• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC MLELE AKIWASILISHA SALAAM ZA SERIKALI.

Posted on: May 17th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Majid Mwanga akiwasilisha Salaam za Serikali kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mei 10’2023  ashauri kubuni vyanzo vipMya vya mapato.


Na Kibada Ernest -Mlele    Mei 17.2023

DC  MLELE.MHE.MAJID MWANGA ASHAURI WATAALAM KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Majid Mwanga  ametoa wito kwa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mlele na Wataalam kuendelea kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuendelea kukuza mapato kwa kuwa Halmashauri zinaendeshwa na mapato, bila mapato Halmashauri hazitaweza kujiendesha,

2.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe.Soud Mbogo akiongoza Mkutano wa Baraza la Madiwani kujadili Taarifa za Robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2022/2023 kwenye ukumbi wa Mikutano  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele,Kushoto kwa Mwenyekiti ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bi.Teresia Irafay na anayefuatia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Majid Mwanga,na kulia kwa Mwenyekiti ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Leonard Kiyungi na Mwisho mwenye suti ya Kijivu na Mkuu wa Wilaya yaMlele Mhe Majid Mwanga.


Amewataka wataalam kuendelea kuumiza vichwa zaidi kubuni vyanzo vipya vya mapato kuliko kutegemea mapato ya aina moja, kwani kwa kufanya hivyo unaweza kujikuta unashindwa kufikia lengo iwapo changamoto zitajitokeza.

Mhe.Mwanga ametoa wito huo wakati akiwasilisha Salaam  za Serikali kwenye  Mkutano wa Baraza la Madiwani la kujadili taarifa za robo ya tatu ya mwaka wa fedha  2022/2023  uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri   

Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan inasistiza ukusanyaji wa mapato.

Mkuu huyo wa Wilaya amesisitiza kuwa Wilaya ya Mlele hususani Halmashauri ya Mlele imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za aina mbalimbali ,ardhi,mistu na kila aina ya rasilimali na watu wenye afya hivyo ni wajibu wetu kutumia rasilimali hizo kwa maendeleo ya Taifa.

Picha ya Pamoja ya wafanyakazi Hodari wakiwa na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Madiwani wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe.Soud  Mbogo aliyekaa katikati na Viongozi wengine 


Katika hatua nyingine amepongeza juhudi zinazofanywa na Mbunge kuwaletea maendeleo wananchi wa Jimbo la Katavi Halmashauri ya Wilaya ya Mlele,kutokana na maendeleo yaliyopo katika Jimbo la hilo,ni Umoja, ushirikiano,na Mshikamano mzuri uliopo kati ya Mbunge, Mhe.Isack Kamwelwe, waheshimiwa Madiwani, Viongozi mbalimbali,watumishi na wananchi kwa ujumla ndiyo chanzo cha mafanikio yaliyopo ameomba ushirikiano huo uendelee,

Mapema akifungua Mkutano wa Baraza la Madiwani Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mlele Mhe.Soud Mlolwa Mbogo amesisitiza umoja mshikamano na ushirikiano uliopo uendelee na kuwataka wataalam kuendelea kushauri vyema ili kufikia malengo waliyojiwekea ya kuleta ustawi wa Halmashauri.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe.Soud Mbogo akiongoza Mkutano wa Baraza la Madiwani kujadili Taarifa za Robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2022/2023 kwenye ukumbi wa Mikutano  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele,Kushoto kwa Mwenyekiti ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bi.Teresia Irafay na anayefuatia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Majid Mwanga. 

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Ilunde Mhe.Martin Mgoloka amepongeza jujudi za wataalam katika ukusanyaji wa mapato ambapo alipongeza kwa kufikia asilimia sitini hadi kufikia mwezi huo.

Mkutano huo wa Baraza la Madiwani pia umewapongeza wafanyakazi Hodari waliotunukiwa zawadi wakati wa maadhimisho ya siku  ya wafanyakazi duniani mei mosi, ambapo upande wa Idara ya Utumishi na Utawala nao waliandaa zawadi za ngao ambazo zimegawiwa kwa watumishi hao Hodari mbele ya Mkutano wa Baraza la Madiwani ikiwani kuthamini mchango wao, na kuendelea kutoa hamasa kwa watumishi wengine kujituma na kuongeza bidii katika utendaji kazi.

Wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Madiwani Waheshimiwa Madiwani wakifuatilia mjadala wa Mkutano huo unaoendelea katika Ukumbi  wa Mikutano Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

Naye Mkurugenzi Halmashauri ya Mlele Bi. Teresia Irafay amesema Halmashauri hiyo inaunga mkono  kazi nzuri zinazofanywa na waheshimiwa madiwani kuhimiza maendeleo na kuwasimamia watalaam wanapokea ushauri wao na kuufanyia kazi ndiyo maana maendeleo yanapatikana pia wanafanya vizuri katika Nyanja zote za maendeleo ikiwemo ukusanyaji wa mapato.

Wataalam Pamoja na wageni waalikwa wakifuatilia mjadala wa Mkutano wa Baraza la Madiwani kama wanavyoonekana pichani.


 Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa