka maeneo mengine nchini kuwa mabalozi ili kutokomeza uvamizi wa misitu  ambayo iko hatarini kutoweka kutokana na   shughuli  za kilimo, ufugaji,kukata miti    na uchomaji wa moto kiholela hali ambayo inatishia   kuteketea kwa mistu huo.  

Majid ameeleza kuwa uvamizi huo umesababisha baadhi ya  mistu kuteketea hali ambayo inatishia   kukauka  kwa vyanzo vya maji na  katika wilaya hiyo.

Katika hatua nyingine  ameiagiza Wakala wa  Huduma za Mistu,Tanzania TFS  Katika wilaya hiyo kuhakikisha wanashirikiana na Idara  vyombo vingine  pamoja na Idara ya Usimamizi wanyamapori TAWA    na wananchi ili kunusuru misitu hiyo ambayo iko hatarini kutoweka kutokana na uvamizi huo unaofanyika kutokana na shughuli za kibinadamu.

“Hii mistu inatakiwa ihifadhiwe,  hii mistu ndio uhai ikihifadhiwa vizuri inasaidia  vyanzo vyetu vya maji”alisema Mkuu wa Wilaya.

Mkuu huyo wa Wilaya Mwanga amesema watu wanakata miti bila mpangilio na amejionea mwenyewe watu wanakata miti hovyo kwa shughuli zao kwa kujipatia kipato bila kuzingatia  utaratibu .

Kwa sasa Suala la uhifadhi lazima TFS  mhakikishe ninyi pamoja na vijiji vinavyozunguuka mistu ya hifadhi mzungumze lugha moja wote muwe kitu kimoja ili kuhifadhi mistu hii..

Amepiga marufuku wananchi wa wilaya hiyokukata miti  bila kuwa na kibali.

Hakuna kukata miti bila kibali hata kama mti ni wa kwako uliupanda wewe au uko kwenye shamba lako, lazima hatua zote zifanyike kuanzia ngazi ya kijiji na hata ukikata mti mmoja lazima upate kibali.

Mwisho.

Matukio mbalimbali katika picha







Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe.Majid Mwanga akiangalia maeneo yaliyoharibiwa kutokana na kuvamiwa na wananchi na wageni kutoka nje ya wilaya wanaofanya shughuli za kibinadamu katika maeneo ya hifadhi za mistu na mapoi yaliyoko kandokando ya vijiji  yaliyotengwa kwa ajili ya lanchi yanavyozunguuka  vijiji hivyo kwenye mistu hiyo ambayo miti yake imekatwa kiholela bila kufuata utaratibu na kusababisha uharibifu wa mazingira.


{Picha zote na Kibada Ernest Msafiri Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.} 


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa